maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbuzi mwenye jinsia mbili (kike na kiume) kufanyiwa Maombi

    Tukio la kuzaliwa kwa mbuzi mwenye viungo vya jinsia zote mbili (kike na kiume), limeibua mshangao na taharuki kwa wakazi wa Mtaa wa Nyantorotoro B, Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita, huku mmiliki wa mbuzi huyo akimtelekeza kwa balozi wa shina ili apatiwe maombi, akiamini huenda angeweza...
  2. JamiiForums Tanzania Leo ni siku maalum ya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kukusudia Oktoba 29, 2025

    Leo, Jumapili, Machi 29, 2026, inatumika kama siku maalum ya maombi na kumbukumbu ya kitaifa kwa ajili ya watu waliouawa, waliojeruhiwa, au kupotea wakati na baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania. Muktadha wa Kumbukumbu Hii Tukio la Msingi: Oktoba 29, 2025, ilikuwa siku ya...
  3. JamiiForums Tanzania MKURUGENZI WA SHERIA CHADEMA: Mrejesho wa shauri la marejeleo Na. 8323/2026 na Kesi ya Msingi ya mgawanyo wa mali na maombi madogo Na. 8960/2025

    Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama. Kuhusiana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mahakama ya Rufaa kusikiliza maombi ya CHADEMA kutaka kesi ya mgawanyo wa mali kufanyiwa marejeo

    Leo Machi 24, 2026 Mahakama ya rufaa itaanza kusikiliza maombi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ya kutaka yafanyike marejeo (revision) ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za Chama iliyofunguliwa na Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili. Ikumbukwe kuwa, Chadema kupitia kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini. Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini waumini wa dini huwa wanafanya dua, sala au maombi?

    Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu? Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama alivyopanga kwa sababu tunaambiwa kila jambo alishalipanga?
  7. JamiiForums Tanzania Maombi maalum kuombea Amani vita ya Iran VS USA/Israel

    MAOMBI YA USIKU MAOMBI YA KUOMBA AMANI NA UTULIVU KATIKA [TAJA HIZO NCHI]LI KUSIWEKO NA MAGOMVI. KWENYE FAMILIA TAJA HIZO NCHI MUNGU AKUBARIKI NAIONA IKIISJA KWA.AMANI NA UTULIVU --- UTANGULIZI Familia ni mpango wa Mungu na msingi wa jamii imara. Shetani, adui wa roho zetu, hulenga familia...
  8. JamiiForums Tanzania Maombi ya Tanzania na Uganda kuondolewa uanachama Jumuiya ya madola yawasilishwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG)

    Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za Tanzania na Uganda kuondolewa a mara moja kutoka Jumuiya ya Madola. Sababu kuu zilizotolewa ni; 1...
  9. JamiiForums Tanzania Maombi naalum kwa viongozi wafanyakazi wa JF na members Mungu akafanye kuwa mbaraka kwenye nchi yetu mkawe juu mkabarikiwe mpaka

    Prayer for YOU! Father God, Tonight I lift up my Jf family to You. Every mother, every father, every business owner, every leader, every person carrying silent battles that nobody else sees. Lord, Your Word says You give sweet sleep. So I declare sweet sleep over their homes tonight. For the...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoto 7 zinahitaji maombi ya haraka ya kufunga na kuomba

    Not every dream is ordinary. Some dreams are warnings. When certain patterns repeat, don’t ignore them — respond spiritually. 1. Eating in the Dream If you constantly eat in the dream, it can symbolize spiritual contamination or covenant attacks. ⚠ If it repeats, fast and break every evil...
  11. JamiiForums Tanzania Nguvu ya maombi ya usiku wa manane

    cc  D2 C2 B2 A2 🔥 POWERFUL MESSAGE: WHAT HAPPENS WHEN YOU PRAY CONSISTENTLY AT MIDNIGHT 🔥 Beloved, There is something about midnight. It is not just a time on the clock — it is a spiritual gateway. It is the crossing between yesterday and tomorrow. It is the hour when destinies shift quietly...
  12. JamiiForums Tanzania Maombi ya kufunga kwa ajili ya kwaresma

    NIFUNGE NINI KWARESIMA.? Funga dhambi upate utakatifu. Funga huzuni upate furaha. Funga majivuno upate utukufu. Funga wivu upate baraka. Funga kinyongo upate faraja. Funga uchoyo upate neema. Funga dharau upate heshima. Funga hofu upate imani. Funga kiburi upate unyenyekevu. Funga hasira upate...
  13. JamiiForums Tanzania Maombi maalum kwa ajili ya Wanandoa na Mahusiano yao

    Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba. Day 05 Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia...
  14. JamiiForums Tanzania Maombi maalum kwa waliopo single wanaotaka wenza wao

    Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba. Day 05 Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yatupa maombi ya wagombea ACT Wazalendo, wafugua kesi upya

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
  16. JamiiForums Tanzania PASTA HANANJA MASHABIK WA BARCELONA NA ARSENAL TUNAOMBA MAOMBI YAKO USIKU HUU WENGINE KITANDA HAKILALIKI

    BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU AMEN KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO AMEN
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ubakaji, Kutesa, Kuua, Kupoteza? Makosa ya Samia ni makubwa mno machawa zidisheni maombi. Hapa haponi mtu

    Hakika angechezea tu Uchaguzi pengine angeepuka adhabu na mauti inayomnyemelea kwa sababu ujinga kama huo wanaufanya Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wengi.. Kuna ushahidi kuwa dunia hupotezea ujinga na wizi wa kura katika chaguzi za Afrika kwa sababu hakika ni ujinga tu. Lakini Unateka...
  18. JamiiForums Tanzania Nina Imani Mwenyezi Mungu ameyapokea maombi

    tebt
  19. JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi -Dental therapist

    Habari wana jamii 🙏. Natafuta kazi ya Dental Therapist. Nimemaliza masomo yangu Agosti 2025 na kwa sasa nipo Iringa, lakini niko tayari kufanya kazi popote. 📞0653711756
  20. JamiiForums Tanzania Maombi unayoelekeza kwa Mungu wa mbinguni, yamewahi kukusaidia kwa namna yoyote ile katika maisha yako?

    Maombi unayoelekeza kwa Mungu wa mbinguni, yamewahi kukusaidia kwa namna yoyote ile katika maisha yako ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…