mambo ya

Representing the Mambo is the ninth studio album by the American rock band Little Feat, released in 1990. It peaked at No. 45 on the Billboard 200 and was supported by a North American tour. "Texas Twister" and "Rad Gumbo" were released as singles.

View More On Wikipedia.org
  1. Maoni Yangu Kuhusu Posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani: Warumi 13:1–5 na Maudhui Yake Katika Siasa za Tanzania

    Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
  2. Mambo ya kukumbukwa kwa bunge la 12 la Tanzania

  3. Utopolo msijisifu saana, wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana

    Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji. Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba...
  4. Trump asema Iran ikithubutu kuamsha tena mambo ya nyuklia, ataipiga tena

    Kwamba Iran ikae kwa kutulia Sasa, iache hayo mawazo maana imesambaratishwa kwa moto... US President Donald Trump says he will strike Iran again if it tries to restart its nuclear enrichment program. Asked by a reporter if the US would carry out more attacks if Tehran rebuilds its uranium...
  5. Usiwa waamini Binadamu

    1. Usiichukie kazi yako, Hakuna kazi mbaya maana hiyo ndo inakupa kipato. 2.Usitengeneze Faida kwa Watu wasio miongoni mwako. 3.Usimsaidie mtu ukitegemea kupata kitu Fulani 4.Usimuamini mtu yeyote pia usimuonyeshe kua aumuamini. 5.Usio mwanamke ambae unaempenda 100%. Owa mwanamke ambae...
  6. Fid q ana upeo mzuri sana wa kuelewa mambo ya kisiasa na kijamii ,hongera Kwake.

    https://www.facebook.com/share/v/1B6PKnEax7/ Video inajieleza.
  7. Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  8. Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  9. Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  10. C

    Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

    Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu. Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili. Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya watu wanaotumia nguvu ya watu walio nyuma yao kufanya watakavyo. Nchi inatakiwa kupambana na mambo...
  11. W

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani "Marco Rubio": Israel wamejichukulia maamuzi yao, sisi hatuhusiki kwa lolote lakini ole wao Iran watuguse !

    Statement from Secretary of State Marco Rubio “Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region. Israel advised us that they believe this action was necessary for its self-defense...
  12. Kwanini mada zinazohusu mambo ya "kiroho", "utajiri", "majini", wakati mwingine zinapigwa "pini" zisiongelewe?

    Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni za kweli, hua hazimaliziki, zinaishia katikati, mara nimesoma kwingine mtu anasema alipokea maelekezo...
  13. Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

    Wanabodi leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma-...
  14. Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

    GTs, Hebu fikiria tu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya...
  15. K

    Watanzania msiwe wajinga kuunga mkono mambo ya kijinga! Mtajuta huko mbele

    Watanzania kama hamjui baadhi yenu mnatengeneza nchi mbayo itakuja kuwa kama Uganda ya mtu mmoja na family yake. Ndiyo kitu mabacho hizo familia chache za maraisi wastaafu wanataka kufanya. Mkiwaacha itafika wakati hata ndani ya hiko chama kitakuwa ni ndugu na jamaa pekee. Kuna watu wanaweka...
  16. Nashauri kazi ya kukusanya taarifa binafsi za watalii ibaki kwa wizara ya mambo ya ndani (Immigration)

    Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini. Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
  17. Natamani kumsikia Jaji Warioba kwenye mambo ya kupotezana

    HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO
  18. Sheikh Sule huwa anazungumzia mambo ya nchi kama kiongozi wa dini au kada wa chama?

    Huyu Sheikh mimi nilifikiri ni kiongozi wa dini tu, nimeshangaa kukutana na hii video!
  19. Kauli ya Mwenyekiti wa CCM iko wazi, akirudi kutumia Jukwaa la kanisa kuendelea na fitina zake hilo kanisa Wizara ya Mambo ya Ndani ilifungie

    Friends and our Enemies, Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake. Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
  20. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…