mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Bey Minyodo Tz, kijana wa Tanzania anayewaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko na makwenzi wale wote wanaoingia anga zake huku akiwaonya kujihusisha na ulawiti Amekuwa akiungwa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kuna kabila moja kubwa lipo kanda ya ziwa ajabu watu wake wanapenda kufanya mapenzi vichakani!!

    Kuna kabila moja lipo kanda ya ziwa hilo kabila kubwa na maarufu sana watu wake kuwa washamba hili kabila inashangaza sana yaani wanawake au wasichana wake wanapenda sana kufanya mapenzi vichakani na ni malaya aisee hili kabila wanawake au wasichana wake hawakatai hata kidogo aisee nakumbuka...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kichwa cha familia, usipoteze ubaba wako kwa upofu wa mapenzi

    Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria 1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani. 2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza...
  4. JamiiForums Tanzania Eboué: Jinsi Mapenzi Yalivyomfilisi Star wa Arsenal

    Hakuna pigo linaloweza kumvunja mwanamume vipande vipande kama kujitoa kwa 100% kwa mwanamke unayemwamini na kumpenda, halafu mwisho wa siku anakunyima hata sehemu ya kulala kwenye nyumba uliyoijenga kwa jasho lako mwenyewe. Hiki ni kisa cha kweli cha aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

    Mchagua Jembe sio Mkulima na wahenga wakaongeza kuwa penye Miti mingi hapana wajenzi. Wanaume halisi huwa hatuchagui wanawake kutokana na Genes zetu purely ni za Kiume hivyo basi kila kiumbe kinachoitwa Mwanamke ni halali yetu. Ni ktk mtindo huo tunawapa heshima na thamani wanawake wote, Sisi...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume, usipende mapenzi ya mteremko

    Kuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko. Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na huyo dada atakuwa anakuhudumia ili mradi uweze kunasa kwenye mtego. Baada ya siku kadhaa kupita, na...
  7. JamiiForums Tanzania Mapenzi pesa kaka, akadai si kweli

    Nilikua napita napita insta kama kawa kwenye shughuli zangu, za kila siku, nikakutana na jamaa Mmoja, kashare stori yake. Jamaa anadai tangu 2017 hajawahi ishiwa kwenye acc yake ya bank chini ya milioni 50. Yani NYUMBA, gari, pesa si kitu kwake Alisha tafuta akapata, ila cha kushangaza mapenzi...
  8. JamiiForums Tanzania Anusuriwe kabla kesi haijawa ngumu, mapenzi shikamoo!

    Habari na poleni na uwajibikaji! Kuna jirani yangu (Mtanzania) ndoa ya miaka 3 mpaka sasa, na alimuoa huyo mwanamke (raia wa Zambia) tayari mke akiwa na mtoto aliyezalishwa akiwa nyumbani kwa wazazi na mwanaume mwingine. Wakiwa wameoana mtoto aliachwa kwa wazazi wa mwanamke, kufikia mwanzoni...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Msanii aliyesafiri kwa Baiskeli kutoka India hadi Ulaya kwa Mapenzi

    Msanii wa India, PK Mahanandia, alikutana na Charlotte Von Schedvin katika jioni ya baridi mjini Delhi mwaka 1975, baada ya Charlotte kumwomba amchoree picha yake ya uso. Kilichoanza kama ombi la mchoro wa dakika chache baadaye kiligeuka kuwa simulizi la kipekee la mapenzi, lililomfanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naumwa sasa sababu ya mapenzi

    Jumapili njema wakuu, nimeenda church Leo kidogo. Nimetoa sadaka ya laki sita baada ya kupiga diesel ⛽ za kutosha kwenye skavetaa yangu kwa ajili ya kufutiwa dhambi maana hali mbaya sana, baada ya kuachwa na Mwanamke wa ndoto yangu Khadija, nikafanya kila mbinu ya kumrudisha ila zote zimefelii...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mwezi nifanye mapenzi mara ngapi?

    Shikamoni wakubwa............. .leo tena mnaobeti mpeni England uhakika. Sasa nimekuja na swali dogo ivi kiafya nichakate mbususu mara ngapi kwa mwezi? Nimeona nilete huu huzi maana kuna binti kwa sasa tunaenda wiki ya tatu tunakulana ila jana nilianza kuwa na hali ya kukinai, Yaani...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako akikuuliza “Una lengo gani na mimi” unamjibuje?

    Habari Kama kichwa cha habari kinavyosomeka... Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu. Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
  13. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni hisia ya kufikirika

    Mapenzi sio hisia iliyo dhahiri ni jambo la kufikirika ambalo binadamu anahisi kuna ukweli juu ya hisia hiyo lakini kumbe ni kama kijicho ama mazingaombwe na siyo hisia iliyo ktk uhalisia.
  14. JamiiForums Tanzania Siku mkija gundua kwamba mapenzi si ya kuendekeza mtakuwa mmechelewa sana

    Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi, Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi Let say unapata 20,000$ monthly Kwanza kabisa tenga 1,000$ akiba dharula Invest . Kuwekeza Muhimu 5000$ Pili wazazi au walezi. 500$...
  15. JamiiForums Tanzania Ukimwi hauui ila Mapenzi yanaua.

    Tumia KONDOMU. Usiseme sijakwambia. Sirudii mara 2 nikipita nimepita. Vaa Condom.
  16. JamiiForums Tanzania Kwenye mapenzi

    Kama unajiamini kama mimi na unayo pesa , kamwe usiseme kumpata mwanamke mzuri, kunategemea tabia yake Ukweli ni kwamba hatuna mwanaume anapenda mwanamke m baya wa sura ni ukosefu wa pesa tu bwashee
  17. JamiiForums Tanzania Kijana usikubali kuwa kwenye mapenzi na binti mpumbavu

    Mtu mpumbavu hupimwa kwa yale yamtokayo moyoni mwake. Au hupimwa kwa chatting stylist yake. Binti unachat naye kidogo anaanza kuandika njaa inaniuma. Hajala anasema , anahitaji umtumie elfu 5 ya kula. Huyu ni binti mpumbavu, ukimwoa mtazaa watoto wajinga wenye mtindio wa akili. Elfu 2 anaomba...
  18. JamiiForums Tanzania Wadada wa kichaga acheni usela kwenye mapenzi

    Ciao.! Tushakubali kuwa hamko romantic ila punguzeni usela kwenye mapenzi. Yan ukiwa na pisi ya kichaga inakuchanganya mpaka unashindwa kuelewa wewe ni mshikaji wake, kaka yake au mpenzi wake. Pisi ya kichaga kukuita "oi" ni kawaida sana au text inaingia ukifungua unakuta imeandika "vipi man"...
  19. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kutafutana mwisho wa mwezi siyataki

    Mambo ya kuitana switii, bebiii, asaliii...sitaki, najua mnavizia hiki kimshahara kangu. Mshahara ni wa kwangu, nimeupata baada ya kuchomwa na jua pamoja na kumaliza soli ya kiatu kwa kutembea; achilia mbali manyanyaso ya huko kazini. Sasa ni muda wa kujipongeza mimi mwenyewe na nafsi yangu...
  20. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Instagram, Facebook na TikTok ni kituko kinachostahili kufundishwa darasani

    Mapenzi ya siku hizi yanafurahisha kama hujawahi kuwa muhanga wa michezo. Uko zako Insta au Facebook ama TikTok unavinjari zako tu, ghafla unaona demu ka like comment au post yako na kaku follow kabisa. Unasema, Ngoja nitest zali nijioenee nisikae kinyonge unakaaje mwezi mzima hutongozi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…