PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao.
Walio na PhD baada ya kuingia darasani na kutoa andiko au kutoa andiko huenda mbele ya chuo husika na kusema...
Wakuu habari za asubuhi?
Rejea attachment mbili hapo chini. Mmoja inaonyesha video ya mfanyakazi wa Unilever Tea Tanzania( mufindi) akizuiliwa kuingia ofisini. Attachment ya pili inaelezea mkasa mzima.
My Take: Kumekua na unyanyasaji wa Wakenya dhidi ya wa Tanzania kwa muda mrefu sana. Tangu...
Mabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.
Mabinti wanaoajiriwa kutoka Afrika Mashariki kwenda kufanya kazi za ndani katika mataifa ya ghuba wanaendelea kulalamikia jinsi wanavyotendewa vitendo vya kinyama kama kuteswa na hata kubakwa na waajiri wao.
Waarabu inaonekana bado...
Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania,
Dawasa ni Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam, ikiwa na mikoa ya kihuduma mbalimbali likiwamo tawi letu la Ubungo. Tawi hili ofisi zake zipo Kimara matangini.
Katika tawi letu kumekuwa na manyanyaso sana...
Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
Baadhi ya wananchi wa Mbeya Mjini wamesema hawajamtuma bungeni Mbunge wao Dk. Tulia Ackon kutetea wezi na walanguzi wa kuwakamua wananchi kupitia biashara ya mafuta.
Hii ni baada ya wachangia kuwashambulia wananchi wa Mbeya kwamba ndiyo wamesababisha tatizo hili kwa kuwa maamuzi ya Spika Tulia...
Nilikuwa na shangazi yangu ambaye alikuwa na dada wa kazi. Kwa miezi mingi hakumpa mshahara. Sasa siku ya kuondoka yule dada ikafika. Shangazi akamwambia. Ulivunja sahami hii na ile, akakata pesa. Mara ulisema pipa likikaa nje hawataiba na wameiba, akamkata.
Mwisho alipewa elfu nane. Nauli ya...
Sijakuibia mkeo nilimuokota jalalani mwa moyo wako. Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unashinda siku nzima bila hata kumjulia hali? OTEA? nilikuwa namkumbuka kila saa kujua kama yupo sawa na anaendelea vizuri.
Unakumbuka kipindi kile unamdharau na kumpuuza? Aliniambia kuhusu hilo nilijitolea...
Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona.
Anord alisema akiwa...
Niseme kwamba mafundi tuliojenga majengo haya ya uviko hasa madarasa tumeteswa sana na bado tunateseka sana.
Kwa hii wilaya niliyopo tuliingia mkataba na serikali kujenga haya majengo tukakubaliana bei na kamati ya kujenga madarasa yakamilike kwa muda japo muda ulikua mdogo sana yani wiki 3...
Inashauriwa kuwa mara tu mwanamke apatapo mimba [ujauzito] aanze kuhudhuria kliniki kwa ajili ya kupatiwa vipimo, ushauri pamoja na kujua maendeleo ya mimba [ujauzito] wake kwa kuendelea kuhudhuria kliniki katika siku alizopangiwa hadi siku atakayo zaa [jifungua]. Binafsi ninaona kuwa utaratibu...
Kwa heshima na taaadhima ninaomba malalamiko haya yawafikie tamisemi na wizara ya elimu.
Imekuwa tabia ya muda mrefu sana kwa watumishi wanaofanya kazi katika halmashauri ya songwe kukaaa kituo kimoja kwa mda mrefu mfanyakazi anaweza kukaakituo kimoja zaidi ya miaka 13.
Wafanyakazi...
Wakuu niko njiani nasafiri na bus la Shabiby kuelekea Dodoma, tumesimamishwa hapa eneo la ubena kupisha msafara wa kiongozi wa serikali zaidi ya masaa mawili sasa tumesimamishwa.
Je, ni halali watu kusimama hivi barabarani muda mrefu bila huruma kisa mtu mmoja anapita kuelekea Dar? kwa nini...
Kuna shule flani kule Arusha inanyanyasa sana walimu na hakuna wa kuwasemea. Waajiri wanatumia kukosekana kwa ajili kunyanyasa walimu.
Hiyo shule ukiajiriwa tu unanyanganywa simu huruhusiwi kutumia kabisa, huruhusiwi kuingia na kitabu darasani, walimu wanavaa uniform kama wanafunzi, wanakula...
Sisi madereva wa magari makubwa hususani malori tunanyanyasika sana barabarani imefikia hatua hata ya kuichukia serikali yetu inayoongozwa na mtukufu Rais Dkt. John Pombe Magufuli tunaimani sana na Rais wetu huyu kwa utendaji kazi wake wenye kuleta maendeleo nchini na mtetezi wa wanyonge lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.