Mchambuzi wa EFM Wilson Prima: Msemaji Ally Kamwe kaanza vibaya Haji Manara siyo na hatokuwa Mshabiki wa Yanga SC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
"Ally Kamwe Msemaji mpya wa Yanga SC anapata wapi Uhalali wa kusema Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ni mwana Yanga SC Kindakindaki wakati Baba yake Mzazi Mzee Sunday Ramadhan Manara akiwa hapa hapa EFM alisema na kutuhakikishia kuwa Mwanae ni Simba SC lia lia pamoja na Dada yake' Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na TvE.

Chanzo: EFM Sports Headquarters leo.

Na Mimi MINOCYCLINE namwambia Ally Kamwe kuwa Haji Manara hadi hii leo anawasiliana na Wachezaji Waandamizi wa Simba SC Boko, Mkude, Manula, Tshabalala, Kapombe, Chama na Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu mpaka Kuwalaumu katika Simu zao pale Simba SC ikifungwa.

Anayesema Manara ni Yanga SC hana Akili na ndiyo maana hata Mdau mkubwa wa Yanga SC Naibu Waziri na Mbunge Ridhiwani Kikwete alipinga mno Yanga SC Kumkubalia kuungana nao na mpaka hii leo hamkubali ila kaamua tu Kufunika Kombe ili Mwanaharamu apite.

Imeisha hivyo.........!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom