Ndugu wanajukwaa,
Kuna jambo lazima lisemwe wazi bila kuficha ukweli: vijana wa Tanzania tumechoka na mifumo isiyo na tija inayotukatisha tamaa kila siku.
1. Ajira Portal – Kivuli cha Matumaini
Leo unaona nafasi moja ya kazi, wanaomba watu zaidi ya 1,000. Huu si ushindani wa kawaida—ni dalili...
Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama ilivyopangwa huko Shanghai. Likiwa jukwaa muhimu la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya...
Katika maonyesho haya ya wakulima kipindi hiki imekuwa na utofauti mkubwa sana Zaidi ya mwaka Jana.
Tofauti ni Kuwa wamachinga wa nguo ,wamachinga wa vyombo na mama ntilie,wauzaji wa dawa za asili wamekuwa wengi kuliko wakulima na wafugaji.
Mabanda ya ng'ombe, mbuzi, na kuku hayazidi...
Wakuu maonyesho ya saba saba yamekuwa yanafanyika Dar Es Salaam tu. Sasa huku nina kama ekari mbili. Nataka niweke maonyesho ya saba saba. Nipangishe wafanyabiashara waweke matenti. Naruhusiwa? Utaratibu uko namna gani?
Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto.
Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha.
Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k.
Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.
Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai.
Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Biashara ya China kwa kushirikiana na Shirika la Biashara Duniani (WTO), ni maonesho makubwa zaidi ya...
Na Mwandishi Wetu
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera.
Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya...
Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini
📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿
Kusini International Trade Fair & Festival 2024
Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi hapa Nchini kuanzia Tarehe 1-4 Mwezi huu wa July.
Ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa pia kuwa mgeni Rasmi na kufungua maonesho ya sabasaba. Lakini pia Rais huyo wa Msumbiji atashiriki...
Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu mweusi wa kumuweka kwenye hilo bango? au ndo tunaandaliwa kisaikolojia kwa mchina kukabidhiwa...
Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao?
Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere.
Pengine labda nimesahau. Kama ni...
Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
MAONYESHO YA MWAMI TEREZA NTARE II JUMBA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA
Ukiingia lango kuu la Makumbusho ya Taifa sasa unaelekea kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare imewekwa picha kubwa inayowaonyesha wanawake mashuhuri katika historia ya Tanzania.
Nimesimama hapa kwa muda naziangalia...
Kwa wadau wnaaotaka kusafiri china na turkey Kuna maonyesho mbali mbali Katika kipindi mbalimbali katika mwaka kama ilivyo kwetu Kuna 7/7.
Nina dondoo kidogo...naomba tukutane hapa kupeana huu mchongo kwani nimekuja kugundua yaani Kwa sisi ambao hatukuwa kusafiri china au uturuki....kuenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.