mapenzi

  1. KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Wakuu, Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au kuna maelezo ya kisayansi yanayothibitisha hili? Mimi naona nilipigwa kamba tu hapa! Kwenu wataalam...
  2. Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Aisee nimekutana na mwanamke anajua kupita kiasi nimepiga mayowe nyumba nzima wameshtuka, na mimi huwa nikiwa napiga shoo siwezi kujibana sauti. Bora lawana kuliko kujibana sauti naongea nasifia, natukana, najiapiza mwenzenu nina mapenzi mlipuko, Kila style nimezidiwa mimi, alivoikalia mbao...
  3. Mapenzi hayafai ikiwa ni mtu moja anajuhudi zaidi ya mwengine

    Hii mada ni complex kidogo. Hivi kama mapenzi ni kati ya watu wawili me na ke, how come kwenye jamii ionekane kama mwanaume ndo kampenda mwanamke? kuna utaratibu kwamba mwanaume ndo anatakiwa achumbie which is true manaume ndo anatakiwa a make first move.... ila hii ni kama vile tunawapa nguvu...
  4. Nimekuja kugundua kumbe mwanamke niliyefanya nae mapenzi jana kumbe ni muathirika wa virusi vya ukimwi( V.V.U)

    Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
  5. G

    Dhana ya mapenzi ni uchafu na ukweli wake katika kubaini mapenzi ya dhati

    Dhana ya mapenzi ni uchafu ndiyo dhana pekee duniani iliyofanikiwa kupima na kubaini mapenzi ya dhati kwa usahihi. Yaani mtu anayekupenda kutoka ndani kabisa ya moyo na hisia zake mkiwa kwenye 6 kwa 6, atakula mate yako, jasho lako, kamasi lako na atalamba hata wayo wako. Hataona kinyaa wala...
  6. Tupeane Mikasa ya Mapenzi: Kwanini pamoja na kumnyandua kimtelezo mara kadhaa siku hizi mademu wana nguvu ya kupotezea?

    Shalom, Siku hizi wanawake nao hawatunzi hisia za minyanduano. usipomcheki hakutafuti. Huwa najiulizaga sana sipati majibu, shida ni mimi nina shoo mbovu kwa mademu zangu , ni mizimu haitaki au Mademu wanakunywa dawa za ganzi ili wasipate hisia za k.udumu tunapowapa shoo kali. Kitu Cha ajabu...
  7. Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

    Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja. Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi...
  8. Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi. kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani. Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa muda tu, baadaye anakutelekeza. Kwa kifupi, hakuna mwanaume anayependwa bila kuwa na kipato...
  9. Amefanya mapenzi na mwanamke wa ndoto yake kisha akagundua mwanamke huyo alizaliwa na VVU, je yuko salama?

    Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara...
  10. Aisee mapenzi ni noma

    Bwana ee kijana wa watu kwenye pita pita hapa na kule huu mtaa ninao kaa bwana vimbwanga vingi. Niliwaambia kipindi kile mazingira ya geto yalivyo, zimejaa bitch zinawasha ni upupu, aisee nashukuru nilifanikiwa kuhama salama. Sasa kuna sehemu naendaga kunywa bia moja ya kutafutia hamu ya kula...
  11. Tatizo sio kutofika kileleni ishu ni usanii wa wanawake kukosa hisia na mvuto. Kanuni ni dakika 3-5-7 kwa wote kufika kileleni

    Shalom Wanaume bora niwachane ukweli ukiona manzi, demu, sholi, mke au mpenzi wa kike hafiki kileleni ndani ya dakika 3-5 hadi 7 ujue umepigwa za uso unatoka na mwanamke ambae analiwa sana, kila siku kazoea mwiko, ana sugu ya hatari. Binadamu hapigwi jeki. Imeisha bora upotezee tu kupigwa sio...
  12. Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...
  13. USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

    Hakika mapenzi ya Tabora hawa wanawake wa kinyamwezi ni kiboko. Kuishi ama kufika ama kupita Tabora ni raha sana, mapenzi tele na raha zake na utamu wa mapenzi ya Tabora hakuna mkoa pinzani. Wanawake wa kinyamwezi na hata walofundwa unyamwezini ni watamu sana wanajua mpaka basi hadi wana utamu...
  14. Tamaa yangu siku zote ni mapenzi tu, nafurahi nimepewa vingi

    Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩 Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu. nikutonye. Maandiko yanasema hivi... hakuna aliyeacha wazazi, ndugu, nyumba, watoto kwa ajili ya (kazi ya...
  15. P

    Nani alipona tatizo la kuota unafanya mapenzi ndotoni?

    Hizi za Aina hii zinanitesa Sana Mimi? Nifanye Nini ili ziweze kuniachia, Mara kadhaa kwa miaka kadhaa Sasa nasumbuliwa na hizi ndoto za kufanya mapenzi usingizini Mimi siangalii video za porn Mimi siongelei Mambo ya ngono Ila nashindwa kuelewa hii Hali naichukia Sana ,nifanye Nini jamani?
  16. Urafiki wa Upande Mmoja/ Urafiki wa kujifaidisha kwa ngao ya mapenzi au upendo

    Kuna mfumo Fulani upo kwa Watu wa Jinsia ya Kike. Unapo mtongoza tu unakua umempa Fulsa ya Kupata Pesa/ Mali kutoka kwako Mwanaume. atataka umuaminishe Kama unampenda kupitia Pesa au Vizinga Vya Hapa na Pale. Kipindi Pesa zinatoka we bado mzigo ujapewa, unajiaminisha utapata tu, Sasa swali...
  17. Mapenzi: Muogope sana mwanamke mweupe na mwenye makalio makubwa

    Habari za Jumapili wakuu; Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu. Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti. mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba...
  18. S

    Mapenzi kizungumkuti

    Aliyefunguliwa biashara kaolewa na mteja, Aliyenunuliwa gari anatembea na mziba pancha, Aliyejengewa nyumba ana jiachia na mpaka rangi, Ishi na mtu kama ulivyokutana nae, Tutiane tu ila kuhongana hapana kila itu abaki na chake . Mapenzi ni mazito usijitwike kichwani utatofoa ubongo...
  19. Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?

    Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
  20. Mambo unayotakiwa uyaelewe kwenye mahusiano ya mapenzi na ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kutokana na umri wangu sio rafiki tena. Acha nifupishe. Unapoingia kwenye mahusiano ya mapenzi ambayo unataka yawe serious na au unaingia kwenye ndoa na unataka utulivu. Kuna mambo lazima uyajue na kuyaelewa. Mambo hayo ni kama ifuatavyo; 1. Hisia hubadilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…