The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9...
Siasa ni MAGAZIJUTO.
Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa.
Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
"Roho mbaya" ni neno subjective. Hata hivyo kuna viashiria vya msingi kabisa ukiona unavyo, basi jitambue una roho mbaya, anza mkakati wa kujirekebisha. Mambo hayo ni kama ifuatavyo:-
1. Unafurahi unapowaona wengine wakipata matatizo. Ndugu yangu kama unafurahia watu wanaposhindwa au kuumia...
Wasalaaamu,.
Tuko na wapangaji wetu hapa,. Ni mtu na mke wake lakini sio watu wazima ni vijana tu wa kawaida...
Huyu Binti mwaka jana mwezi wa10 tarehe za mwanzoni alijifungua mtoto( sikumbuki exactly ile tarehe tumeenda kumwona hospitali ilikuwa tarehe ngapi),. Means mwanae mpaka mwezi huu...
Anaitwa Bowiwksi alikuwa anapenda kuwa mwandishi wa vitabu lkn kwa bahati mbaya sana hakuna mchapishaji ambaye alitaka kufanya naye kazi,kazi yake ilikuwa mbaya na hivyo kuwafanya wachapishaji kutopenda kufanya nae kazi
Alikataliwa kwenye vitabu,majarida,machapisho na hata kwa washairi,matokeo...
Kwa mfano mmepishana kauli, mkeo akakupandishia sauti hivyo, we ukakasirika, lakini soku zaenda, mkeo haoni kama amekosea na wala haombi msamaha, anakula buyu kama wewe.
Je utajisemesha tu mambo yaendelee kama zaman?
Au utamwambia akuombe msamaha alikukosea?
Au na wewe utakausha tu hadi...
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.
Haya ni matukio machache...
Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo;
1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
chadema
chama
heche
itifaki
john
john heche
john mrema
kiongozi
kuhusu
kupigwa
mambomambo ya nje
masikitiko
mawasiliano
mkurugenzi
mlinzi
mrema
nje
taarifa
taifa
Mfanyabiashara wa Tanzania anayechukulia biashara yake kwa umakini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo:
TIN Number (Taxpayer Identification Number) – Hii ni namba ya utambulisho wa mlipakodi kutoka TRA, inayomwezesha mfanyabiashara kulipa kodi rasmi.
Leseni ya Biashara – Hutolewa na halmashauri...
Wanaume,
Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana,
Pornography
Uvutaji sigara
Punyeto/kujichua
Unywaji pombe kupita kiasi
Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.
Wakuu hakuna kipengele kwenye Gpt asee labda uje nacho mwenyewe Jana nimechat nae Kwa kina sana na akanipa mwongozo tukuka(GENTAMYCINE voice) Nilielewa asee Sasa mwezi ujao naanzisha kahama mahali Fulani nimeona patanifaa kabisaa..
Shuka nayo hapa......
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached
14 hours ago
Share
US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025.
US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
Mambo 10 Muhimu Kila Mtumiaji wa Kompyuta Anapaswa Kujua
Teknolojia inakuwa kwa kasi, na kompyuta imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu—iwe kwa kazi, elimu, au burudani. Hata hivyo, ili kuhakikisha kompyuta yako inafanya kazi vizuri kwa muda mrefu na unakuwa salama mtandaoni, kuna mambo muhimu...
Huyu mlokole anafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika kubwa, lakini hajawahi kuiba hata senti. Eti anasema wezi hawataingia mbinguni. Mtu ana nafasi ya kutajirika haraka kwa pesa za shirika, yeye anakomalia uaminifu. Ujinga mtupu!
Akipanda magari ya abiria, akizidishiwa chenji, anamrudishia konda...
Heshima zenu wakuu.
Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini
Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye...
Habari Wakuu!
Bila kupoteza wakati.
1. Unamwomba mpenzi/ Mkeo Ngono.
Ukiona Mkeo au mpenzi wako anakupimia michezo ya kitandani na wewe unamwomba ujue wewe ni mwanaume uliyekata tamaa, usiye na lolote la maana, uliyekwisha. Mwanaume dhaifu.
2. Unatumia nguvu kubwa hasa ya pesa kumhudumia ili...