mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mbona kama mambo yanajirudia!

    Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu. Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye. Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin. Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.
  2. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania

    Rashda naandika Katika siku za hivi karibuni, suala la wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania limezua gumzo. Mwanasiasa mashuhuri kutoka Kenya, Martha Karua, pamoja na wenzake, walijaribu kuhudhuria kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu. Lakini...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania BBC ilivyotaka kuuziba ukweli wa Mambo huko Gaza!!!

    Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto wakigombania chakula wakati afya zao ni njema kabisa.
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yako mambo ambayo yapasa Lissu asikilizwe

    Tanzania haina dini lakini watu wake wanazo dini zao. Angalia dini yako kama haya anayosema Lissu ni kweli au uongo: Ni kweli kura za wapinzani zinaibiwa, hata Nape kaeleza namna zinavyoibwa. Hili Lissu asikilizwe. Kama ni uongo sema ni uongo kwa mukibu wa dini yako. Ni kweli wagombea wa...
  5. D3F4ULT

    JamiiForums Tanzania MAMBO YA MSINGI KWA MWANAUME KUJUA KUHUSU MAHUSIANO:

    Wakuu habarini za wakati huu, kutokana na trends ya vijana wa kiume wengi wa chuo ndani ya wiki hizi mbili kujinyonga au kujidhuru nafsi kutokana na mapenzi. Nimeamua kupita na nondo zilezile za ndugu yangu Natafuta Ajira ili kuwahasa vijana wenzangu. 1. Jifunze kujidhibiti –...
  6. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kujiandikisha daftari la wapiga kura, sauti ya 'ILI IWEJE' inanijia masikioni, nami najeuka speed kali kuendelea na mambo yangu binafsi

    Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
  7. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Appartments design 2bedrooms ,lounge kitchen 2verandah . Plot of 600sqm 4units call us for design and construction services

    SISI TUNAHUSIKA NA DESIGN + UJENZI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni developer, una Ideas, ya software, unapenda mambo ya Programming Huu uzi ni kwa ajili yako

    Wadau ..kwema bado kumekua na mijadala mingi sana kuhusu Programmers au developers wa Kibongo lakini nitaelezea hapa matatizo kulingana na uzoefu wangu nitaelezea Sababu tatu tuu zinazotufanya developers wa kibongo kuendelea kuwa Maskini. 1.FINANCIAL STABLE Hili ni tatizo kubwa saana...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex. Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumbe mambo ya uwongo yalikuwa siku nyingi,Kipindi cha vita ya kagera mkuu wa mkoa anasema vita hakuna

    Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana. Wakati wananchi wanaona mpaka ndege za kivita zikishambulia. Usishangae mbunge babu tale kusema utekaji...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Miaka inavyozidi kwenda na mambo ya ndoa yana potea kabisa

    Kuna vipindi youtube sijui challenge kufahamu kama kuna mapenzi ya kweli. Unaweza kujua ni utani au maigizo yani wasio kuwa kwenye ndoa walio kuwa kwenye ndoa ni kama wapo group moja la wasaliti. Kutarakiana kumeongezeka huko mahakamani,nyumba za dini na waamuzi wao. Kwa sasa kama mnataka...
  12. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Mambo yote haya kayataka mo!

    Wakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo kipiga kwenye uwanja wa mkapa, sio timu za afrika tu zimeonja joto ya jiwe kwa mkapa, pia timu za ulaya...
  13. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Je, ya Makonda tumuachie Gambo au ya Gambo tumuachie Makonda au ndiyo ile inayosemekana kuwa Mkakati wa kuendelea kuharibu mambo sana ili Samia afeli?

    ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais. Matarajio ya Rais Samia kwa Makonda ni kumsaidia kazi na kutunza misingi ya uongozi wake ndani ya jiji...
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mambo Rais Samia h(a)tafanya 2025/30!

    kama akifanikiwa kweli kutawala mpaka 2o3o, itathibitisha mambo mengi kwamba yote yaliofanyika yalikutwa tayari yamefanyika, hivyo mpa 2o3o haitajengwa hata km 5 za sgr kuanzia dodoma kuelekea manyoni, sgr dar-dom ndiyo mwisho na hata itakufa na kuota nyasi kwenye mataluma mpaka 2o3o, tuwekeni...
  15. Fene

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika (Watanzania) tumekurupukia mambo?

    Aje Je Waafrika tumekurupukia mambo au nasi tunapaswa Ukiangalia nchi za wenzetu masuala ya burudani kama vile muziki, mipira na mengineyo yalianza kuwa na nafasi kubwa kwao baada kupiga hatua kubwa za kimaendeleo ya kiuchumi, mapinduzi ya vilimo, mapinduzi ya viwanda Rejea club kubwa...
  16. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Watu wengi huogopa kile kisichojulikana kwasababu zifuatazo..

    Watu wengi wanaogopa kile kisichojulikana kwa sababu kuu tatu za msingi: 1. Akili hupenda uhakika Akili ya mwanadamu imeundwa kutafuta usalama na utulivu. Haijisikii salama inapokutana na kitu ambacho haijakielewa au haijakikadiria. Kitu kisichojulikana kinawakilisha hatari inayoweza kutokea...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo sayansi inaithibitisha Biblia

    Wadau nimepata haya ndani ya Biblia nikasema kumbe kwenye Biblia kuna mambo ambayo hata Sayansi inakiri kuwa, ndivyo yalivyo. Nikasema tushirikishane. 1. JUA, MWEZI KUWA ANGANI. Biblia. Mwanzo 1: 16-17. Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamebarikiwa sana kwenye kusahau na kufatilia mambo ya msingi

    Kama ni memory, watanzania wana operate on CPU register. Wanashupalia jambo, kisha baada ya muda washasahau, wansubiri jengine. Tangu enzi za kuuwawa kwa Daudi mwagosi hadi kupotea kwa mdude, in between kuna mengi, but follow-up ni zero kabisa. In short kwa Tanzania tatizo ni lile linalompata...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kila Mwananchi wa Tanzania ambaye anataka kumiliki Gari mambo ghani afanye kabla ya Kununua

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
Back
Top Bottom