Mambo ukifanya kwenye hii dunia utalaanika

1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
The end product ya kulaniwa ni nini hasa, haya uliyasema hayana mantiki.Maana Wanasiasa na matajiri wengi duniani ni wadhulumaji mbona wapo na wanaheshimika duniani.
 
The end product ya kulaniwa ni nini hasa, haya uliyasema hayana mantiki.Maana Wanasiasa na matajiri wengi duniani ni wadhulumaji mbona wapo na wanaheshimika duniani.
hawana nafsi wale, wengine walisha kufa siku nyingi yamebaki majini tu
 
Dunia yenyewe imelaaniwa kabla kiumbe kinachoitwa bainadamu hajaja.

Shetani mwenyewe haya ndio makazi yake
Na ndio mfalme wa Dunia.

Wewe nani upingane nae

N.B Omba Mungu tu ila mambo ya hovyo ndio Wanadamu wanapenda
Baada ya ujio wa yesu lucifer hana kitu
 
Back
Top Bottom