manispaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Responded Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha: Watumishi wetu wanaoenda likizo hulipwa stahiki zao

    TAARIFA KWA UMMA Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi stahiki zao za likizo kwa kisingizio kwamba watumishi wanaoenda likizo ni wengi, si ya kweli na...
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Diwani kuwadhalilisha watumishi Manispaa ya Moshi ni jambo lisilokubalika

    Agosti 13 mwaka huu kwenye ukumbi wa Manispaa ya moshi kikao cha Baraza la madiwani kiligeuka kama kamati kwa ajili ya kujadili masuala ya kiutumishi hivyo sisi ambao hatukuwa wajumbe kanuni zilituondoa ndani ya ukumbi . Kikao kiliendelea kwa muda na hatimaye kikamalizika na sisi tukaitwa ...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna wizi uliokithiri mtaa wa machinjioni kata ya Tangini manispaa ya Kibaha

    Ndugu viongozi na wananchi wenzetu, tunaomba kuwasilisha kero kubwa ya matukio ya wizi yanayoendelea katika eneo la Machinjioni, Kata ya Tangini, Manispaa ya Kibaha. Katika kipindi cha hivi karibuni, wezi wamekuwa wakivunja mara kwa mara maduka ya wananchi na kuiba mali zao. Tukio la hivi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ziboreshe mfumo wa maegesho ya magari kuepuka kuwekewa tozo za uongo

    Mimi ni mmiliki wa gari binafsi na mkazi wa Manispaa ya Ubungo. Wiki mbili zilizopita nilifika maeneo ya Manispaa ya Kinondoni kwa gari langu, na tangu siku hiyo nimekuwa nikikuta kwenye mfumo wa tozo za maegesho kwamba ninadaiwa Sh500, huku eneo likioneshwa kuwa ni Kinondoni Municipal. Tatizo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wamechoka kuwekewa taka mbele ya maduka Eneo la Darajani, Vikokotoni

    Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao. Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo zinazojumuishwa kwenye leseni za biashara, taka zinaendelea kuachwa mbele ya maduka baada ya wafagiaji...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Mungu akubariki, umeona ugonjwa ulioko moshi Manispaa, RC na DED wasipoondolewa unayoyasema ni sawa na bure!

    Mungu mkubwa,mvua imenyesha moshi Manispaa, dunia imejionea panakovuja! Huyu Mkurugenzi, anakingiwa kifua na RC,ikikupendeza, peleka taarifa muhimu panakohusika,ili RC na DED waondolewe,ni tatizo la kudumu. Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ilala Sokoni: Manispaa wanachukua Vizimba vya Wamachinga kisha wanawakodisha haohao Machinga

    Pale Ilala Sokoni kuna utaratibu umeanzishwa na viongozi wa soko na kutoka juu, wanataka Wamachinga au Wafanyabiashara wadogo wadogo ambao wanamiliki vizimba au meza na baadhi ya maeneo, Eti wasiendelee kumiliki meza au vizimba badala yake manispaa ndo wamiliki meza za wamachinga. Wakisha...
  8. I

    JamiiForums Tanzania KERO Wajasiriamali wadogo wa manispaa ya Musoma tunatoa wito serikali kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa siku

    Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Musoma inapandisha kodi za vibanda vya biashara kiholela

    Mimi ni mmoja wa wafanyabiashara nilipangishwa na manispaa ya musoma tangu mwaka 2018. Tumekua tukifanya shughuli zetu na kolipa kodi stahiki bila shida hadi ilipofika mwaka 2023 changamoto za kupandisha kodi kila mwaka zikaanza. Mwaka 2022/2023 nililipa kodi tsh 528,000 kwa mwaka kulingana na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kumekuwa na upendeleo mkubwa katika upatikanaji wa nafasi za kujitolea katika hospitali ya Wilaya ya Ubungo

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto mbalimbali zinazodaiwa kuwepo katika Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, hususan katika usimamizi wa ajira za kujitolea (volunteer), maslahi ya watumishi, uongozi na usimamizi wa fedha. Kwanza, kuna malalamiko kuhusu upendeleo katika upatikanaji wa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kibaha: Huduma ya Mabasi ya Mwendokasi Kibaha - Kimara imerejea leo Julai 6, 2026

    Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetangaza kurejeshwa kwa huduma ya usafiri wa Mwendokasi kuanzia leo 06 Julai 2026! Pichani ni mabasi katika Stendi ya Kibaha! Pia soma ~ Mwendokasi imesitisha huduma Kibaha na hakuna maelezo
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Juma Nature: Manispaa saidieni raia, foleni ya malori ni kero kubwa Mbagala, tunataabika

    Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Nature akielekezea changamoto ya malori mengi maeneo ya Mbagala ambapo anadai yamekuwa kero na kusababisha udumbufu mkubwa. Nature, staa wa Sitaki Demu na Hakuna Kulala, ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Juni 20, 2026. Pia soma: ~ Hivi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imeanza kurekebisha Barabara ya Kibaha–Mpiji na ile ya Tankini–Muheza

    Nikiwa mmoja wa Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha tunapongeza hatua ya kuanza kwa ukarabati wa Barabara ya Kibaha–Mpiji pamoja na Barabara ya Tankini–Muheza, kufuatia malalamiko niliyowasilisha kuhusu ubovu wa miundombinu hiyo. Pia soma ~ Halmashauri ya Kibaha hizo Tsh. 420M za...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara tunafungiwa biashara zetu na Manispaa ya Morogoro, ukichichelewa kulipa inaongezeka 50,000 kila wiki na huku wamefunga biashara yako

    Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni. Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Manispaa ya Kinondoni wapewa siku 30 kupaka rangi upya nyumba zao na kufunga taa za nje

    Wakazi wa Manispaa ya Kinondoni wamepewa siku 30 kupaka rangi upya nyumba zao na kufunga taa za nje, vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria, amesema Meya wa Manispaa hiyo, Songoro Mnyonge. Akizungumza jijini Dar es Salaam Juni 24, 2026, Mnyonge alisema agizo hilo linaungwa mkono na masharti...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Manispaa ya Ilemela - Mwanza kuomba michango ya Mwenge. Je, hakuna bajeti yake rasmi?

    Manispaa ya Ilemela Mwanza, Kata ya Ilemela kuna Mtendaji anakusanya michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za mwenge, wanapita katika ofisi na taasisi mbalimbali kuomba michango hiyo. Sasa swali langu ni kwamba Serikali Kuu haina bajeti ya kufanikisha mbio za mwenge? Hadi kufikia hatua ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ‘Watumishi wa Kujitolea’ wanaotumika na Ofisi za Ardhi Manispaa ya Sumbawanga ni kero kubwa kwa wananchi

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia “watumishi wa kujitolea” licha ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakilalamikiwa wanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ambacho...
  18. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga bado zinatumia wafanyakazi wa kujitolea

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia watumishi wa kujitolea richa ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakiilalamikiiwa wwanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ammbacho...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha: Tumetenga Tsh. 50 kuboresha barabara za Mtaa Kibaha Mwaka wa Fedha 2026/2027

    Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya Barabara kutoka Sheli hadi Mpigi na ile ya kuelekea Tankini na Muheza katika Kata ya Mailimoja kwa kusema kuwa ilipeleka kiasi cha Shilingi Milioni 420 kwa mgawo wa Shilingi Milioni 30 kwa kila kata. Taarifa ya...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kibaha yatoa Tsh. Milioni 991.5 kwa Makundi Maalum

    KIBAHA, Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi milioni 991.5 kwa vikundi 51 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2025/2026, hatua inayolenga kuongeza fursa za kiuchumi, kupanua biashara na kupunguza umaskini kwa...
Back
Top Bottom