mapigano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Wajuzi naomba mnitoe ushamba, hivi star wa movie za mapigano anapatikanaje?

    Zamani nilifikiri inatokana na uwezo wa kupigana wa mtu, hivyo niliamini Jack chan, Jet Li, Jack Bauer na wengine ni mafundi haswaa wa kupigana kuzidi wanaocheza nao. Lakini najiuliza ina maana ni kweli kwamba wale wengine wote hawajui kuwazidi? Nikiangalia picha nyingi za mapigano ni nakshi za...
  2. BARD AI

    Libya: Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusitishwa mapigano

    Wito umetolewa kusitishwa mara moja kwa mapigano makali yanayohusisha makundi mawili ya Kisiasa yanayowania kuchukua Utawala wa Serikali katika mji mkuu wa Tripoli. Taarifa ya Umoja wa Mataifa iliyoungwa mkono na Balozi wa Marekani nchini Libya, Richard Norland imesema kuwa mapigano hayo...
  3. BARD AI

    Libya: Mapigano ya kudhibiti Serikali yasababisha vifo 23

    Wizara ya Afya imesema mapigano kati ya Wanamgambo wanaoungwa mkono na Serikali zinazopingana, yamesababisha vifo vya takriban watu 23 na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa Makundi hasimu yalipambana ndani ya mji mkuu wa Libya, #Tripoli, katika mapigano ya udhibiti wa serikali yaliyotajwa kuwa...
  4. JanguKamaJangu

    Mapigano makali yanaendelea DRC vs M23 licha ya makubaliano

    Mashambulizi makali yametokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baina ya Jeshi la Serikali hiyo na wanamgambo wa M23, ikiwa ni nis aa chache tangu Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kukubaliana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kupunguza uhasama kuhusiana na mapigano hayo. Msemaji wa...
  5. JanguKamaJangu

    Yadaiwa watu zaidi ya 100 wameuawa katika mapigano Ethiopia

    Inadaiwa kuwa zaidi ya watu 100 wengi wakiwa ni kutoka jamii ya watu wa Amhara wameuawa katika eneo la Oromia Nchini Ethiopia, Takwimu hizo ni kwa kujibu wa shuhuda wakati ambapo shuhuda mwingine amesema kuwa ameshuhudia zaidi ya miili 200 katika mauaji hayo. Serikali ya Oromia imekiri kutokea...
  6. ACT Wazalendo

    Dorothy Semu: Serikali Iunde Tume Shirikishi Kuchunguza Mapigano ya Loliondo

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI: KUHUSU SERIKALI KUINGIZA ARDHI YA VIJIJI 14 LOLIONDO, WILAYANI NGORONGORO, KWENYE HIFADHI JUNE 12, 2022 Utangulizi: Ndugu Waandishi wa Habari Ijumaa ya tarehe 10 Juni, 2022 ACT Wazalendo kupitia Msemaji wa Sekta ya...
  7. JanguKamaJangu

    Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepata pigo baada ya kumpoteza jenerali wa 11 katika mapambano dhidi ya Ukraine, aliyefariki ni Meja Jenerali Roman Kutuzov. Inaelezwa gari lake lilishambuliwa wakati wa mapigano katika Mji wa Donbas. Kinatajwa kuwa kifo cha juu zaidi kwa waliofariki katika...
  8. Lady Whistledown

    Takriban watu 100 wafariki katika mapigano ya wachimba madini nchini Chad

    Mapigano kati ya wachimba madini wadogo, yaliyodumu ndani ya juma moja kaskazini mwa Chad yamesababisha takriban watu 100 kupoteza maisha na 40 kujeruhiwa, na kupelekea machimbo hayo kufungwa kwa muda usiojulikana Inaelezwa kuwa mgogoro huo ulianza kama mzozo wa kawaida kati ya watu wawili...
  9. beth

    Mariupol, Ukraine: Raia wakwama kuondoka baada ya jitihada za kusitisha mapigano kugonga mwamba

    Kaimu Waziri Mkuu wa Ukraine, Iryna Vereshchuk amesema Wananchi wa Mji wa Mariupol wameshindwa kuondoka baada ya Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda kushindwa kutekelezwa Kutokana na hali inayoendelea, imeelezwa kuwa jitihada za kupelekea Chakula, Maji na Dawa kwenye Mji huo...
  10. Analogia Malenga

    Urusi yatangaza usitishaji mapigano Ukraine ili raia watoke

    Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Vassily Nebenzia, amesema nchi yake itasitisha mapigano kuanzia saa nne asubuhi ya leo kwa majira ya Moscow na kufunguwa njia salama kuwahamisha raia kutoka miji ya Kiev, Cher-nigov, Sumy na Mariupol. Kwa mujibu wa Nebenzia, pendekezo hilo halina masharti...
  11. B

    Wanachama UN wapiga kura mzozo wa Urusi - Ukraine

    Kumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine. Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea. Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi tumewakilisha: Source: NPR Cookie Consent and Choices === Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa...
  12. beth

    Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine licha ya mazungumzo yanayolenga kusitisha mapigano

    Mashambulizi ya Urusi Nchini Ukraine yameendelea kwa siku ya tano licha ya mazungumzo yanayolenga kusitisha mapigano. Inaripotiwa kuwa, mashambulizi ya makombora yameua watu kadhaa katika Mji wa Kharkiv, huku ving'ora vya mashambulizi ya anga vikisikika tena katika Mji Mkuu wa Kyiv. Rais...
  13. masopakyindi

    Sera ya ufugaji holela kwa wamasai na wasukuma ndio chanzo cha mapigano ya kikabila

    Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21. Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders. Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa. Sera hii haiwezi...
  14. beth

    Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

    Wakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama. TPLF imeunda Muungano na vikundi vingine vya waasi ikiwemo Jeshi la Ukombozi la Oromo (OLA) kukabiliana na...
  15. The Sheriff

    Ecuador: Wafungwa 68 wauawa katika mapigano ya magenge hasimu

    Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador. Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil inasemekana zilianza Ijumaa jioni. Ripoti zinasema Polisi ambao wameingia kwenye majengo ya magereza wamekuta bunduki na vilipuzi. Zaidi ya wafungwa 100...
  16. Sky Eclat

    Mapigano ya Isandiwa kati ya Wqzulu na Waingereza, jeshi la Zulu lilishinda

    Jeshi la Uingereza liliongozwa na Jenerali Chelmsford lilipata kipigo kutoka kwa Wazulu.
  17. moyafricatz

    Tuacheni kuangalia movies za mapigano sana na hizi videos games

    Wanajamvi, Nimeamua kuwaza tu nmje ya box kuhusu hili tukio la leo pale daraja la Salender. Nimeleta huku kwenye uzi wa entertainment maana huku wengi watakua na ufahamu mkubwa wa hii game iitwayo GTA Vice City. Kwa jinsi nilivyoona namna yule mwamba amefyatua risasi pale mbele ya ubalozi wa...
  18. beth

    Ethiopia: Waasi wa Tigray wakubali kusitisha mapigano kwa masharti

    Chama cha ukombozi wa Tigray TPLF kimeitaka serikali kuu ya Ethiopia iwaondoe wanajeshi kutoka kwenye jimbo la Amhara pamoja na wanajeshi wa nchi jirani ya Eritrea ikiwa ni masharti kabla ya wao kushiriki kwenye mazungumzo yoyote na serikali kuu kuhusu kusitisha mapigano. Chama cha (TPLF)...
  19. beth

    Ethiopia: Serikali yatoa wito kwa waasi wa Tigray kukubali kumalizika mapigano

    Serikali ya Ethiopia imewataka waasi wa Tigray kuunga mkono usitishaji mapigano huku ikielezwa Mashirika ya Misaada yanapata changamoto kuwafikia maelfu ya watu wanaokabiliwa na njaa. Mamlaka zimesema ili mapigano kusitishwa kikamilifu pande zote mbili zinahitajika hivyo upande wa Tigray...
  20. sky soldier

    Shangwe na furaha yatanda Gaza baada ya pande mbili kukubaliana kutuliza mapigano

    Hakika ni shangwe iliyojaafuraha kwa upande wa Palestina huko Gaza, Kinachosherekewa hapa ni "Thanks to God, some of us are still alive" Wananchi wa Gaza waliishi kwa hofu sana maana kifo kilikuwa nje nje pale maisha yao yalipofanywa kuwa ngao, Hamas waligeuza mitaa na nyumba zenye raia wema...
Back
Top Bottom