mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kila Mwananchi wa Tanzania ambaye anataka kumiliki Gari mambo ghani afanye kabla ya Kununua

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya ajabu yanafanywa na viongozi wa Chadema chakavu

    Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge...
  4. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

    Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo: Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali, Kukomesha ukamatwaji holela wa raia, Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola, Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
  5. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Serikali kulalamika kuingiliwa mambo yake(Bunge la Ulaya) na kisa cha mtoto asiejitambua

    Habari wakuu Unakuwa na mtoto mtukutu mlevi mvuta bangi...ukimpa pesa kidogo lau akanunue hata nguo anaenda kunywea yote...mtoto hakui kwa wazazi wake ana miaka zaidi ya 60 sasa,alishakuomba ajitegemee ukamruhusu lakini mambo ndio kama hayo Umeamua kwa sababu ya umri wake Acha akae jirani na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Jana Nusu Fainali Inter Milan vs Barcelona pale Giussepe Meaza

    1. Kama hukuangalia gemu ya jana baina ya Inter Milan vs Barcelona basi umekosa raha ya dunia, it was a real outstanding kama alivyokuwa akisema commentator.Gemu ya kasi sana, uwezo, ufundi, ujuzi na mbinu za hali ya juu zilizopelekea gemu kwenda extra time. 2.Nimejifunza kuwa timu hata...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa miaka hii na wale wazamani waliolisusia jeshi la magereza na wizara ya mambo ya ndani

    Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI. Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Moja ya mambo nitakayoyafanya nikiwa Rais nikuhakikisha dawa za magonjwa mbalimbali zinatengezewa hapa Tanzania from scratch

    Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa Katika kutafuta novel therapeutics compound ya magonjwa mbalimbali tafiti zitajikita kwenye mambo yafuatayo;- Method of predict normal protein mutation...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Vietnam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam. Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Upuuzi ni pale unapo analyze mambo yanayofanyika kwa kutumia kipimo cha dini. Yani nyoka sio nyoka tena kwako kama amevaa gamba la dini yako. SHAME!

    Kuna washamba humu JF hata siku akija kuvamiwa na kibaka ndani kwake then kwa bahati nzuri amdhibiti na kumkamata alafu baadae ajue wanashare nae majina ya itikadi moja ataishia kumuachia huru huku akilaumu system za kikristo ndio zimemsababisha awe kibaka. Utu na haki aingaliwi tena hadi hapo...
  12. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Amani iwe nanyi nyote Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
  13. sanalii

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa mambo wakristo wamefanikiwa, ni kuvumiliana na kuficha siri

    Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani. wakristo...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

    Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ? Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi...
  15. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Mambo ni vice versa(Tutalalaje hapachakucha?),Mjini ni ya vimbweka bado!

    Wanajukwàa. katika kipindi ambacho dunia inaomboleza Kifo cha Baba mtakatifu(Papa Fransco),Taifa linashuhudia mitikisiko ya kisiasa ndani ya vyama( chadema),na vijana wenzetu wanapotea kwenye kelele za mitandao -mimi  Kalooo nimekuja na ujumbe wa aina hii mbele yenu. kuhusu kifo cha Baba...
  16. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Jinsi nguvu ya kiza inavyoharibu makusudio na adhma mambo

    Wengi wenu Mmekua mukiniuliza maswali mengi kuhusu kutofanikisha makusudio ya jambo kama biashara na mengine bila sababu za msingi na hua haingii akilini kuvurigika kwake Napenda kuwambia kua jambo linalovurugika katika mwisho wake hali ya kua lilikua vizuri na likavurugika bila sababu za...
  17. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Ajabu kabisa.

    Kwanini Wakikuta eneo lako lina uwepo wa Dhaabu watadai ni Mali ya serikali ila Eneo hilo hilo Wakikuta Bhangi zimejioteaa ni za kwako na utatakiwa kushikiliwa na Polisi kwa maelezo zaidi ?
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Ukijifungia kwenye uzio wa " Vitu vya kike" " Mambo ya kike" Utakosa raha duniani.

    Mimi nanunua ubuyu nakula, Nanunua chips yai nakula Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume. Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani. Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukimuona mtu katika taifa hili amekua maarufu na mashuhuri kwa kufanya mambo ya maana basi muheshimu sana.

    Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS" Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno. Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Serikali haitaki viongozi wa dini wamshauri Rais juu ya mambo ya uongozi, kwanini mnawaalika wakati wa kumwapisha Rais?

    Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
Back
Top Bottom