maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kufanya maombi ya ajira wa TRA unaleta errors wataalam wa IT wa TRA urekebisheni

    Mfumo unaleta internal saver error. Hapo inakua ni ngumu kufanya usajili ili uweze kufanya maombi ya ajira.
  2. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Maombi Maalum kwa Uchaguzi wa CHADEMA.

    Ee Mungu mwenye uwezo wote, tunakuja mbele zako kwa unyenyekevu na shukrani kwa nafasi ya kuwa sehemu ya mchakato wa kidemokrasia ndani ya chama cha Chadema. Mwenyezi Mungu mwenye rehema na neema, Tunakuja mbele zako leo tukiwa na mioyo ya shukrani kwa fursa hii ya kuchagua viongozi wa CHADEMA...
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mbowe sasa aamua kutufungia maombi ya siku moja tuliomkataa

    Tumefungiwa maombi ya siku moja turudi kwa baba. Kwa niaba ya tuliomkataa Mbowe nasema kwamba huyu mchungaji anapoteza muda wake bure. Mbowe tulimkataa, tunamkataa na tutamkataa katu hatutarudi kwake kama ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama baada ya huu uchaguzi mkuu wa Chama. Sababu za...
  4. R

    JamiiForums Tanzania MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mungu asikia maombi ya wanandoa wa kimarekani na kuikoa nyumba yao dhidi janga la moto

    Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao
  6. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
  7. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Jambia: Yanga inahitaji maombi zaidi kwasasa

    Ili Yanga iweze kufuzu hatua ya robo fainal basi ndiyo timu inayohitaji maombi zaidi kwasasa. Maneno hayo yamesemwa na Wilson Oruma a.k.a Mzee wa Jambia
  8. hmaloh

    JamiiForums Tanzania Mungu yupo jamani natena anatenda na kujibu maombi

    Asalaam aleykum wana jf wengine itifaki imezingatiwa,leo nimeamua kuja na hii mada yakuwa Mungu yupo na anafanya kazi katika Kila sekunde ya saa kama hauamini basi nikwasababu tu umekataa kuamini kuwa yeye yupo na anatenda (God is almighty) pia haangalii dini wala dhehebu ila Imani yako thabiti...
  9. Now and then

    JamiiForums Tanzania Hivi ulimwengu unaendeshwa kwa namba, maombi au karma?

    Katika haya Maisha ya ulimwenguni kuna code ambazo ni ngumu kuzielewa. Wapo wanaotumia namba kufanikisha mambo yao hawa hauwezi kuwakuta kanisani au msikitini. Hawa wanajua kwenda sawa na mitetemo ya kila mwaka. Kuna hawa wengine wao wanaamini katika maombi tu yawe maombi ya giza au nuru...
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dakika 13 za kwanza za mwaka mpya kwa ajili ya Maombi ya ushindi kwa Tundu Lissu

    Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:- * Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo; * Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo; * Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya...
  11. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Rais wetu mpendwa Samia Suluhu

    Mheshimiwa Rais Wetu Mpendwa Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania... Salaam Nyingi Zikufikie Hapo Ulipo. Natumai nawe umepumzika kwa namna fulani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka, kama ambavyo sisi tumepumzika hapa Serengeti National Park. Nisikuchoshe sana Mh. Rais.. Maombi Yangu Ni Haya...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Huwezi fanikiwa kwa chochote bila maombi tena usiku wa manane

    Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu. Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana. Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio kuombewa kuomba mwenyewe. Na mkiristo anaye omba yeye kama yeye kuombea jambo lake ndio anafanikiwa...
  13. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuomba maombi yako ya kawaida kwa sauti kubwa?

    Kwa nijuavyo kuna aina tofauti za maombi. Maombi binafsi yanayohusu haja zako binafsi. Kuna maombi ya jumla kuombea watu wengine mfano uponyaji na kuna maombi ya vita kama vile kukemea hali fulani. Swali langu kwa waombaji, je ni sahihi kutumia kipaza sauti wakati wa kuomba maombi binafsi?
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Maombi ya Mwamposa yampa mama huyu TV na simu, abeba rimoti ili ibarikiwe

    Wakuu, Kawe leo kumezidi kupamba moto Kama hauna TV usijali, cha msingi nenda kapate maombi ya Mwamposa ili upate vifaa vyako hivyo. Samsung, LG na Hisense soon zinaenda kuwa out of business maana sasa hivi ukigusa tu kidogo TV unapata Naomba nisiongee sana nsije kuharibu...
  15. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi

    Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi:)
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa dini hawafanikiwi katika maombi yao?

    Watu wa dini asilimia kubwa hawafanikiwi Kwa sababu zifuatazo . Huu ulimwengu unajiendesha wenyewe . Unachobidi ni kuupelekea ulimwengu ambacho wewe unahitaji ili uweze kukipata . Mfano haiwezekani wewe kila Ahsubui uianze siku Kwa kugombana na shetani , wachawi n.k then hapo hapo uombe neema...
  17. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Wakristu wenzangu, nyie mnaombaje hadi kujibiwa maombi yenu. Tusaidiane kwa mapenzi ya kristu

    Nimefunga, nimeshirikisha, nimeomba alfajiri lakini bado tabu ninayopitia inaendelea kunitafuna. Tusaidiane wakuu.
  18. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliyefanikiwa kuedit kipengele A (personal information) kwenye mfumo wa maombi ya ajira uhamiaji?

    Nimekwama hapa Naomba msaada kwa anaefahamu.
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru Mungu amejibu maombi ya watanzania mara moja tu mwaka 2021

    Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.? Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani. Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Sasa kama wewe ni Mtakatifu unaenda kufanya nini kwenye mikesha ya Maombi na Maombezi?

    Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume! Yaan unamkataa kabla halafu kwenye kuombewa, unatoa machozi kabisa kumuhitaji. My friend, utakanyaga mafuta mpaka uote magaga na...
Back
Top Bottom