manispaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nitajie manispaa zlizochoka zaidi kwa Tanzania

    Naomba niorodheshee miji ambayo NI makao makuu ya mikoa nchini iliyozidi kudumaa kiashiria kimojawapo NI uwepo wa nyumba za udongo barabara kuu katikati mwa mji. 1. Lindi 2.......... 3...........
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shinyanga: Kuna Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi wanatengeneza mazingira ya rushwa waziwazi

    Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi. Kama week mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la urasimishaji wa ardhi katika kata ya Kizumbi, kijiji cha...
  3. Chicho_

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafuzi wa Mto Matarawe, Manispaa ya Songea Mjini: bomu la kimyakimya

    Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi. Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
  4. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ndg zangu kwa rate mpya per diem ni ngapi kwenye Manispaa nje ya mji

    Kama uso ulivyo.. Naomba kujua rate kwa ngazi hizi. C......... D...... E...... F........ G....... H....... I........ Ikumbukwe hizi ni per diem wale wahusika watajua. Kama huhusiki huwezi jua, so kaa utulie
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Mpanda yafafanua uchafu Vyoo Stendi ya Mizengo Pinda, yasema inafanya ukarabati

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi. Kusoma hoja ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Songea akabidhi eneo la Mradi wa Ujenzi wa Soko la Sh Bilioni 22.9 - Manzese A na B

    Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya Alisema Soko la Bombambili ambapo ndipo Wafanyabiashara walipohamishiwa...
  7. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Moshi unafunga biashara za watu soko la Mbuyuni kwa nini?

    nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi,Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni. Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili,mwaka 2022 na mwaka jana wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtinika achukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania ubunge Temeke

    Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Abdallah Mtinika amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Temeke. Mtinika amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Temeke, Sayi Samba.
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bovan Mwakyambiki achukua Fomu kutia nia Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa

    Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bovan Mwakyambiki achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025. Akizungumza mara baada ya Kuchukua Fomu hiyo, Bovan amesema kuwa Hatua hii si tu ya kisiasa, bali ni ishara ya ujasiri, utayari na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwiano usio sawa wa walimu shule za msingi Moshi manispaa

    Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi. Kuna shule Zina idadi ndogo ya wanafunzi lakini walimu ni wengi kuliko shule zenye idadi kubwa ya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji Serikali, katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Tsh. Milioni 15.6 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 Manispaa ya Songea - Ruvuma

    Zaidi ya Shilingi Milioni 15 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, hiyo ni kutokana na ofa ya Rais Samia Suluhu kwa wateja wote ambao wanaodaiwa na kumesitishiwa huduma ya maji na Mamlaka za Maji nchini. Ofa hiyo imelenga kuhakikisha kuwa...
  13. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA

    MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema kukamilika kwa utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) awamu ya pili Kwenye Manispaa ya Singida kutaleta...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Manispaa ya Mpanda imelipa Tsh. 220M kinyume na utaratibu, yakaletwa mabati yasiyo na kiwango

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, imebaini mabati yenye thamani ya fedha Sh Milioni 220 yaliyonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Katavi na Sekondari Rungwa kuwa yako chini ya kiwango. Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
  16. Alubati

    JamiiForums Tanzania Kero: Manispaa Morogoro punguzeni matawi ya mianzi hapo darajani

    Katikati ya mji mita mia moja kutoka halmashauri ya manispaa ya Morogoro uelekeo wa kituo kikuu cha polisi ,kwenye daraja maarufu " daraja la shani". Kuna miti ya mianzi ambayo imekuwa na faida ya kuzuia mmomonyoko wa ardhi mara mto unapofurika. Lakini sasa matawi yake yamekuwa na kufanya eneo...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Ni lini Daraja la Milala Shongo lililopo Manispaa ya Mpanda litajengwa?

    Daraja la Milala Shongo lililopo Kijiji cha Milala, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni tatizo sana kwetu Wananchi wa Milala. Sisi wakazi wa Milala tatizo hili limetuchosha kwa sababu limedumu kwa muda muda mrefu sana na kuwa kikwazo cha mawasiliano na kufanya shughuli zetu za kiuchumi...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Je wajua timu yako ya Manchester City FC haina uwanja?ule Etihad wameukodi kwa manispaa ya jiji la Manchester

    Shabiki wa Man City unayedhani Simba na Yanga kukosa viwanja ni dhambi jitafakari. Chama lenu halina uwanja Etihad unamilikiwa na nanispaa ya jiji la Manchester
  19. S

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya jiji la Mbeya jifunzeni kutoka Halmashauri ya jiji la Arusha na Manispaa ya Moshi kukataa jimbo kugawanywa

    Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wote wa Manispaa ya Kinondoni kuna haja ya kujitafakari

    Uongozi wote wa Manispaa ya Kinondoni kuna haja ya kujitafakari: Stand ya daladala Bunju imehamishiwa barabara kuu ya Bagamoyo Manispaa imeshindwa kujenga standi hata ya changarawe. Matokea yake ni ajali na kugongwa kwa wananchi. Kata zote Barabara wananchi wanajichangisha wenyewe kulipia...
Back
Top Bottom