maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maoni ya Hassan Bumbuli kuhusu Kocha Juma Mgunda

    Kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;
  2. JamiiForums Tanzania Maoni mbalimbali kutoka kwa Mabeberu kuhusiana na SMO ya Urusi

    The Decline And Fall Of The Western Empire Almost everyone sees it, and almost no one wants to discuss it: America and Western Europe are spiraling out of control. And the speed of the descent is crescendoing rapidly. By Jonas E. Alexis, Assistant Editor - August 30, 2022 Almost everyone sees...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Serikali sikivu - kodi zilizoondolewa na serikali baada ya kupokea maoni ya wananchi ili kuboresha

    Wote tunakumbuka bajeti ya serikali iliyowasilishwa kwa mwaka 2022/23 ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za ndani (kwa zaidi ya 67%, hili ni jambo la kihistoria na la kipekee). Baada ya uwasilishwaji wa bajeti...
  4. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tumepokea maoni ya tozo, tunashughulikia

    Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio na malalamiko ya wananchi wake kuhusu vipengele kadhaa vinavyohusiana na tozo. Mfano wa mapendekezo hayo ni uwepo wa makato mara mbili kwenye miamala ya simu wakati wa kutuma na kutoa. Kupitia mkutano wake na waandishi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Sensa 2022

    Wadau, hivi Serikali haikuona umuhimu wa kuunganisha masuala ya postal code na mifumo hii ya sensa? Kama tayari anuani za makazi zipo kwenye system, huyu karani anayekuja kwenye makazi yetu alitakiwa kwanza akifika aingize ile anuani anayoikuta (kwenye milango yetu) au vibao vile walivyoweka...
  6. JamiiForums Tanzania Si rahisi watu kufanana namna ya kufikiri na kutoa maoni! 'Critics' lazima ziwepo ili kufikia maendeleo endelevu!

    Kwamba kwenye nchi hii haitakiwi kuwa na maoni tofauti? Kwamba kila mwenye maoni tofauti ni mpinzani wa maendeleo? Basi watafukuzwa wengi!
  7. JamiiForums Tanzania Kura za maoni ya Wamarekani 57% waunga mkono FBI kumpekua Trump

    Asilimia kubwa ya Wamarekani waliopiga kura ya maoni kuhusu uamuzi wa FBI kufanya upekuzi nyumbani kwa Rais wa zamani wa taifa hilo, Donald Trump wamesema upekuzi uendelee na hakuna kibaya kuhusu uamuzi huo. Kituo cha NBC News kilianzisha mchakato wa kura ya maoni kuona ni sahihi kile...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maoni yangu kuhusu uchaguzi Kenya: Wananchi wamefikishwa hatua ya kuchagua liwalo na liwe!

    Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis. Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya nani mzuri zaidi kati ya ubaya. Hatuna la kujifunza hapo!! SAD BUT TRUTH
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali ianzishe kura ya maoni wananchi wafichue Ofisi, Idara, Vitengo na Taasisi za Serikali zilizokithiri kwa urasimu nchini

    Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti. Urasimu huu sio kero tu watanzania, bali hata kwa wageni wakiwemo wawekezaji wanaotafuta vibali au huduma nyingine...
  11. JamiiForums Tanzania Maoni: AzamTVMax Web App

    Ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la JMT, Mimi nikiwa mdau wa huduma za AzamTV kuna jambo ambalo ningependa kushauri kuhusu huduma ya ku stream channel za AzamTV kupitia web app. Najua management ya AzamTV wanajua changamoto ya huduma ya internet hapa kwetu na pia najua kua wanajua...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

    Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2015 Hadi sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la kampuni za michezo ya kubeti kuja kuwekeza Tanzania. Je nikutokana na kuimarika kwa huduma za internet, au upatikanaji mzuri wa njia za malipo ya simu? Je kutokana na uwekezaji wanaokuja nao mathalani kila kampuni...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu bora ni ipi?

    Utangulizi. Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine (Wikipedia). Elimu...
  15. JamiiForums Tanzania UTENGUZI/UTEUZI Maoni na ushauri

    Napokea maombi ya wafuasi wangu Inbox wakitaka maoni kuhusu utenguzi, na uteuzi wa IGP na DCI. Maoni yangu ni mafupi tu, Jeshi la Polisi lina siasa kali ambazo zinaliangamiza taifa, Ushauri nilishauweka katiks kitabu cha Ujasusi, Mh Rais vunja jeshi hili na unda Huduma ya Polisi. Kwa maoni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya maoni ya Watanzania kuhusu ugawaji wa majiko ya Gesi Kanda ya Ziwa

    Haya ni baadhi ya maoni yaliyokusanywa na Mtandao wa Facebook wa Gazeti la Mwananchi leo Julai 19,2022 kuhusiana na mpango wa Waziri Januari Makamba kugawa majiko ya gesi mikoa ya Kanda ya Ziwa Mirisho Kitomari Umesema Kaya masikin je iyo gesi ikiisha atapata wp pesa yakujaza Tena gesi...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada au maoni yako ni muhimu hapa.

    Natumaini sote ni wazima wa afya. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kupata kazi iwe ya kujitolea(volunteer) au kuajiriwa katika mashirika ya kimataifa ( UN, UNHCR, UNDP,FAO,USAID,UKAID nk.). Iwe ni skilled work au unskilled work, yoyote tu. Mimi ni university graduate wa 2021. Asante.
  18. JamiiForums Tanzania Maoni ya Democrats: Wanamtaka mtu mwingine agombee Urais wa Marekani 2024

    Most Democrats want someone other than Biden to run in 2024: Poll A new Siena College-New York Times poll highlights the US president’s dwindling popularity amid domestic and international crises. Only 26 percent of Democratic respondents want Joe Biden to be the party’s nominee in the next...
  19. JamiiForums Tanzania Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
  20. JamiiForums Tanzania Tunisia; Mwandishi wa habari kizuizini kwa kutoa maoni kumhusu Rais

    Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani Waendesha mashtaka wa jeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…