mapambano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, leo Julai 12, 2022

    ====== Maxence Melo: PESA ZA UVIKO SIO BWERERE, TAKUKURU IPO MACHO Tanzania imeelezwa kuwa ni miongoni mwa Nchi zinazofanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa licha ya changamoto kadhaa, ambapo ushauri umetolewa pesa za UVIKO-19 zinazotolewa na Serikali zikitakiwa kutumiwa vizuri kwa...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

    Wanaukumbi. Inna lillahi waina ilayhi rajiuun Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania)...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi wa Bavicha waliwabagua wanaYanga na kujiegemeza kwa Simba. Mapambano ya katiba mpya ni kwa Simba FC? Huu ni ubaguzi na hawafai kabisa

    Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa UM asema mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaharibu utendaji wa uchumi wa Afrika

    Mjumbe wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP nchini Kenya Bw. Walid Badawi amesema, mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaathiri vibaya utendaji wa uchumi wa Afrika. Bw. Badawi amesema, mgogoro huo umesababisha ongezeko kubwa la gharama ya bidhaa za msingi barani humo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mapambano makali kati ya jeshi la DRC dhidi ya kundi la M23 yaanza tena

    Msemaji wa FARDC Kanali Ndjike Kaiko amesema mapambano makali kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Kundi la waasi lijulikanalo kama “The March 23 Movement” (M23) yameanza tena mapema jana huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Kanali Kaiko amesema FARC ilianza kufanya...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TLS: Harold Sungusia huyakimbia mapambano nyakati ngumu

    Sungusia hana Uwezo wa kuongoza nyakati Ngumu! Huyakimbia matatizo! Historia ya Wakili Harold Sungusia inamuweka upande wa watu ambao hawana uwezo wa kukabiliana na changamoto ngumu pindi zinapojitokeza na badala yake inamuweka kwenye kundi la watu ambao huzikimbia changamoto hizo bila...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni upo 'serious' kweli katika Kupambana na Ajali za Barabarani nchini Tanzania?

    Yaani Waziri Masauni umeshakiri Mwenyewe kuwa Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani kwa Makusudi wameondoa 'Spidi Gavana' katika Mabasi ya hali inayopelekea Madereva Wao kwenda Mwendo Kasi na Kusababisha Maafa (Ajali) zinazoua Watanzania na kuwapa Ulemavu wa kudumu halafu Wewe unawapa 'Ultimatum' ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wazo la kudai Katiba Mpya lilikuwa ni la Dkt. Sengodo Mvungi. Inabidi apatikane mtu mwingine mwenye nia ya dhati kuongoza mapambano, si Mbowe

    Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba. Kikwete alisema Dr Mvungi alikuwa anapiga kambi hotelini kule Bagamoyo akifanya michakato ya namna ya kuipata katiba mpya itakayowainua...
  10. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Mapambano ya shetani dhidi ya elimu ya Mungu yanaendelea

    Baada ya kuwaza na kuwazua yule Mwasi mkuu yaani Shetani akaja na wazo ili kudumisha wazo lake la kutokufa hakika (Mwanzo 3:4),alitunga Uongo mwingine ili kulinda uongo wake wa awali. Wazo lake likawa hivi: MTU AKIFA ROHO YAKE HAIFI,ITAENDELEA KUISHI MAHALI PENGINE. Katika uongo huu ameilevya...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Belarus wajiunga kwenye mapambano dhidi ya Urusi

    Wasema imefikia wakati wa Belarus kujiokoa kutoka kwenye mikono ya Mrusi, waelekea Ukraine kufanya yao huko, na hii itasababisha vitaifa vyote ambavyo vimekua vikinyanyaswa na Urusi kujiunga pia kwenye haya mapambano. Huu ndio muda muafaka wa Mrusi kufumwa mkuki maana tayari kalegea na...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uwazi katika Utendaji wa Serikali: Nyenzo Muhimu ya Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Mapambano dhidi ya Rushwa

    Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo. Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Maelfu ya makomando wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku ili kusaidia kwenye mapambano

    Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine kutokea kwenye mataifa ya NATO. Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi sana kwa 'Kiherehere' cha Tanzania Kukubali kuwa Kituo cha Mapambano ya Ugaidi Afrika

    Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi. Je...
  15. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi na CHADEMA matokeo ya kuzira yanawadhoofisha

    Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio waende,au kwasababu mbowe yupo segerea,,yalaaa,,wakati mwingine walihisi kwamba ni mkutano wa rais...
  16. Mtoto wa nzi

    JamiiForums Tanzania Katika yale Mapambano ya Kuachana na Ulevi

    Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
  17. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021. Fuatilia matangazo hapa Dondoo ujio wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya wanaume yanaendelea: Mkuu wa Wilaya aagiza wanawake wasitoe huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

    Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma ambaye ni mwanamke mwenzetu ameagiza wanawake wa Ruvuma kabla hawajafanya mapenzi na wanaume wawakague kwanza kujiridhisha kwamba wametahiriwa, ikiwa hawajatahiriwa wasitoe huduma ya mapenzi. Hii yote ni mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi kwani utafiti unasema wanaume...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Angalizo UN, Katiba Mpya - Mapambano yanaendelea

    Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani. Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii. Kiongozi dikteta si wa zama hizi. Hautakuwa peke yako baba askofu. Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA yasisitiza ushirikishwaji wa Wanaume katika mapambano dhidi ya Ukatili wa Kijinsia

    TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake. Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha...
Back
Top Bottom