ZINGATIA HAYA KIJANA ILI UWEZE KUAJIRIKA AMA KUJIAJIRI MAPEMA
Wimbi la ukosefu wa Ajira ni kubwa duniani kote sio tu Tanzania. Ni tatizo linalohotaji suluhisho la kimkakati ili kulipunguza kama sio kuliondoa kabisa. Wasomi kwa sasa ni wengi na kila mwaka wanaohitimu vyuo kwa ngazi mbalimbali ni...
Lawama na kelele zinazoendelea kuhusiana na uanzishwaji wa tozo za miamala na za kifedha sasa zimekuwa kama kelele za chura akiwa kwenye maji kwani hayamzuii tembo kuyanywa maji apatapo kiu.
Lawama na malalamiko mengi yameanza mwaka 2021 baada ya serikali kuanzishwa kwa tozo mbalimbali kwa...
Watu wengi wanapo anzisha biashara huwa kuna baadhi ya mambo wanazingatia mfano;
-wateja
-Gharama za uendeshaji
-jinsi ya kukuza thamani ya bidhaa katika biashara n.k
# Lakini husahau kitu cha msingi Sana katika biashara ambacho ni namna ya kusimamia mzunguko au ktiririko wa fedha katika...
Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini.
Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
Wengine kama akina GENTAMYCINE tuna Udhaifu Mmoja mkubwa wa Kukariri Jambo na Kutosahau Milele hivyo tunakumbusha tu ujio wa Ndege zetu zingine Mbili Kubwa za Air Northern Malawi.
Halafu tunawaombeni kama ambavyo huwa mnapenda Kukurupuka kwa kutafuta Sifa Kwetu Wananchi wa Northern Malawi juu...
Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?
Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo.
Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious.
Sisi tutachukua kombe la digital design
Kujifungua kwa njia ya kawaida kuna tofauti na kujifungua kwa upasuaji. Pamoja na furaha yote, lakini kumbuka kwamba kujifungua kunakuja na mzigo mwingine hasa wa mabadiliko ya mwili wako.
Shepu itabadilika sana na utahitaji kuzoea tabia mpya. Kama umejifungua kwa upasuaj, utahitaji muda nwingi...
Kwema Wakuu!
Leo sina mengi, kwenye maisha mambo haya unapaswa uyajue mapema Sana kuwahusu binadamu, hii itakusaidia katika harakati zako za kimaisha;
1. Usiwe na mazoea na binadamu.
Iwe ni kazini au unapoishi usiruhusu majirani au wanaokuzunguka kukuzoea zoea.
Heshimu kila mtu lakini...
January Makamba , Waziri wa Nishati. Tunakuomba usikie kilio cha wananchi na kauli ya Rais ya kazi iendelee.
Kuna fedha za kufanya miradi mipya ya umeme kwa kila mkoa ulizitenga na kuzipitisha kwenye bunge bajeti ya 2022/2023.
Tunakuomba tuko chini ya miguu yako tunasali ili fedha hizo zifike...
Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho.
Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama yuko madarakani.
Mama anasafiri kila wakati, nchi tunakopa pesa ,anakusanya Tozo ,anatafuta maeneo...
Habarini wakuu,
Hongereni kwa mliochaguliwa kujiunga na kidatChcha tano, kikubwa tusiishi na historia, Kama ulipata division one O - level jipange upya ukatafute one nyingine ila hakuna uhusiano kati I ya performance ya O level na advance, unaweza ukakuta aliyepata three O level akawa...
Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana.
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama ule wa Nyerere Hydropower (Stiglers Gorge) ukakimbilia ubalozi wa Marekani kuanza kuomba misaada...
Marvel's Doctor Strange in the Multiverse of Madness tayari ameingiza dola milioni 42 kabla ya mauzo ya tikiti kabla ya kutolewa Mei 6, Filamu inayokuja sio tu muendelezo wa Doctor Strange wa 2016, lakini ni muendelezo wa Loki na Spider-Man: No Way Home.
Filamu ya Doctor Strange pia itaendeleza...
Nilijitahid sana kutoandika siasa lakini Imenibidi.
Tulimhukumu sana Kikwete kuwa na mchezo mchafu wa kukata na kuendesha chama Vibaya kumbe tulikosea.
Mwaka ujao ni wa Uchaguzi tutashuhudia mpasuko Mkubwa wa CCM hata kama watashinda lakin si kwa kishindo, na mpasuko huo ni mkubwa kuliko watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.