Representing the Mambo is the ninth studio album by the American rock band Little Feat, released in 1990. It peaked at No. 45 on the Billboard 200 and was supported by a North American tour. "Texas Twister" and "Rad Gumbo" were released as singles.
Kuna vipindi youtube sijui challenge kufahamu kama kuna mapenzi ya kweli.
Unaweza kujua ni utani au maigizo yani wasio kuwa kwenye ndoa walio kuwa kwenye ndoa ni kama wapo group moja la wasaliti.
Kutarakiana kumeongezeka huko mahakamani,nyumba za dini na waamuzi wao.
Kwa sasa kama mnataka...
Kama ni memory, watanzania wana operate on CPU register. Wanashupalia jambo, kisha baada ya muda washasahau, wansubiri jengine.
Tangu enzi za kuuwawa kwa Daudi mwagosi hadi kupotea kwa mdude, in between kuna mengi, but follow-up ni zero kabisa.
In short kwa Tanzania tatizo ni lile linalompata...
Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge...
Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI.
Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam.
Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
afrika
afrika mashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
jamhuri
katika
mahmoud thabit kombo
mambomamboyamamboya nje
mashariki
nje
thabit kombo
ushirikiano
ushirikiano wa afrika mashariki
waziri
ziara
Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025.
https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0
Jaji Warioba
- 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
bashungwa
kesi
kesi ya lissu
kitaifa
kongamano
kubwa
kuhusu
kujadili
lissu
mahakama
mambomamboyamamboya ndani
mkuu
mwabukusi
mwaka
mwaka 2025
mzee
mzee warioba
ndani
rais
rais wa tls
serikali
tanzania
tls
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
waziri
Kwanini
Wakikuta eneo lako lina uwepo wa Dhaabu watadai ni Mali ya serikali ila Eneo hilo hilo Wakikuta Bhangi zimejioteaa ni za kwako na utatakiwa kushikiliwa na Polisi kwa maelezo zaidi ?
Mimi nanunua ubuyu nakula,
Nanunua chips yai nakula
Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume.
Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani.
Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS"
Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno.
Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu...
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.
Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia...
Hivi kwanini wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?.
Na hapa manabii na wachungaji , mashekh na waganga wa kienyeji wamekuwa wakipiga sana hela.
Mfano Carina alikuwa anaumwa ugonjwa wa kawaida Ila wakasema amerogwa this bullshit .
Ni ujinga sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.