mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa
  2. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapoteza fursa kwa kuwa wazito ktk kufanya maamuzi ya ki Biashara/ mapenzi

    Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 12 na Renata: Safari ya Mapenzi iliyofika mwisho ghafla....

    Miaka 12 ya mapenzi, visa na mikasa nikiwa na Renata Sehemu ya kwanza Wadau kwa kuwa ni mwisho wa mwaka na nimeanza likizo nikaona bora niweke bandiko langu hapa jukwaani kuhusu mahusiano yangu yaliyodumu kwa miaka 12 na mwanamke aliyeitwa Renata lakini hatukufikia kwenye ndoa. Unajua...
  4. JamiiForums Tanzania Oya, mapenzi Shikamoo

    Oya wakuu nimeachwa ata kablya Yesu hajazaliwa🙌😭😭💔 mapenzi ni ujinga
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mapenzi huwa yanahitaji nini? Mtu atulie au mapenzi India bongo biashara

    Ngoja Leo niwape kisa kimoja Cha mshikaji wangu Fulani, tumuite diko. Diko ni house keeping pale hotelini, Yani watu wa usafi Kipindi na hustle huku na HUKO kutafuta riziki. Nikapata kazi ya ulinzi kwenye hoteli MOJA kubwa. Nikiwa pale hotelini sababu ya uchangamfu wangu, nilijikuta...
  6. JamiiForums Tanzania Shutuma kutoka kwa Mzee wa Kizanzibari kuhusiana na vijana wa Kizanzibari kuzidisha anasa za mapenzi zinazovuka mipaka zina ukweli?

    Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya? Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar natokaje nawauliza mi natokaje, walimwengu natokaje

    SEHEMU YA KWANZA 1 Habari zenu wakuu, mi ni kijana wa kawaida niko end of twenty something najianda kuingia thirty. Katika pulukushani za maisha Dodoma na Arusha nilipata wazo la kujichanganya Zanzibar.Niliingia Zanzibar lengo ni utafutaji, sikuwa na pakufikia nilikuwa nanyoosha TU barabara...
  9. JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano JF. Nipo na huyu kijana mwezi wa pili sasa lakini naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda. Huyu jamaa yangu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele, anaweza kujitahidi siku...
  11. JamiiForums Tanzania Kweli watanzania wapo serious jukwaa la mapenzi na sports yamedoda hatari watu wapo jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko 24/7

    Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa Kweli watu...
  12. JamiiForums Tanzania Maneno ya kumpa mpenzi hisia kali za mapenzi

    Mapenzi ni matamu sana ukipata anayekupenda na kujali hisia zako. Embu tupunguze kidogo haya mawazo ya nchi yetu maana yamekuwa mengi tulifreshi akili kwa mambo matamu na mazuri ya kimahaba. Nakupenda zaidi ya unavyoweza kufikiria. Wewe ni furaha yangu ya kila siku. Ukiwa mbali nahisi upweke...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya watawala na wale waandamanaji ni nani mwenye mapenzi na Tanzania?

    Nikinukuu maneno ya Rais, kuwa "vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Sasa tuchague lenye manufaa kwetu, kwani usalama wa Taifa lolote hulindwa na wote kwa nguvu zote na gharama zozote" Niongezee kwa lugha ya sasa, kwa wivu...
  14. JamiiForums Tanzania Dah sasa hivi mbususu zinalika kihuzuni huzuni :(

    Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un Pole kwa watanzania wenzangu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki katika kipindi hiki kigumu. Ni huzuni, huzuni, huzuni ilioje vilio na simanzi. Mambo hayaendi sawa hata mbususu haziliki na zikilika, zinalika kinyonge. Kwanza nguvu ya kula chakula cha usiku...
  15. JamiiForums Tanzania Mi sina Mapenzi na Magari ya China, ila hii XPeng P7 inashawishi sana!

    Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028. Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025. Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW...
  16. JamiiForums Tanzania Muhamad alikuwa kwa usiku mmoja anafanya mapenzi na wake zake wote 9

    Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa): Tafsiri: Jamaa alikuwa anatembeza sana kiboko. Na hakuwa na maadili kabisa. Aliwachukulia wanawake kama ni chombo cha starehe tu.
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

    Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
  18. JamiiForums Tanzania Sema watoto wa sikuizi

    Hello Jf members👋 Leo bhana wakati nakagua kagua simu hapa nikaona convo ambayo sikua naielewa maana hata namba haijasaviwa,. Nikashangaa how imekuwaje simu ni yangu na sijui kama mazungumzo ya namna hii..... Ooh ndio nikakumbuka Kuna binti Jana aliniomba kama simu yangu inadakika ampigie dada...
  19. JamiiForums Tanzania Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  20. JamiiForums Tanzania Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu "Nakupenda pia". Yaliyonikuta sio poa

    Kwema wakuu, heshima mbele! UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi. to be continued....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…