VINICIOUS JR

Member
Dec 29, 2022
67
218
Kwema wakuu,

Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k,

Kwa wakamaria hawa hawanashida sana unaweza ukawa na laki ila unaweka buku unabetia miambili miambili mikeka mitano hata keka likishanika hasara si kubwa ila weka mzigo wote unaamka asubuhi ya supu hamna tafakari chukua hatua.

Nimemaliza.
 
Unakataa kucheza kamari na unaita kamari ni haramu halafu unaoa huku ukiamini kuoa na kamali ni tofauti.Unaitaji msaada wa wataalamu wa afya ya akili.
 
hakuna jambo tunakumbushana utaratibu maana kuna binadamu wanajisahau.
Nikipenda lazima nijisahau aisee..kila siku najiapia kwa kujidanganya "mm kumpa hela mwanmme😄mm kumuamini mwanmme" but mwisho wa siku narudia makosa..
Bora walioamua kua wachimba migodi.
 
Kwema wakuu,

Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k,

Kwa wakamaria hawa hawanashida sana unaweza ukawa na laki ila unaweka buku unabetia miambili miambili mikeka mitano hata keka likishanika hasara si kubwa ila weka mzigo wote unaamka asubuhi ya supu hamna tafakari chukua hatua.

Nimemaliza.
Wanawake wote type ya penina wa goba acha wachinjwe tu, wenyewe si wanaendekeza tamaa. Mademu waache tamaa na kuendekeza njaa vijana wanatafuta hela kwa tabu sana kama unaempenda ni kapuku tulia nae uyo uyo mfanye maisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom