manispaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huku Manispaa ya Songea, Watoto wadogo wamekuwa Machinga wa kuuza mifuko hadi muda wa usiku

    Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Hali ya uchafu wa Mazingira Manispaa ya Moshi Kilimanjaro

    Sikiliza
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza maboresho ya Vyoo vya Kituo cha Afya cha Sokoine, Manispaa ya Singida

    Serikali imeamua kufanya maboresho ya vyoo vilivyopo katika Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wamezoea kukiita Hospitali ya Sokoine baada ya kuripotiwa kuwa havipo katika mazingira mazuri. Uamuzi huo unakuja siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu ubora wa choo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna maafisa Manispaa ya Iringa, Mtaa wa Kajificheni wamechimba mashimo barabarani na kuyatelekeza

    Mimi ni Mkazi wa Manispaa ya Iringa, Kata ya Ilala, Mtaa wa Kajificheni kwa niaba ya wenzangu tunaomba msaada wa kusemewa kuhusu shimo lililotelekeza kwa dhumuni la kutengeneza ‘kalavati. Kuna Maafisa ambao walikuwa wakishirikiana na Uongozi wa Serikali za Mtaa kuchimba mashimbo hayo kwa ajili...
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi holela ndani ya Manispaa ya Moshi, ukiendana na uongozi mbovu wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi

    Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu. Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu wa sera na kanuni za mipango miji. Ujenzi holela wa maeneo kama vile bar, car wash, na biashara...
  6. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hali ya vyoo Hospitali ya Sokoine, Manispaa ya Singida inatisha, viboreshwe

    Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo ilitakiwa iwe na mazingira mazuri haswaa, kuzingatia afya na usalama wa wagonjwa /wauguzaji pamoja na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mtaa wa Sabasaba Manispaa ya Singida Kutengenezwa

    Hivi karibuni nimekuwa nikilalamiki sana kitendo cha TARURA Singida kwa kutifua barabara na kuiacha ikiwa haitamaniki kwa kushindwa kupitika. Leo nimepita maeneo hayo na kukuta mawe yakiwa yamemwagwa barabarani tayari kwa kuanza matengenezo. Naipongeza sana TARURA nawaomba haya mawe yasimalize...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Machinjio ya Manispaa ya Moshi hayana hadhi kiafya kwa Mifugo na Wakazi maeneo yanayoizunguka

    Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia. Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua. Pia, mfereji wa maji taka toka machinjioni umeziba na upo wazi kwa miaka na miaka. Eneo la kuchinjia halina...
  9. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Jengo la Wilaya ya Tanganyika lililopo Manispaa ya Mpanda linaharibu taswira ya Mji kwa uchafu

    Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake yanaonekana machafu sana. Ni aibu kubwa mazingira ya jengo hili kuwa machafu ili hali liko katikati ya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi Manispaa ya Songea: Vituo 210, Wagombea 987 tayari kwa kinyang’anyiro

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Mhoja, ametoa taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi ulio karibu kufanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Mhoja amesema kuwa hali ya utulivu inaendelea kutawala katika mji huo na kwamba kampeni za uchaguzi zinaendelea kama...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa azindua Tume Maalum ya Wajumbe 21 kuchunguza ajali ya Jengo Kariakoo

    Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kuhamisha hati miliki za viwanja ni ndefu, ngumu na ghali mno, inaleta mianya ya rushwa manispaa, TRA na Ardhi

    Nimegundua sasa ni kwanini watu wananunua viwanja kisha wanaendelea kutumia hati zenye majina ya watu wengine bila kubadilisha majina. 1.) Hivi inakuwaje mtu anunue kiwanja milioni 50 kisha report ya valuation iseme kwamba kina thamani ya 200mil.?! Kama kweli kinathamani hiyo kwanini mtu auze...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Msimamizi wa Uchaguzi kwenye Manispaa asisitiza wagombea kufanya kampeni za kistaarabu

    Wakuu, Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza? Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kuhakikisha kampeni zao zinafanyika kwa kistaarabu na kwa kufuata...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Machinjio ya Manispaa ya Morogoro ni kama imetelekezwa, ni chakavu, kuna uchafu na harufu mbaya

    Machinjio ya Manispaa ya Morogoro unaweza kuhisi ni sehemu iliyotelekezwa, uchakavu, uchafu na harufu mbaya Harufu ya machinjio iliyopo katika Manispaa ya Morogoro imekuwa kero kwa wakazi wanaozunguka eneo hilo pamoja na wapitanjia kutokana na miundombinu kuwa mibovu hasa ya kupitisha maji...
  15. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkoani Singida kata ya Utemini, wagombea waliobandikwa ni wa CCM tu

    Baada ya majina ya wagombea kutolewa jana na kubandikwa hali ya sintofahamu imeendelea kujitokeza km ilivyo kwenye maeneo mengi nchini. Mkoani Singida kata ya Utemini ambayo inasimamia mitaa mitatu ya Sabasaba, Utemini na Stesheni wagombea waliobandikwa ni wa CCM tu. 1.Mtaa wa Sabasaba hakuna...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Manispaa ya Singida iangalie Dampo la Msufini, linatunzwa vibaya na ni hatari kwa Afya

    Eneo la Msufini, Manispaa ya Singida ni mashughuli na maarufu kwa biashara hapa Singida. Shughuli nyingi za biashara za aina mbalimbali zinafanyika karibia eneo lote la Msufini. Kinachosikitisha ni dampo lililopo katikati ya eneo hili likiwa limezungukwa na biashara ikiwemo za vyakula, bucha...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Oparesheni agua leseni inayoendelea Manispaa ya Morogoro. Faini Sh 100,000 kwa wasio na leseni inaingia mifukoni mwa maafisa mapato. Uhakika huu hapa.

    Kutokuwepo uelewa wa namna ya kufungua akaunti ya kufanya malipo mbalimbali ya Halmashauri nchini wa Tausi Portal ni chanzo cha maafisa mapato kujinufaisha. Huenda wizi huu unafanyika katika Halmashauri zote nchini. Katika oparesheni inayoendelea ya kukusanya madeni inayoendelea kwa...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni Sita Kukamilisha Ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Moshi, Bilioni 44 Vifaa Tiba

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha zaidi ya Bilioni 44 kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa Tiba pamoja na Bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Manispaa Moshi ambapo Hospitali hiyo ikikamilika itakua imegharimu Shilingi Bilioni...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
  20. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Miji ya Kesho: Jiji Lako Litakuwaje Miaka 10 Ijayo?

    Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji ambayo inatumia teknolojia kuboresha maisha ya kila siku ya wakazi wake. Naamini umeona dalili za awali...
Back
Top Bottom