Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,032
- 2,769
Simfahamu kitenge kwa namna yoyote ! Lakini wahujumu uchumi waliokuwa wakineemeka na bandari yetu na wale wanaomiliki bandari kavu hapa dar !
Na wanyonyaji wote waliokuwa na maslahi na mfumo wa zamani wa bandari kwa Sasa wanajaribu kuwatumia vibaraka wao wa kwenye tweet na mitandao mbalimbali kuwasakama wale wote wanaounga mkono uwekezaji wa bandari yetu na kuwaona maadui, Kitenge ni mwandishi wa habari na alienda kule kujiridhisha na sio kuwafurahisha wanasiasa!
Kilichompeleka kule ni kampuni yake yenye weledi mkubwa ya wasafi media ili wapate habari za uhakika , hayo hayana mahusiano na maisha binafsi ya kitenge.
Acheni wivu wa kitoto kanunua gari kwa pesa yake Kila mtu atafute Hela akanunue gari yake hakuna wa kukuzuia ,tatizo lenu mtu akiwa kinyume na mawazo yenu mnamfanya adui huo ni utoto kwenye mambo ya msingi ..jadilini hoja ya msingi achaneni na maisha ya mtu binafsi