mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

    Siku yaja hivi karibuni Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni Ujinga sana Kufa kisa Mange Kimambi

    Toka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc. Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahofia sana siku kina Mange kimambi wakianzisha website kama Jamiiforums, Ni balaa linaloweza kuwa zaidi ya instagram.

    na kuhusu kuufungia huo mtandao itakuwa kazi bure, siku hizi hadi kina bibi wanaijua vpn.
  4. Agent-47

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Seneta wa Mahusiano ya Nje Marekani Jim Risch: Akaunti za Mange Kimambi kufungiwa na Meta kwa shinikizo la Serikali ya Tanzania haikubaliki

    “Nakaribisha ombi la Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu ombi langu la kukagua uhusiano wa Marekani na Tanzania. Hali inayoendelea Tanzania inasikitisha sana na inatishia utulivu na usalama wa eneo muhimu. Ukandamizaji huu wa kishenzi, ikiwemo kesi dhidi ya viongozi Wakristo, unahitaji...
  5. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

    Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani Kesi yake ingekuwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange amwandikia barua Trump kuhusu kufungwa kwa akaunti zake na Meta baada ya kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Mange Kimambi amemuandikia barua Rais wa Marekani, Donald Trump, akimueleza kwamba akaunti zake za Meta—ikiwemo Instagram, ukurasa wa habari anaouendesha, na namba yake ya WhatsApp—zimefungwa baada ya kuzitumia kufichua ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania, huku akihimiza...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Mange Kimambi ya utakatishaji wa fedha kuunguruma leo Desemba 4, Kisutu

    Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Tsh 138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba 4, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube. Katika...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Siku Mange Kimambi akimamatwa, akashitakiwa na kutiwa hatiani kwa kesi hii, basi hiyo siku ndiyo YESU atarudi rasmi duniani😀

    Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀 Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia) #D9 #SAMIAMUSTGO
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Account za Mange Kimambi na Wananchi Forum zote zimefutwa Instagram. Inafurahia mauaji ama kweli mnyonge Hana haki duniani

    wamefuta
  10. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya Tanzania yamfungulia Mange Kimambi kesi ya Uhujumu Uchumi. Adaiwa kutakatisha Tsh. Milioni 138

    Mwanasheria mkuu wa serikali HARAMU alisema wazi watatafuta kesi ambazo zinaweza kumpata MANGE KIMAMBI KUTOKA MAREKANI. Wameipata Kesi ya UCHUMI hii wanaamini inatosha sana kuwashawishi Marekani kumuachia raia wake aje kushugulikiwa Tanzania. Leo ndio nimeamini kweli jamaa ni TAKATAKA hapa...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana wajinga walikuwa wanasubiri jeshi lichukue nchi na kumuondoa Samia kwa amri ya Mange Kimambi

    Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'. Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo. Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi. Vijana wa Tanzania waliamini kwa 80%-90% au zaidi kuwa Tarehe 29 September jeshi la ulinzi lingekwenda kuipindua...
  12. safuher

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi naye hana huruma na uhai wa Watanzania

    Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi. Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake? Gwajima alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha...
  13. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mange kimambi una hoja je baada ya matokeo nini na pia dhumuni lako nini?

    Mange Kimambia anahoja na ametuomyesha mambo yaliyotokea kwenye giza je baada ya anayotaka yakatokea lengo lake ni lipi haswa? Je utarudi Tanzania ? Au utaendlea kukosoa serikali ya Tanzania MANGE KIMAMBI aje before Dec 9 aandamane na mimi akija nitaandamana kabisa ndo nijue kweli wewe una...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Informers wa Mange Kimambi huwa wanampa matango pori sana

    Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu. Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi mbona haji tena na swaga la Jeshi lipo na nyie?

    Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli? ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI WATANZANIA TUMELOGWA ndo maana kiboko ya wachawi mkongomani alisema Watanzania ni wajinga sana naanza...
  17. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maria Sarungi na Mange Kimambi waache kuwatoa kafara vijana huku wao wakiwa wamejificha uvunguni nje ya Nchi wakiogopa kufa

    Ndugu zangu Watanzania, Acheni Unyumbu, acheni ujinga na uhayawani ,acheni ushamba,acheni umbumbumbu ,acheni kutumika vibaya kama mazuzu. Hivi mtu na akili zako Timamu kichwani na unayejitambua vizuri kabisa na mwenye utimamu wa akili na Mwili unaweza vipi kukubali kuandamanishwa barabarani na...
  18. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Abdul mtoto wa Rais Samia ana uraia wa UAE!

    Kwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE. Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu
  19. Pakome

    JamiiForums Tanzania Incitement au Solicitation, Reckless endangerment, Exploitation pamoja na Lese majesty ni makosa ya Kisheria aliyotenda Mange Kimambi

    1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake (Mali za Wananchi pamoja na...
  20. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Watanzania haswa vijana tusiwe "brain washed" na Mange Kimambi na wenzake huko ulaya, usitumike, mlinde mtanzania mwenzako, ilinde nchi yako

    Hata watu hatujamaliza wengine arobaini ya Marehem wetu waliotangulia mbele ya Haki, umekaa ulaya unawaambia watanzania waandamane ? Huyu mtu ni mzima? Kiakili? Watanzania siku ambayo mtashutka kua watu wanatumiwa itakua too late na tutakua tumeshaharibu nchi yetu na maisha ya wengi kupotea...
Back
Top Bottom