mapenzi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tabora: Utingo adaiwa kumuua dereva wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Benedicto Modest Mangi aliyekuwa dereva bajaji ya mizigo, Mkazi wa Mtaa wa Usule, Kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani kisha mwili wake kufukiwa kwenye shimo tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi linalodaiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kweli yapo

    Leo wakati napitapita mtandaoni nimekutana na hiki kisa nimeona nikilete humu MMU; Kisa hiki ni hadithi ya ukweli ya mapenzi kati ya bibiye Kate na mumewe Godfrey, ambaye anasemekana kuwa ndo mwanaume mwenye sura mbaya kuliko wote duniani. Kate alipokwenda kumtambulisha Godfrey nyumbani kwao...
  3. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kumjua mtu aliyejiua kwa sababu ya Mapenzi

    Hii tukio nimelikumbuka baada ya kutumiwa picha yangu ya zamani na mmoja wa watu tuliokuwa tukiishi mtaa mmoja. Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu; asubuhi moja ya Februari 14, majira ya saa nne asubuhi, kilio kilisikika kutoka katika nyumba moja. Ilikuwa sauti ya kilio kikubwa kutoka kwa mama...
  4. JamiiForums Tanzania Kamati ya mapokezi, Kuna wanawake ukionekana nao watu wanakuona wewe ni mgeni wa mji ama mgeni wa mapenzi

    Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko wageni wa mapenzi hujifunzia na wageni wa mji hupokelewa. Mbaya zaidi unakuta watu wanakuangalia tu...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke huhisi utamu wa ngono muda wote wa tendo?

    Hivi kuna ukweli wowote kuwa utamu wa tendo kwa mwanamke anaupata wakati wote wa tendo tofauti na mwanaume ambaye hupata uhondo huo wakati anapokojoa?
  6. JamiiForums Tanzania Nina gundu, wanaume hawanitongozi

    Wazima jamani Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa tunasema hatuongozwi na hisia tunafata logic, sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi?

    Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia. Sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi? Maumivu hayo si ni matokeo ya hisia? Pisi kali ikikupiga tukio...
  8. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
  9. JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia sauti za watu wakifanya mapenzi live?

    Kidogo macho unaweza kusema uyafumbe, na masikio je? Mimi hii kitu imenitokea mara nyingi tu katika mazingira ya maisha niliyoishi ila kuna siku naikumbuka nikiwa nafanya kazi kwenye boti jamaa ambae ni mkubwa kwangu alileta demu, Mimi ikabidi nijifanye nimelala usingizi ili nisiwaharibie watu...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

    Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe. Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili...
  11. JamiiForums Tanzania Sehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza stress za mapenzi?

    Mambo, Nisehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza mawazo jamani? Una amka vizuri lakini mapenzi yana kuvuluga, khaa!
  12. JamiiForums Tanzania Mapenzi si ndoa, mkitofautiana kila mtu a-move on

    Inasikitisha Vijana wanaingia kwenye Mnyororo wa mapenzi ,usaliti ,na bado wanashindwa kuamua hatima yao.Mapenzi sio ndoa Huyo mtu wako akileta sintofahamu Part away..
  13. JamiiForums Tanzania Mapenzi yananitesa, ni kwangu tu

    Haya thread closed
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tunapenda mwanamke anaejua kupika sio anayejua mapenzi kitandani

    Habari zenu wakuu, ukweri ndo huo. Mwanamke ata ajue mapenzi vipi au awe mtamu kitandani Kama sio fundi wa kupika jikoni, talaka itamuhusu aende kwao akajifunze kupika. Wanaume tunatafuta hela kwa shida tukirudi nyumbani tunahitaji tukute msosi Bomba na mapenzi motomoto, kila day mwanamke...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

    Assalamualaikum nnawatakia mifungo mema. Dear girl child kama una malengo ya kuolewa ukae ukijua mwanaume ni kiongozi wa familia aliumbwa yeye ikapita miaka 40 ndo ukatolewa ubavu wake akaumbwa mwanamke. Mungu fundi hakuna sababu ya kuumba sote wawili mmoja ametokana na mwenziwee awe msaidizi...
  16. JamiiForums Tanzania Sidhani kama watoto wa MO au Bakhresa wanajuta kuzaliwa kwenye familia zao 🤔

    Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela Nikawaza hivi wakina MO au Bakhresa watoto wao wanajisikiaje kuwa na wazazi kama hao 🤔 maana chapaaa money 💰🤑💵💸💷💶💷💸💵 inasoma vyedi...
  17. JamiiForums Tanzania Kila nikipata fursa ya kufanya mapenzi, naitumia

    Huwa sioni sababu ya kujivunga. Hayanaga tuzo. Ni kweli. Sasa kama sitofanya ndo napewa hiyo tuzo? Kama Mungu atanijaalia maisha marefu hapa duniani, nitafikia umri sitoweza kabisa kufanya mapenzi, na hata kama nikifa at young age, ntazikwa nayo na itaozea huko udongoni. Kwanini nijibane...
  18. JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupambana na ushoga, usagaji, malaya na madada poa uko hapa

    Naongea ukweli na huu ndio ukweli pekee Vita ya kupambana na ushoga kwa karne hii ya teknolojia na utegemezi wa hali ya juu ni ngumu sana kwa sababu zifuatazo. 1. Mlengo wa serikali zetu-Serikali zetu nyingi zinaendeshwa kidemokrasia, moja ya haki za kidemokrasia ni usawa na haki za binadamu...
  19. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya dhati(upendo) hutuliza nafsi kuliko pesa

    Jaribu kua na ela alafu usiwe na amani na ukose ule upendo WA dhati ndo itakua hata ukiwa na pesa kias Cha kua afford hizi basic needs za kibinadam zote na luxury pia..Bado Kuna namna ya kukosa amani yaani inakua ujai vizuri ....upendo WA kweli unatuliza sana nafsi. Ukiongezea na kupata a very...
  20. JamiiForums Tanzania Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

    Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake. Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…