manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Manara atunukiwe Honorary Doctorate!

    Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili ya TFF ,Kwa hili la Manara mmekurupuka.

    Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio Zima hata kukubaliana eng hersi,na manara wafunguliwe kesi?inaonyesha ni utashi wa mtu Mmoja ndie...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

    Huyu jamaa ni genius sana halafu si kala bachelor degree ya sheria juzijuzi tu? hii nchi ina wasomi wakali sana wa sheria
  4. Shark

    JamiiForums Tanzania TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

    Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Manara amefungiwa kujihusisha na soka ,mechi ya Leo sio ya mashindano ya tff,ni sherehe ya yanga ,manara kaja kama mc

    Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara...
  6. N

    JamiiForums Tanzania HAJJ MANARA AHIMIZA WANANCHI WAVIMBE WASIOGOPE

    The greatest master of ceremony wa kujitegemea aliyelipwa milion 15 kusheheresha shughuli kubwa kabisa iliyojaza uwanja pomoni yaani mwananchi day iliyojaza watu 60,000 bila mapengo kuonekana amewahimiza wana yanga kuvimba kuviiiimbaaa kwelikweli Kuanzia week ijayo ataendelea pia kuwepo kwenye...
  7. N

    JamiiForums Tanzania YANGA , MANARA NI WASHINDI, KUENDELEA NA KAZI YA USEMAJI KAMA P.R.O CONSULTANT

    Ifike wakati tuseme Yanga ni zawadi iliyoshushwa na Mungu kwa soka la nchi hii, kuna vi team vingine vijifunze jinsi ya kuendesha soka kwa weledi jamani Wapiga majungu mlichooonga sana eti leo hatakuwa MC si mmeona kashika mic kama MC wa kukodiwa wa kujitegemea? Yaani ulitarajia viongozi...
  8. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

    Katika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa na lundo la walinzi.. kwenu TFF
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hatari sana: Manara kesho kupanda kama msanii ataongea kiaina

    Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI Intelejensia ya NJAAKALIHATARI imegundua kwamba kesho atapanda kama msanii wa mziki yaani back vocalist wa msaniii maarufu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye , hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa, ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mandonga anastahili kurithi mikoba ya Haji Manara na kuwa msemaji rasmi wa klabu ya Yanga

    MANDONGA ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA HAJI MANARA NA KUWA MSEMAJI RASMI WA KLABU YA YANGA Apoteza pambano lakini anafaa kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga kwani anao weledi mkubwa wa kujieleza, ucheshi, uhamasishaji, kutokata tamaa & anakubalika sana na Watanzania wengi! Twende na Mandonga...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'On a Serious Note' Haji Manara asaidiwe upesi 'Kisaikolojia' kwani anaanza 'Kuwehuka' na Kujidhalilisha hadi Kuwadhalilisha Waliomuajiri

    Jana katika tabia yake Ile ile ya Kujipendekeza kwa Serikali ( hasa Watawala ) na kutafuta Huruma ili ifanye Ushawishi na awe Huru kafanya Jambo la Kujichoresha zaidi na linaloonyesha kuwa huenda Majibu ya Mabaya aliyowafanyia Watu sasa Laana zao zinaanza Kumpata. Ni kwamba Mfungwa na Mdaiwa...
  14. Simba Mkali

    JamiiForums Tanzania Akili za Manara zimeishia hapa

    PRINCE JOKES SIJUI nani alimdanganya akaibuka na kumzodoa Rais wa TFF, Wallace Karia mara baada ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh 20 milioni. Najua ulimsikia Haji Sunday Manara alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh 20 milioni. Kama ulimsikia...
  15. Mengi Ayoub

    JamiiForums Tanzania Nani kasimama nyuma ya Manara?

    Habari zenu wakuu? Bila shaka mu wazima wa afya... Leo hembu tukae tujadili hili , je ni nani yupo nyuma ya Haji Manara? Mara zote amekuwa akirudia jambo lile lile la kuzarau mamlaka husika. Tuliona wakati ule anatoka Simba sc alitoa siri na maneno kadhaa yenye kuuzi kwa CEO na Rais wa...
  16. Vawulence

    JamiiForums Tanzania TFF kumchakaza atakayeshirikiana na Manara

    Manara amekuwa akiendelea kuropoka licha ya adhabu anayotumikia. Amekuwa akilalamika kuwa kaonewa licha ya kupewa siku 21 za kukata rufaa. Ushahidi ambao angeutumia kwenye rufaa amekuwa akiusema kwenye press. Licha ya adhabu bado yupo kwenye denial haamini kama kafungiwa kweli. Yanga...
  17. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Manara ni kirusi ameua wengi Yanga

    Wakati Manara Yuko Simba tulidhani ni kawaida kumuona akig'ara Kwa umaarufu. Tulidhani alistahili kuwa hivyo kutokana na nafasi yake. Lakini uchunguzi umeleta mambo tofauti kabisa. Katika kauli zake amekua akitamka vita ya umaarufu, na maranyingi amekua alisema anapigwa vita Kwa umaarufu wake...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hassan Bumbuli, hebu tembeza fitna Haji Manara atoke kabisa Yanga, wewe unatosha

    Namshauri Hassan Bumbuli asimuonee huruma huyo Haji Manara, amuombee njaa afukuzwe kabisa katika tasnia ya mpira. Aina ya utendaji wa Bumbuli ni wa kitaalamu kabisa, hana mambo ya kihunihuni. Hii ni fursa kwa Bumbuli kumuondoa kabisa Haji Manara, na sio kumsaidia
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Manara: hili la kusema wenye akili Yanga ni wawili tu halikubaliki

    Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki
  20. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

    Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
Back
Top Bottom