Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
2,903
4,306
Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa

1. Wanajua mapenzi na ni wasafi wa kiwango cha SGR. Unakula tunda la grade 1, tofauti na hawa namba D maringo mengi, kucha ndefu, kwa bibi kumeoza yani mtoto nje mkali ila sasa ukimvua nguo lazima nguvu za kiume zipotee.

2. Siyo wasumbufu hata kidogo, mkipanga appointment hakika ni kwa wakati na hata akichelewa ana sababu ya maana. Hakuna zile sijui mama leo anaumwa sijui nimepata tumbo la period wala shangazi kapata corona.

3. Kwenye ushauri wa maisha wako vizuri sana. Nanufaika sana na uzoefu wao wa maisha. Hakika nimeupgrade from step 1 to step 3 financially mpaka mentally

4. Ni wachumi sana yani wanajua budget. Huwezi tapanya pesa ovyo bar sijui yule mupe yule muruke. Ukiwa naye aisee utapigwa jicho moja hakika halafu siyo kwamba bia yake ni safari akikuona una hela leo ataagiza savanna, Hapana!

5. Kwenye kupewa papuchi ni tani yako na papuchi yenye kiwango haina UTI wala Gonorrhea. Ufundi wa hali ya juu wanapiga miguu yote ni wewe tu.

6. Siyo wachunaji ila bata zao kidogo ni expensive. Zile guest house zetu za elfu tano na dume unapewa bure haziwafai.

Vijana tujaribu upande wa shilingi namba A. Body kidogo imeenda garage ila engine mpya kabisa.

1619177437054.png
 
Dah!!...yaweza kuwa jamaa anajisifu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mtu mzima.

Anakuta ni shangazi yangu jamaa anamgegeda

Au hata mama mkubwa, mzazi, mdogo anagegeda jamaa.

Maana huyo mwanamke mtu mzima uliyenaye unakuta ni mama mzazi wa mwana JamiiForums mwenzetu.

Dah!!..Haya bhana
 
Dah!!...yaweza kuwa jamaa anajisifu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mtu mzima.

Anakuta ni shangazi yangu jamaa anamgegeda

Au hata mama mkubwa,mzazi,mdogo anagegeda jamaa.

Maana huyo mwanamke mtu mzima uliyenaye unakuta ni mama mzazi wa mwana jamiiforum mwenzetu.

Dah!!..Haya bhana
Sijajisifu mkuu nimetoa experience yangu kati ya namba A na D ,ofcourse ni mama wa watoto wawili ila ni fresh kuliko hawa mama wa marehemu!
 
Mimi huwa nawakubali zaidi kwenye kipengele cha namna wanavoishika ππb00 kuielekeza pale kati huku wakisindikiza kwa maneno matamu hatari, utasikia "karibu baaba, chak"la kipo tayari kwaajili yako...vurugua baaba", mwisho wa kunukuu
Mkuu tu na share ni ha ha ha mboba haya maneno ndo napewaga mie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekula chumvi nyingi wanakuwa wanajitambua.
Shida moja tu unashindwa kujiachia nae maana noma.
Ni kweli mkuu inategemana kama wangu aise hata beach unaenda naye body kinanda sana kwanz si kuamini kama na 40yrs halafu ni mkali wa fashion ki ufupi na mama wa mjini mama wa kisasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom