manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi, wanasiasa na wafanyabiashara wazaliwa wa SINGIDA, Manyara na Kagera ni chanzo kikubwa cha umaskini kwenye mikoa yao

    Kila ukipita Singida unaona hali ni ileile miaka nenda rudi same applies to Manyara. Na hapa tunapita mjini hata maji ya kunywa shida, ukienda huko wilayani kisha vijijini hali ni mbaya zaidi. Mkoa wa Kagera ni moja ya mikoa maskini nchini kwa sasa. Pamoja na hali ya hewa nzuri na kuzalisha...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

    Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo. Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaompokea Rais Samia huko Manyara wametokea Dar es Salaam?

    Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake. Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara Mkoa wa Manyara

    Salaam Wakuu, Kulingana na Ratiba ya kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kesho 13 Oct 2023, anatakiwa afanye ziara Mkoa wa Manyara. Kumbuka Jana ndo amerudi kutoka ziarani India. Nashauri apumzike japo wiki sababu atachoka sana. Nakumbuka alifanya ziara Arusha hadi akaomba...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara.

    Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali; kujipanga na kuhakikisha Muongozo wa uwekezaji kwa Mkoa Manyara unawafikia wananchi wote ili kufanya kazi kwa...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbaazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto, Manyara

    Hali ya kushangaza na kustajabisha Katika zoezi la Mnada wa zao la Mbaazi. Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto. Mnada wa kwanza na waoili kuna tani zaidi ya 150 zilichukuluwa kwa wakulima na kupakiwa kwenye Malori direct kutoka kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Manyara: Tembo 11 wavamia vijiji

    Takriban Tembo 11 wamevamia maeneo mbalimbali katika mji mdogo wa Katesh wilaya ya hanang na kusababisha mauaji ya binadamu na kuharibu mazao mashambani.Idara ya wanyamapori chukueni hatua kabla maafa zaidi hayajatokea.
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Mkutano Julai 22, 2023 unaandaliwa na UWT Mkoa wa Arusha kushirikisha Manyara, Kilimanjaro na Singida ukihusishwa na DP World

    Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome. Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo. UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, EWURA yatoa onyo wanaohodhi mafuta

    Kuna ujumbe wa Mdau katupia picha hii na kueleza kuwa hali ilivyo katika Mbulu Mjini Mkoani Manyara Wananchi wakiwa kwenye foleni ya kupata Petrol ni baada ya takribani wiki wakikosa huduma ya Nishati ya Petrol. Hii inatokana na uwepo wa vituo vitatu pekee vya kutolea huduma hii muhimu na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa sukari mkoani Manyara unasababishwa na nini?

    Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na uhaba wa Sukari katika Mkoa wa Manyara. Hali hii imesababaisha bei ya Sukari kupanda Kwa Bei, ambapo kilo moja inauzwa Kati ya Sh.3500 hadi 4500.00. Hivi hili ni tatizo la nchi mzima au ni Mkoa wa Manyara pekee!?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Haydom marathon 2023 kuchangia matibabu kaya masikini

    Na John Walter-Mbulu Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo na kuboresha huduma zaidi. Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr.Pascal Mdoe akizungumza na waandishi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Manyara: Ujenzi wa Barabara ya lami ya km 25 kutoka Labbay hadi Haydom sasa unaanza rasmi

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kujenga kwa kiwango cha lami miradi mitatu mikubwa ya barabara mkoani Manyara ambayo itaunganisha mkoa huo na mikoa ya Jirani. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema hayo leo tarehe 19 Mei 2023 mji...
  13. JamiiForums Tanzania Wawili wakamatwa mkoani manyara wakiwa na pesa za kitanzania na simu 27

    Jeshi la polisi mkoani manyara linawashikilia watu wawili, mohamed said na diana lozi wakazi wa dsm kwa tuhuma za kukutwa na fedha taslimu za kitanzania wakihiswa ni za wizi na simu za mkononi 27 , katika nyumba ya kulala wageni mjini babati. Mwenye taarifa kamili tunaomba msaada.
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru

    WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kunipata Kwa Whatsapp 0656388678
  16. JamiiForums Tanzania Manyara: Mtendaji wa Kijiji ahukumiwa Miaka 41 jela kwa Ubadhirifu, Matumizi mabaya ya Madaraka na Wizi wa Mali ya Umma

    Aprili 25, 2023, Mahakama ya Wilaya ya MBULU imemtia hatiani Mshtakiwa Bw. SAMWEL QAMBINA DUKHO, katika Shauri la Uhujumu Uchumi Na.06/2022. Shauri hili lilikuwa mbele ya Mh. Victus KAPUGI na liliendeshwa na Mwendesha Mashtaka MARTINI MAKANI Katika shauri hilo mshtakiwa alikua anashtakiwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania TANAPA yasema mvua zimeharibu Daraja la Marera katika Lango Kuu la Hifadhi ya Taifa Ziwa Manyara

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema uharibifu huo umetokea katika Daraja la Marera lililopo Kilometa 2.3 kutoka lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, TANAPA imeeleza kuwa jitihada zinaendelea kurekebisha daraja hilo na miundombinu mingine.
  18. JamiiForums Tanzania Watu 33 wanusurika Kifo kwa kula nyama iliyouzwa Tsh 2000 kwa kilo

    Watu 33 wa kijiji cha Kazingumu kata ya Namelock wilayani Kiteto mkoani Manyara wamenusurika kifo baada ya kula mzoga wa ng'ombe aliyekuwa anapatiwa matibabu ambapo nyama hiyo walinunua kwa shilingi 2000 kwa kilo badala ya bei ya kawaida ya 8000. Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mbaraka Al Haji...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Masanja atatua mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Buger na hifadhi ya taifa ziwa Manyara

    NAIBU WAZIRI MASANJA ATATUA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KIJIJI CHA BUGER NA HIFADHI YA TAIFA ZIWA MANYARA Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametatua mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ziwa Manyara Mkoani Arusha na wananchi wa kijiji cha Buger katika Jimbo la Karatu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha korosho mkoani Manyara

    Wadau, Naomba kuuliza kuna mtu ameniambia kuwa kama mtu anataka kufanya kilimo cha mikorosho Mkoa wa Manyara ni sahihi. Je, kuna ukweli juu ya hili jambo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…