manunuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Aliomba afikie nyumbani kwangu nikakataa. Je, nilikosea?

    Habari wanajamii? Poleni na majukumu ya week nzima! Niende moja kwa moja kwenye uzi husika, mwaka 2013 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae familia yao ilikua karibu sana na familia yetu. Tulidumu kwenye mahusiano kwa muda kidogo mpaka 2017 ambapo tuliamua kuachana, sababu kubwa ikiwa yeye...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa Serikali iajiri Manesi, Wahasibu na wataalamu wa manunuzi kwa shule zote za umma

    Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Kibondo anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapa, afanyeje?

    Wana bodi hebu saidieni, Huyu mtumishi wa halmashauri ya Kibondo Idara ya Manunuzi anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapwa uhamisho wa kujitegemea bila kudai malipo yoyote afanyeje, hajui hata aanze vipi.
  5. kokudo

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara tusaidie hapa

    Wasalam Nimekua nakumbana na neno hili kwenye manunuzi yangu huko kwenye nchi za Wenzetu (FOB) freight on board or free on board. Please nimejaribu ku Google Sijapata uelewa mzuri naomba mwenye kujua anisaidie kwa utuo. Asanteni Cc CONTROLA
Back
Top Bottom