maonyesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Jengo la minara pacha la Chengdu lafanya maonyesho ya taa

    Jioni ya Machi 8, huko Chengdu, Twin Towers katika mji huo zilifanya maonyesho ya taa ya kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake.
  2. L

    Maonyesho ya taa yafanyika katika mitaa ya biashara mjini Beijing

    Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, maonesho ya taa kusherehekea michezo hiyo katika mitaa ya biashara mjini Beijing yanaonekana vizuri kutoka umbali wa kilomita 10.
  3. B

    Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'

    Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'. Kesho Jumamosi ndo siku yetu Tanzania na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza tukio.
  4. L

    Maonyesho ya Shandong Yaimarisha Uhusiano kati ya China na Kenya

    Na Tom Wanjala Maonyesho ya nne ya bidhaa zinazouzwa nje ya mkoa wa Shandong nchini China, yaliyofanyika jijini Nairobi wiki iliyopita, yalifana kutokana na idadi kubwa ya watu waliohudhuria. Maonyesho hayo yaliyofanyika kati ya tarehe 16 na 19 mwezi huu, na ambayo lengo lake kuu lilikuwa...
  5. A

    Fursa ya kujiunga kwenye maonyesho ya biashara nchini china

    hello members, kampuni ya muye group ya Tanzania kwa kushirikiana na CHINA -AFRICA TRADE RESEACH CENTER NA kudhaminiwa na manisipaa ya mji wa hengshui hebei china wataendesha maonyesho ya kibiashara kuanzia tarehe 15-17 december nchini zaid ya masupplier 400 kutoka china watashiriki...
  6. L

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China ni fursa inayokua kwa biashara duniani

    Ijumaa hii Shangahi inafungua milango yake tena kwa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China, ( CIIE). Ikiwa sasa ni mwaka wake wa nne, maenesho hayo yamekuwa jukwaa muhimu la kwa bidhaa za dunia kupata soko nchini China na pia wafanyabiashara kukutana na kubadilishana. Kama mwaka uliopita...
  7. L

    Maonyesho ya biashara ya 130 ya kimataifa ya Guangdong yaendelea kujenga picha nzuri ya ushirikiano kati ya China na Afrika

    Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya muda mrefu zaidi na endelevu zaidi kati ya maonyesho yote ya kimataifa ya biashara duniani hadi...
  8. chiembe

    Viwanja vya maonyesho ya biashara sabasaba vya Mwalimu Nyerere, visiwekewe sanamu la Magufuli, ni kuchanganya Magufuli na Nyerere

    Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
  9. L

    Ch8na: Maonesho ya sanaa za historia ya CPC yafanyika

    Maonyesho ya kuonyesha sanaa za historia ya CPC yafanyika Maonyesho ya sanaa za historia ya Chama cha Kikomunisti cha China yamefanyika kwenye Jumba la Kumbukumbu la Kitaifa la China. Kwenye maonesho hayo kuna michoro mbalimbali na kwa jumla yanaonyesha kazi za sanaa 100 za asili katika aina...
  10. Rufiji dam

    Maonyesho ya Sabasaba kipindi hiki cha Corona yana umuhimu gani?

    Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike. Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road. Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho...
Back
Top Bottom