Manchester United imeendelea kudondosha pointi baada ya kupata sare ya goli 1-1 dhidi ya Fulham katika Premier League, ikiwa ni mchezo wa tatu mfululizo kutopata ushindi katika michuano tofauti msimu huu wa 2026/27.
Kabla ya mchezo wa leo Septemba 20, 2026, Man United ilifungwa na Manchester...