mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mlete haraka kuliko afungwe atatusaidia kwenye mambo yetu

    Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa nyumbani wenda ukarudi jumatatu maana simu zinaachwa reception 🤕 Itatupunguzia haya Kitaifa tutatulia...
  2. JamiiForums Tanzania Huu Mwaka umefika mwisho Naomba atokee mtu atuwekee Nywira za kuishi Maisha ya Mazuri

    Hapa namaanisha Maisha Mazuri Kula uhakika Kulala uhakika Kuvaa uhakika Unaishi Nyumba nzuri yenye hadhi ya kukaa Binadamu Unaendesha kipandio chochote chenye Muonekano Una Biashara au Kazi iliyo-simama Unasaidia Masikini , wazazi, majirani na Yatima nk. Huna stress za Mapenzi Account...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo yaliyoleta Vita KUU Ulaya, ni Dhuluma na unfairness!

    Hata Ulaya ilikuwa hivyo, watu binafsi wanakopa fedha kwa manufaa yao binafsi halafu nchi au Serikali ina guarantee hiyo mikopo kwa kodi za Wananchi, maana yake ni kwamba kama akishindwa kulipa deni atakayedaiwa ni Serikali kwa maan ndiye alidhamini na siyo mtu binafsi aliyekopa. Hivyo Serikali...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

    Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar. Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo tunayaona sasa hivi magumu, miaka inayokuja huko mbele yatakuwa ya kawaida sana

    Habari za mda huu ndugu zangu wanajamii forum. Dunia imepita kipindi tofauti tofauti sana, kipindi kile enzi za binadamu wa mwanzo kabisa walitumia dhana za mawe kujipatia chakula,kipindi chuma hakijaja. Kipindi chuma kimekuja kilikuwa kinaonekana ni kitu cha muhimu sana,binadamu wote...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuchagua mwenza na uchumba unapaswa kudumu kwa muda gani kabla ya kufunga ndoa?

    Ukisoma threads nyingi hapa jukwaani zinahusu mahusiano ya wanandoa, utagundua kwamba wengi waliingia bila kujua ni nini hasa walipaswa kufanya kabla ya kufikia maamzi mazito ya kuoana. Niwaombe mliopo kwenye ndoa mtusaidie mambo kadhaa tunayotakiwa kujua hasa wakati wa uchumba na je, uchumba...
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Osama Bin Laden apasua Ukweli. Asema hawaamini USA na pia kuna mambo yalimkwaza kwa baba yake

    Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha? Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya. ====== Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  9. JamiiForums Tanzania Utakatatifu ndiyo dini yenyewe, haya mambo mengine mnalisha upepo tu

    If you want God to change your destiny make sure you live with God, saidia Masikini wenye uhitaji wa kweli ukifanya hivi hautokuwa miongoni mwa masikini Maisha yako yote. Saidia wazazi wako wakiwa bado hai . Hakikisha unaitunza Familiya yako vizuri . Walipe wafanyakazi wako ujira mzuri...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo yaliyofanywa kwa upendo na Rais Samia mkoani Lindi

    Na Mwl Udadis, KATIKA ELIMU: Mkoa wa Lindi umewezeshwa fedha za kujenga shule mpya za sekondari 11 ikiwepo shule ya Sekondari Maalum ya Wasichana katika eneo la Kilangala ndani ya Manispaa ya Lindi. Pia serikali imetoa fedha kwaajili ya kutumika kugharamia huduma mbalimbali za mpango wa elimu...
  11. JamiiForums Tanzania Mahouse girl na Mambo Yao!

    Ilikuwa ni Secondary na ni Shule ya Jeshi ambayo ni maarufu Sana hapa dar es salaam,na Kwa gwaride tulilokuwa tunakula pale unakuwa kama nusu Mwanajeshi hivi,na ndio maana huwezi kuwakuta watoto wa mama wanasoma pale,kama wewe ni mtoto wa mama lazima utaomba uhamishwe pale. Kwanza ukifika Tu...
  12. JamiiForums Tanzania Naenda Kanisani lakini naenda kwa Shekhe kuloga ili mambo yangu yaende sawa

    Siyo kwa ubaya ndugu zangu, misumari ni mingi sana, ukiweka japo kabiashara kako sehemu ili kakusaidie wewe na familia yako ikianza tu kuchanua kuna viherere wanajifanya kuizima. Sasa nikasema dawa na mimi ni kutembea, simlogi mtu ila naweka mambo sawa, nailinda biashara yangu. Kwani kuna ubaya...
  13. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa wana JF kwenye ushiriki wa mijadala ya kitaifa

    Habari wanajukwaa, ni muda kidogo nimeshuhudia mabadiliko katika namna ya uchangiaji wa hoja, hasa zaidi zile zinazogusa maisha ya kila siku ya Mtanzania, hili linanipa hofu, kuwa huenda zile sheria za mwendo kasi, zimeshika nafasi kiasi cha hata jukwaa lililojipambanua kwa weledi linaangaliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Haijalishi mahusiano yoyote ya kingono zaidi ya kwenye ndoa ni chukizo kwa Mungu-huponi kwa mjibu wa mambo ya walawi 18:1-30

    Mambo ya Walawi - Leviticus 18 1 Bwana akanena na Musa, na kumwambia, 2 Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. 3 Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri mliyokaa; wala msifanye matendo kama yale ya nchi ya Kanaani, nitakayowapeleka; wala msiende katika...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwa introvert bila mambo haya ni Ukichaa

    HI great thinkers Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake. Lakini kama wewe una tabia hizo tunategemea uwe na yafuatayo, tofauti na hapo wewe ni kichaa. 1...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzia: Waziri wa mambo ya nje wa Belarus afariki ghafla

    Vladimir Makey mwenye umri wa miaka 64 alishikilia wadhifa huo tangu 2012 Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus Vladimir Makey, alifariki ghafla siku ya Jumamosi, shirika la habari la Belta limeripoti, likimnukuu msemaji wa wizara hiyo, Anatoly Glaz. Alikuwa ameshikilia nafasi yake kwa muongo...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye vijiwe vya boda boda kuna mambo ya ovyo sana

    Habari za jion Sorry mimi sio mtaalamu sana wa kuandika kiswahili naomba tuvumiliane Naenda direct leo nilikuwa nimeenda sehemu fulani uko wakati na naludi usafiri ulikuwa unasumbua ikabidi nisubilie kwenye kijiwe cha boda boda ndipo nikaaza kuona vimbwanga Boda boda mmoja akawa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mambo ukifanya kwenye hii dunia utalaanika

    1.Ufiraji 2.kulala na wanawake Malaya 3.kupuuza wazazi wko 4.Kudhulumu yatima na wajane, 5.kwenda kwa waganga 6.Kufanya mapenzi na ndugu 7.Ulevi Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
  19. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini. 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo 4 ya kufanya Instagram kupata followers zaidi

    Profile visits ni idadi ya watu wanaotembelea ukurasa wako wa Instagram unaweza kuangalia kupitia insights kufahamu kuhusu profile visits kupima maendeleo ya ukurasa wako Ili kuwa na profile visits kubwa unapaswa kufanya mambo yafuatayo BIO OPTIMIZATION Hiki ni kitendo cha kutumia maneno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…