mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, nchi kuongozwa na Mwanamke siyo fursa ya kutaka mambo kwa pupa

    Kuna wakati kila jambo linahitaji kufikiriwa kwa undani sana, kila mtu katika taifa ana haki yake lakini katika kudai haki yako kuna taratibu nyingi za kufuata pamoja na kufanya uzingativu hivyo ukikosea katika utaratibu huo basi haki yako inageuka kuwa kaa la moto hata kama ni jambo la faida...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya kuyajua kwenye mapenzi pindi yanapobadilika usipate athari kubwa

    Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi. 1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla...
  3. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa ni mambo gani mnatakiwa kuzingatia wewe na mchumba wako

    Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana? Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani asonga ugali wa wafungwa katika gereza la Isupilo wilayani Mufindi mkoani Iringa

    Hawa ndio viongozi wa kuivusha Tanzania! Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga na kula ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo.
  5. JamiiForums Tanzania Clouds 360: Mahojiano na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, akifafanua mambo mbalimbali

    "Hayati Magufuli alikuwa anafanya kazi sana. Alikuwa analala akiwa na usingizi tu kama hana basi alikuwa halali. Na asipolala hata sisi hatuwezi kulala". "Rais Samia anafanya kazi sana. Ukiona anapanda ndege anashuka unaweza ukahisi ni maisha mazuri lakini hapumziki. Tuna bahati ya kuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali angalieni suala la Tanesco, maji , miamala na vifurushi vya simu

    TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali 1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha 2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika 3)USambazaji wa Nguzo umeanza kudolola 4)Customer care Mbovu mfano mzuri Nyakato Mwanza wanamajibu ya ovyo kweli kuanzia Manager...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyafahamu kuhusu mahusiano na ndoa

    1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile uliyotakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao. 2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakukuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakayekumbusha kutaka ngono pekee. 3. Mwanaume Usimpe MIMBA mwanamke kabla ya...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Panya mikoa ya Kusini: Safari yangu ya siku 37 ilivyonifungua mambo mengi

    Safari yenye takribani kilomita 600+ hadi Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi kijiji cha Nangoo napata fursa ya kuifahamu jamii ya watu wa mikoa hii japo kwa uchache. Nikiwa eneo hilo nilipata fursa ya kufahamu baadhi ya tamaduni za kule, baadhi tu kama vile Unyago na aina ya vyakula ambavyo vipo...
  9. JamiiForums Tanzania Kama nguvu kubwa ikitumika kunyamazisha mijadala Basi Mambo yanarudi Kama awali

    Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible. Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili...
  10. JamiiForums Tanzania Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingati wakati unamnunulia msichana zawadi

    MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI 1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako. 2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalam wa mambo ya sacket

    Wakuu habarini za kazi Nina Gari yangu ni Fuso Super great, ilikuwa na shida ya kukosa nguvu ikitembea Kwa kilometres kadhaa. Sasa fundi amekuja kupima akasema kuna baadhi ya sacket kwenye control box zimekufa. Sasa naomba msaada wa mtaalam yoyote wa mambo ya electronics ambae anaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Je, umemaliza chuo na unataka ujiajiri?

    Mhitimu wa chuo kikuu ni mtu mwenye elimu ya juu kulinganisha na sehemu kubwa ya jamii. Hawa watu wanakitu cha kipekee japo wengi wao wamefumba. Sasa haya ndio mambo makuu,ya kukusaidia ujitambue na ujiajiri. 👉TENGENEZA NJIA YA ZIADA KATIKA MAISHA. Hii ni hatua ya kwanza kabisa,jaribu kuwaza...
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto za safari nje ya nchi na covid19 | delta, chanjo, cheti mambo yako vipi?

    Habari, Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta. Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo kusafiri... Karibu uwasilishe changamoto zozote ulizokutana nazo hivi karibuni kama ulisafari kutoka tz...
  15. T

    JamiiForums Tanzania CCM ifanye nini ili hata isipoondoka madarakani iwe ni sawa tu?

    Kuna kila dalili kwamba CCM itaendelea kututawala watanzania kwa namna yoyote kwa miaka mingi ijayo, na ukizingatia kwamba mtaani njaa ni kali sana. Hata kama ingekua ni wewe ndugu yangu, katika mazingira kama ya Tanzania ambapo chama tawala kinahodhi kila kitu serikalini, ungeacha kutumia...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu wanamsingizia kiuonevu mwanangu, je ni hatua gani nichukue kama mzazi?

    Ipo hivi, mwanangu anasoma shule fulani English medium, mimi haya mambo ya schoolbus niliyakataa kabisa maana kuna wenzake wengi tu wanatembea na hata mimi baba yake siijui school bus maisha yangu ya elimu, ila pia niliona atembee tu ili kunyoosha miguu kwa afya yake. Sasa pale shuleni kwao...
  17. JamiiForums Tanzania Kama mambo ni hivi basi elimu yetu itaendelea kuwa ya chini miaka na miaka

    Wadau nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee...! Najikita moja kwa moja kwenye mada husika, juu ya yanayoendelea huko mashuleni (shule za msingi) Mimi nipo haoa mkoani (nausitiri), juzi nimekutana na mtendaji mmoja wa idara ya elimu wakati tukipeana dondoo za hapa na pale ndio akaanza...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo matano yanayombeba Rais Samia Suluhu madarakani

    Wakati Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan ameshatimiza siku 100 akiwa madarakani, wachambuzi wa masuala ya diplomasia, siasa uchumi na wananchi wa kawaida wamesema ndani ya kipindi hicho yapo mengi ya kuigwa ambayo ameyafanya. Katika kipindi hicho ametajwa kufanya mambo mbalimbali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45. Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mahusiano

    Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…