manyanyaso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Uliwahi kupitia manyanyaso gani ulipoajiriwa private ?

    Niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni private kwa taaluma niliyosomea degree, nilifurahi sana nilipopata kazi baada ya msoto wa muda mrefu kitaa lakini kazi ikageuka kuzimu. Kwanza kabisa mazingira niliyoyaona hakuna sehemu watu wanawekana kwa kujuana kama private, serikali haigusi hata kwa 20%...
  2. M

    Dharau na manyanyaso kazini iwe chachu kwako kujiendeleza kimasomo ewe mwalimu

    Usig'ag'anie kuwa na elimu ndogo huku dharau na manyanyaso vikitawala makazini. Chukua hatua mapema nenda kasome Acha upuuzi kabisa wewe Mwalimu
  3. Just Pray

    Tarime wanakiwasha, bodaboda wamewasha moto baada ya kuchoka manyanyaso ya Polisi

    Huko Tarime wenzetu wapo mbele ya muda sana, Asubuhi ya leo bodaboda wamewasha moto baada ya kuchoka manyanyaso ya Polisi.
  4. Genius Man

    Wamasai wa roliondo mjitokeze kwenye maandamano ya pamoja hii ndio nafasi yenu ya kuondoa manyanyaso mnayopitia

    Wamasai wa roliondo mjitokeze kwenye maandamano ya pamoja hii ndio nafasi yenu ya kuondoa manyanayaso mnayopitia. Mliitiwa polisi mlipigwa, mlifungiwa huduma za kijamii na wanasiasa wasio watakia mema hata kidogo, Tusimame pamoja kuhamasisha mabadiliko na uwajibikaji ili manyanyaso yenu yaishe
  5. Prof_Adventure_guide

    Wapagazi wa Kilimanjaro: Uhalali wa Manyanyaso au Uvunjifu wa Sheria? KIPAP, TANAPA na Wizara, Keleleni Kwenye Ukimya Wenu wa Aibu!

    Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo ambalo ukimya wa serikali, taasisi husika na wadau wakuu wa sekta ya utalii hauwezi tena...
  6. Prof_Adventure_guide

    Ubinadamu Umefiwa Mlima Kilimanjaro – Ukimya wa Serikali, Manyanyaso ya Makampuni na Kilio cha Wapagazi

    Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro. Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
  7. W

    Nje ya kampuni za kizungu na kijapani, mazingira ya ajira katika kampuni nyingi Tanzania yamejaa mateso, figisu, ubaguzi, maumivu na manyanyaso

    Unakuta hakuna mikataba ya ajira, likizo haijulikani, na ukihoji unaambiwa ‘mlango upo wazi’.” Wanaajiri kwa kuahidi mishahara mikubwa, lakini wanakupa pesa nusu na matusi kamili. Wengine hufanyishwa kazi saa 12+ kwa siku bila malipo ya ziada overtime, muda mchache wa kupumzika au kula ubaguzi...
  8. Ricky Blair

    Manyanyaso ya kingono kwa watoto

    Kimataifa Kulingana na data ya kujieleza binafsi, uchambuzi wa meta wa mwaka 2011 wa tafiti 217 kati ya mwaka 1980 hadi 2008 ulikadiria kiwango cha kimataifa cha manyanyaso ya kingono kwa watoto kuwa kati ya asilimia 12.7% hadi 18% kwa wasichana na asilimia 7.6% kwa wavulana. Viwango vya...
  9. Yoda

    Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  10. Waufukweni

    DOWUTA yaitaka Serikali kulinda ajira na Haki za Wafanyakazi Wazawa kwenye uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya Adani

    Wakuu! Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
  11. A

    DOKEZO DAWASA haiwalipi vibarua kwa wakati suala linalowapunguzia morari

    Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani). 1. Dawasa ina kawaida ya Kutumia Vibarua...
  12. Suley2019

    SI KWELI Justin Bieber ameimba wimbo maalumu kuelezea manyanyaso aliyopitia kwa P. Diddy

    Wakuu kuna wimbo nakutana nao TikTok na X ukiwa na sauti ya Justine Bieber akieleza namna alivyonynyaswa na P. Diddy alipoenda kwenye party ikamgharimu. Kuna ukweli hapa. Wimbo huu hapa chini:
  13. sindano butu

    kila kona manyanyaso, hata haki ya watumishi kupata nyongeza ya mwaka ishakuwa manyanyaso.

    Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo; 1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao. 2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine...
  14. Moto wa volcano

    Watu wanapitia manyanyaso kwenye ajira

    Katika maisha yangu kumuita mtu Boss siwezi , Vyeti vyangu vipo vinaliwa na panya 😃 . kuajiriwa sio kubaya na sio kila mtu ana misuli ya kujiajiri lakini nafahamu waajiriwa wanapitia manyanyaso mengi maofisini na sikuhizi kupata promotion hata uwe na sifa haupati watu wanapeana kwa connection...
  15. Aliko Musa

    Suluhisho la Manyanyaso Ya Bi.Mwajuma Dhidi Ya Mpangaji Wake Bwana Hassan

    Siku moja nilipigiwa simu na msomaji wa makala zangu za mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO. Msomaji wangu huyu alijitambulisha kwa jina la Hassan. Maelezo yake yalikuwa kama ifuatavyo: Kulikuwa na mwenye nyumba anayejulikana kwa ukatili wake dhidi ya wapangaji. Jina lake ni Bi. Mwajuma, mwanamke...
  16. U

    KERO TAMISEMI, Wizara ya Elimu mko wapi kwa manyanyaso haya Uyui?

    Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui. 1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa ni mizunguko mwanzo mwisho na mpaka sasa pesa hawajalipwa, imefikia hatua ya matisho kutoka kwa...
  17. Unique Flower

    Hii ni defication yenu

    Yawatu wa jf wanaoninyanyasa na wenye masimango. https://youtu.be/Iw4t70zCf7s?si=w3y67nGwuWrbpa0q
  18. The Supreme Conqueror

    Hongera Mchengerwa kuwa waziri TAMISEMI. Nakuomba yatazame haya, vibali vya uhamisho vina urasimu mkubwa

    Mkuu mi Sina mashaka na utendaji wako kabla ya kuwa Waziri tangu ulipokuwa Ofisi ya mwana Sheria Mkuu wa serikali baadaye ukawa Waziri wa Utumishi kwakweli uliwafuta Watumishi machozi kwa wale walioganda daraja moja kwa miaka 6 walipata uhueni. Siwezi kuyazungumzia mazuri yote uliyofanya...
  19. Kyakashombo

    Mahakama yaruhusu Mkuu wa Wilaya kumpinga Rais Samia kumstaafisha kabla ya muda kisheria

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma. Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini. ---- Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
  20. Kipenzi Changu

    Fei Toto aliomba kuvunja mkataba baada ya kuchoka manyanyaso

    Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
Back
Top Bottom