Ashampoo burning

JF-Expert Member
May 12, 2023
556
2,062

View: https://youtu.be/Cvpm7ckpd_M?si=XZrDOzXkE3ZHrsBO

Habari wadau kabla hujaanza kusoma vaa earphone hapo bonyeza huwa wimbo kenny g nimeu pin ili ukusadie kuzama kwenye kisa soma soma kisa changu

Basi mwaka 2017 maeno ya kisutu posta nilikutana na dada mrembo sana tukabadilishana number baada ya siku kadha tukawa wapenzi ....mdada huyu lee basi kiukweli kipindi hicho nilikuwa na wanaweka wengi maana hela nilikuwa nayo hadi wasaniii kuna uzi humu niliandika kuwa nilianza kufanya biashara nikiwa chuo first year tayari kwenda china nilikuwa tayari na hela zaid million 100 pale stanbic nilikuwa nayo nikiwa nasoma ifm chuo huu uzi wa pili kuhusu hii story yangu ya mapenzi. Ila penzi la mdadz huyu lilinifanya nikaachana na wanawake wote nikawa na yeye

Niliwahi andika uzi kulalamika kuumizwa kimapenzi na lee mwaka jana miezi kama hii...ni mwaka umepita kama sio ushauri jamii forum ningekufaa na depression

Kati uzi zilizopita niliandika chanzo cha lee kuaanza kuletea vituko kwenye penzi letu ni baada mwaka 2020 hadi 2021 kipindi cha corona maana iliharibu biashara nyingi za watu walikuw wanaenda china so hadi boss ashampoo na mie uchumi uliyumba vibaya mno ndipo nilipoona rangi za lee sababu nilikuwa siwezi kwenda china tena walifunga sababu ya corona

Basi mwaka jana katika vituko vyake tukaachana akaja akaenda kudate na jamaa anafanya kazi bandarini kwenye company za mafuta tumwite jonijo jamani niliumia mno nikaja kuandika humu kuwa lazima nitalipa kisasi maana jamaa kwanini anipokonye dem wangu niliyempenda mno jamaa akamnunulia iphone 14 enzi hizo ziko hot akampangia akamnunulia kila kitu ma tv ya full furniture na kodi akawa anampa laki 7 kila mwezi ....kiukweli ashampoo kwa jinsi nilikuwa nimefulia ilibidi nitulie nirudishe jeshi nyuma muda ule jamaa alikuwa na miaka 34 mimi 31 dem 25..... so nikabaki sina la kufanya hela sina zaidi ya kufocus na biashara zangu kkoo

Sasa ni hivi yule dem lee mimi ndo nilimtoa bikraa kiukweli na ananipenda sana hadi marafik zAke waka wananiambi kuwa huwa ananiwaza waza muda huu napambana kariakoo na machungu ya maumivu mapenzi kuna siku rafik yake anaitwa doo akamrecord jinsi yule ex wangu akisema ananipenda yule na jonijo wa bandarini sababu jamaa kajitoa sana ....so nikasikiliza ile clip nikasema kisasi kinawekana baads kusikiliza ile clip

Basi nikatafuta number ya yule mpumbavu wa bandarini jonijo nikamwambia labda sio mimi utalia na kusaga meno kama mimi hujui mimi na lee tumetoka mbali ndugu msomaji kiukwel lee nilikaa nae miaka sita hata hapo chuo mzumbe nililipa cost nyingi kuanzia kumpangia hadi kumlisha baba ake akawa analipa ada tu ...lee alikosa boom..hadi furniture zake mzumbe nilinunua mafriji sofa tv kitanda yaani full kwa mzumbe mzumbe geto lake lilikuwa kali

Basi nilijua kabisa lee hawezi kukaa bila kuongea na mimi siku akanipigia akanieleza kuwa bado ananipenda mara sijui nini mimi hapo akili yangu yote inawaza jinsi ya kumkomesha jamaa jonijo.... basi lee akawa ananipigia mara kwa mara kunijulia hali na kuulizia kama hali ya company yangu na maisha...hapo wazi najua ananipenda sana

Basi siku akanipigia nikwambia ukitaka kurudia na mimi uza vitu vyote alivyokununulia jonijo wa bandarini kitengo cha mafuta... wewe leee akasema kwanini nikasema sitak kukuona navyo tu vile vitu kwa haraka haraka vilikuwa vya 7 million hivi pamoja na na simu 3 million....pia dem alimkopa jamaa kama 1 milllion so in total nilitaka jamaa apate hasara ya 11 million.....sababu nillifanya uchunguzi nikajua mshahara analipwa kiasa gani so alijinyima mno hadi kumnunulia lee hivyo vitu

Lee akakubali akaanza kuleta mazengwe kwa mr jonijo mimi hapo nia yangu ni kisasi tu naforce vitu viuzwe jonijo akamtishia lee kuwa anaenda mahamakani wewe nikamwambia lee mwambia aendeee hahahahahahs nacheka kisasi kile basi alimtishia sana siku jonijo akaenda kwa dem akasema anaomba vitu vyake vyote vitumwe kwake ....inshort lee ni mtu roho nzuri akamfunga vyote pamoja na simu akamrudishia..dem akanipigia akaseme ameogopa kwenda mahamani na babake atajua itakuwa soo

Nikampigia simu jonijo bandarini nikwambia bahati yako ni mimi ndo nilitaka hivyo vitu viiuzwe kukutia adabu mbwa wewe akanituka nikamtukana matusi ya kiume basi penzi la jonijo na lee likafaa nikwambia jonijo niko radhi kuona leee anaolewa na mtu mwingine ila sio wewe na ukimuoa nitahakikisha ndoa yako haina amani kamwe koz najua lee kwangu hapindui ananipenda mno mno

Basi lee akataka kurudi kwangu sasa muda huo mimi mapenzi kwake yameisha sababu niliumia mno hadi kupata depression so kila nikikumbuka roho yangu inakataa kuwa nae maana depression sio kitu cha mchezo sikia kwa mwezio lee akawa ananipigia pigia sana kunimbeleza kuniomba msamaha nakaa kimya sijibu kitu

Lee kuna siku mwaka jana akanipigia akaniambia hakuna mwanaume niliwahi mpenda kama wewe kiukweli na sidhani kama nitapenda tena na ni kweli i was her first lover penzi la kwanza always ni tam na pia nilitoa bikra so tukaongea akaja kuniambia naomba nikwambia mimi naenda kusomea upolisi moshi ...kimoyoni nikasema basi tena mimi na lee ndo tunazidi kuwa mbali japo lee ni mzuri sura hadi shape tako pia mrefu very sweet girl

Lee akaenda zake polisi akiwa huko kambini akawa ananipigia mara napokea mara sipokei huyu ni .lee ni ans sura yA kirwanda na najua fika mapolisi huko wanasalandia sana alikuwa akipita kariakoo makelele maana na tako lipo lee popote ilikuwa na attention kwake mapolisi huko wanakomaa ule urefu sura tako ..

Basi baada kuona lee kaenda polisi na mimi baada ya lee kuniumiza hata hamu ya kuoa ilikata kabisa hadi leo hata nikiamua kumuoa huyu lee najua tu mwsho wa siku mapolisi wananigongea tu..... inshort lee kanifanya mapenzi naona ni uongo siku hizi kwanza nagonga hadi wake za watu ndo naona mapenzi ni ujinga yaani nimeyaelewa sana kuwa ni ujinga mtakatifu maana wake za watu ni wepesi mno

Hadi sasa umri wangu miaka 32 nina madem 4 wananipenda maana kwenye swala ugentleman navaa vizur muonekano ninao na vihela vipo shida ni kwamba kila nikikumbuka heart break ya lee na ile depression sitak tena katika maisha yangu itoke ilisababisha nikayumba kiakili hadi kiuchumi kweli boss ashampoo kutoka kupanda ndege hadi mabus mimi.... mimi wa kukaaa kwenda shopping naangalia price tag wakati zamani nabeba tu kiukweli mapenzi yalifanya ubungo wangu ukastack SITOKUJA KUOA ZAIDI KUTIA MIMBA NA WATU NA KUTOA MATUMIZI NA KUTO KUWA SERIOUS

Na bwana jonijo yupo humu JAMII FORUM NDUGU YANGU NIKO RADHI KUONA LEE ANAOLEWA NA MTU MWINGINE UKIJARIBU KUMUOA NA RUDI TENA THIS TIME NAKUPIGA TUKIO KUFANYA UJINYONGE

Uzi huu nimeandika kama my diARY Sitak ushauri sana sana huwa naandika kama kumbukumbu zangu

Kama hujapenda unaruhusiwa kupita kimya kimya

TCHAO HADI UZI MWINGINE ....BOSS ASHAMPOO KARIAKOOO
 
Wewe chaputa mademu utoe wapi utanifanya Nini sasa na Nina muoa
FB_IMG_1716539897417.jpg
 
We jamaa bado una safari ndefu sana.
 
Mwaka huu una miaka 32, mwaka wanakuibia huyo Lee ulikuwa 31 na Lee ana 25. Lakini mlikutana miaka 7 iliyopita (2017) alikuwa na miaka 15! Mahesabu yako balaa
 
hapa naona wewe mwenyewe huezi penda mwingine zaidi ya lee unajifanya unamkomesha au unatwomba sana qumq nyingi kulupiza kisasi na kumbe udhaifu wako huwez oa mwingine mbali na lee na huyo lee hujiamini kwavile umrshuka kiuchumi ata akikwambia anakupenda unahs uongo ila ukweli ni unampenda sana shida nyote mbafanya km mnasusa.

endeleeen kususiana huku mnatakana siku mkiitwa baba au mama kwa mzazi mwenzio ambae hukumtarajia ndio akili itawakaa sawa mrudiane kiujwelikweli.
 
Back
Top Bottom