mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Mambo ya kuzingatia kupunguza magonjwa yasio ambukizwa

    NJIA KUMI ZA KUZUIA MAGOJWA YASIYO AMBUKIZWA Magonjwa yasiyambukizwa ni magonjwa yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa.Mfano ni magonjwa sugu ya njia ya hewa ,kisukari,kuoza meno,magonjwa sugu ya njia ya hewa ,kisukari ,kuoza meno nakadhalika. Zifuatazo ni njia za kupunguza magonjwa...
  2. Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

    Kwema Wakuu! Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo tuliokatazwa na kusisitizwa na Wazee wetu linapokuja suala la mahusiano ya ndoa, sasa Vijana wanapiga mayowe...
  3. O

    EDO KUMWEMBE: Kibadeni na mambo yaliyobadilika Kariakoo Derby

    JUZI kulikuwa na mechi ya watani pale Temeke. Simba na Yanga. Hadi wakati naandika makala haya sifahamu matokeo yalikuaje, lakini nafumba macho na kuvuta picha nzito ya pambano hili tangu nikiwa kijana mdogo. Nyakati zimekwenda wapi? Kuna mambo yamebadilika na kuna mambo hayajabadilika. Tuanze...
  4. Drones zaendelea kufanya mambo ndani ya Urusi, matukio ya moto na milipuko

    Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine.... Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday. A thermal power plant caught fire in Belgorod, Russia, causing an electricity blackout on Monday. Russian propaganda reported...
  5. R

    Mambo matatu kwa Rais Samia yatakayoimarisha utawala wa awamu ya 6

    Habari jf ,binafsi nimefanikiwa kuishi na wazanzibar wengi sana ,kitu kikubwa nlichokiona kwanza hawana tamaa ya Mali na ni wa aminifu sana. Hivyo basi binafsi Nina Imani kubwa sana na Rais Samia na kama atayashughulikia haya mambo matatu basi utawala wake utakuwa wa mafanikio sana :- 1.Kuacha...
  6. Viongozi wa kisiasa msitake sifa kwenye mambo ya Usalama kwa misafara ya viongozi!!

    Kuratibu na kulinda misafara ya viongozi si jambo jepesi kama watu wengi wanavyodhani. Kuwa na mazingira wezeshi ya kulinda misafara hiyo pia si jambo la Polimi lai!! Naona watu wengi pamoja na wanasiasa wenyewe wanachanganya kati ya kuwa na misafara mirefu na muda unaotumika kupitisha...
  7. Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa

    Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga. Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia...
  8. Diamond Platnumz sasa wanamuita Sheikh Mansoor

    Diamond Platnumz ambae ni msanii namba moja Africa. Hatimaye amepewa jina jipya kwa sasa anaitwa aka Sheikh Mansoor. Wakimfananisha na tajiri mmiliki wa Manchester City Ameuanza mwaka sasa yajayo yanafurahisha. Haya sasa vifaranga tokeni bandani mtembee na upepo wa mwenye nyota zake za...
  9. K

    Kwako Rais Samia, sisi Askari tunaomba utuongezee maslahi

    Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk . Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa. 1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa...
  10. Haya ndio mambo ambayo Marekani na Tanzania zinafanana kwa sasa. Soma uyajue

    Wakuu vipi, kwema. Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia mashimo. 1) Nikianza na Taifa kubwa Marekani: Hawa jamaa baada ya kusikia kuwa kuna mzozo mkubwa umezuka...
  11. Mambo gani ulidanganywa kuhusu watu wazima na umegundua ni uongo?

    Tunapokuwa wadogo kuna mambo mengi tunadanganywa na kuamini kuhusu watu wazima. Lakini miaka inavyoenda tunagundua uongo mwingi sana. Uliamini nini na ukashangaa hakuna ukweli wowote. 1. Niamini watu wazima hawapendi wali. Si kwel hata kidogo. Wanapenda wali kuliko hata watoto. Kama uamini pika...
  12. Suluhisho la kucheleweshwa kwa 'placements' ni hili

    Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly. Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni vijana(job seekers). Hivyo basi napendekeza hili lifanyike from now. Napendekeza Kutolewa majibu ya...
  13. Mambo yanayopendekezwa kufanywa ndani ya Saumu

    1. Kula daku na kuchelewesha kula daku hadi karibu sana na kuadhiniwa alfajiri. Kwa kauli ya Mtume (saw): (Kuleni daku, hakika katika kula daku kuna Baraka) [Imepokewa na Bukhari na Muslim.] Na inahesabika kula daku kwa kupatikana chakula kingi au kidogo, hata kama ni tama la maji kwa kauli ya...
  14. Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

    HAIWEZEKANI MUNGU ASIMUUE SHETANI ALAFU AAMURU WATU WAUE WANAOFANYA MAMBO YA KISHETANI; HAIINGII AKILINI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Kwenye nyumba za ibada tangu tukiwa Watoto tulifundishwa kuna Wahusika Wawili mahasimu, wakwanza anaitwa MUNGU na wapili anaitwa SHETANI. Mhusika Mungu...
  15. Raila Odinga: gharama ya maisha imesababishwa na mambo mengi

  16. Jiamini kwa kufuata mambo haya 5

    Habari zenu wakuu.. Bila kupoteza muda leo nineona nije na huu uzi kuokoa baadhi ya watu wenye (Insecurities) ambao hawajiamini na wengine wanaenda mbali zaidi hawajipendi. So Kutojiamini kukizidi kunazaa kutojipenda, yaani unajichukia wewe mwenyewe. Kuna makundi mengi ya watu ambao...
  17. Dola hutumia nadharia njama kututoa tusijadili mambo ya maana badala yake tujadili uzushi?

    Nadharia Njama (Consipirancy Theory) ni hali ya kuamini kwamba kuna taasisi au watu fulani wanahusika kufanya jambo fulani la siri kwa faida yao. Lakini pia inawezekana ikawa ni hoja fikirishi ya kutungwa dhidi ya kitu fulani lakini hoja yenyewe isiwe ya kweli. Siku moja miaka ya themanini...
  18. DOKEZO Mambo wanaofanya Polisi wa Chato ni ovyo kabisa

    Mambo ya Hovyo Kabisa, hao Polisi wa Chato wana mambo meusi sana. Kuna uyo Mmoja anaitwa anakuaga amelewa mpaka muda wa Kazi, anatesa sanaa mahabusu, anawavuaga nguo wanabaki uchi anawapiga kama Ngoma! Anawamwagia maji baridi na vipigo vya hovyo.
  19. Startup za Tanzania wajitahidi kuwa na maajabu, wanafanya mambo ya kawaida sana

    Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Haris amekuja Tanzania, na moja ya sehemu atakazo tembelea ni Tanzania startup assocciation, binafsi yangu nilisubiria kwa hamu kuona hao watu atakao kutana nao nione idea zao To be honest nimekua dissapoint sana kwa watu ambao wamepewa nafas ya kukutana na...
  20. Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

    Naam, Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa. Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…