mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nilipoona Mama Samia anafanya mazungumzo na Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu Prof Luoga nikajua hakuna nyongeza

    DK Philip Mpango ndio kila kitu juu ya matumizi na mapato ya pesa za umma kuanzia awamu ya tano ilivyoingia na sasa awamu ya sita. Japokuwa tupo awamu ya sita lakini ni kama tupo awamu ya tano ya JPM. Maana huyu Dk Mpango ndie aliengineer kila kitu juu ya kuweka pesa zote hazina na kubana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ni Kiongozi Mnyenyekevu sana kwa Wananchi, Wanasiasa wengine tujifunze

    Wanabodi sijui ni mimi peke yangu au na nyie mnaona, huyu Mama toka ametwaa madaraka amekuwa Kiongozi Mnyenyekevu sana kwa Wananchi wake. Hotuba ya Mei Mosi imejaa unyenyekevu wa hali ya juu sana kiasi cha kuleta Matumaini na kuzidi kupendwa na Wafanyakazi. Cha kujifunza sometimes how to speak...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Barabara Mbezi - Makabe: Waziri wa Ujenzi njoo uone TANROADS walichokifanya

    Kuna matengenezo ya mitaro ya maji taka yalikuwa yanafanyika na yalianza kipindi cha mwishoni kabisa cha uhai wa JPM. Na Mara tu alivyofariki jamaa hawakurudi kumalizia kazi kana kwamba waliona hakuna wakuwawajibisha tena. Ni ngumu kuelezea kazi ilivyofanyika , lakini kwa macho tu HUWEZI...
  4. JamiiForums Tanzania Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

    Kutoka jijini Mwanza tunawaletea taarifa za moja kwa moja, maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi duniani,ambayo kitaifa yanafanyika hapa. Mgeni rasmi anatarajiwa kua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan, ambapo atapokea maandamano ya wafanyakazi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

    Lazaro Nyalandu wa CHADEMA amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma. Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dkt. Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM...
  6. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa, mchagueni Mama Samia kuwa mwenyekiti wa CCM na Ashraf Sadru Kiobya kuwa mjumbe wa NEC

    Ndugu Ashraf Sadru Kiobya Ndugu wajumbe wa mkutano mkuu CCM Taifa. Poleni kwa Safari na Majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa na chama Naomba kuchukua nafasi hii kuwaombeni kwa unyenyekevu mkubwa mumchague Mama yetu, Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa CCM. Mama Samia ni...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu wakumbuke watumishi wa CCM wanaoteseka kwa dhiki haswa wale wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM

    Naamini sijakosea kukuita Mwenyekiti mpya wa CCM, leo siku moja kabla ya uthibitisho wako. Naamini utakuwa ndiye tena kwa kura zoote, ni suala la muda tu. Mheshimiwa Mwenyekiti naomba nikueleze kuwa wako waliokuwa watumishi ndani ya CCM na hasa katika shule zilizokuwa chini ya Jumuiya ya...
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Kesho ndiyo kesho, Mama Samia anakalia kiti chamani. Wanaopanga kumkwamisha tumejipanga kuwakwamisha

    Niko hapa Dodoma kwa majuma kadhaa sasa. Niko kwa kazi maalum ya kichama: kuhakikisha bila kutisha kuwa Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. Baada ya kumrithi Urais Magufuli, umefika wakati wa kumrithi pia Uenyekiti wa CCM. Kwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, mteue Zitto Zuberi Kabwe awe Mbunge akaongeze chachu ya hoja Bungeni

    Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali. Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu ya Kitanzania. Kwa kuwa Kada wawili wa CCM wamekuwa Wabunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuna Fursa ipo kwetu kwenye Uchumi wa Gesi, ichangamkie haraka

    Nakusalimu tena kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama yangu! Ni nadra sana Mimi Lord Denning kuandika nyuzi mbili humu ndani Ila leo imebidi nikuandikie humu maana nimegundua kuwa wewe ni mwanachama na mpenzi wa hili jukwaa! Nimeandika ushauri wangu kwako juu ya reformation...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka 57 ya Muungano: Rais Samia ielekeze serikali yako ijenge taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano. Nikupongeze wewe binafsi Mh.Rias kwa salamu ambayo inaonda matabaka na kuleta umoja ndani ya Jamuhuri ya Muungano. Hongera sana kwa ubunifu huu naamini ni mwanzo tu na mengi yatafuata. Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Tumekuwa na awamu tano...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

    Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa. Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu...
  13. JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Rais Samia anawakaanga MATAGA

    Dig Deeper-Hotuba ya Mama Na Malisa GJ Kimsingi mama anaisuka Tanzania mpya, lakini hataki sindano iwaume sana wale chawa wa mwendazake, hivyo anachoma halafu anawapuliza kwa kuwaambia kuwa yeye na mwendazake ni kitu kimoja. Wakishangilia anaongeza sindano nyingine. Wakishtuka anapuliza tena...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia kafanya alichofanya Mzee Mohammed Kissoky miaka ya 70 Bukoba

    Kutoka kwa Nguli la Artifical Intel =AZVPJI1yW9MoSQQLn68jW059p2Hv9XovEul-4su0ExTptJBYvDyS1jE5BzK4VAjAg3BPzbI5cl3_G1i3_IVWYde5oHPBIku7pj_dWLi-vjUNkq-t6QDJYUANsPiE71cRXRnvYf8ry6HAPQzOgsnRiNESlOhsj5GV4YoFJKBSAXIKfDAMnXeQyhtjAwwxN8jaSQE&tn=-R']Yahya Msangi Wakati wa zile RTC palitokea uhaba wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Dkt. Magufuli mwenye Mtazamo tofauti na Hayati Magufuli

    Mara kadhaa, mama Samia anasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Huenda ni watu aina moja kwa sababu wametokana na uchaguzi mmoja. Ukifuatilia kauli zake hasa katika hotuba ya leo, dira ya Taifa katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo na Ilani ya CCM vinaonyesha tofauti kubwa katika utekelezaji...
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Kwa wasiojua kiswahili .
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli. Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo naye, anawakosha sana na wanamtumia kuwaumiza wafuasi wa Magufuli. Kwa wataalam wa siasa hii ina maana gani kwa siasa za...
  18. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  19. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Bunge, Rais atakapohutubia Aprili 22, 2021

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA NA. MUDA SHUGHULI MHUSIKA 1. 3:00 – 5:00 Asubuhi Kikao cha Bunge Spika/Katibu wa Bunge 2. 5:00 – 8:00 Mchana Shughuli za Kiutawala Ukumbini Katibu wa Bunge/Chief of Protocol 3. 8:00 – 9:00 Alasiri Waheshimiwa Wabunge na...
  20. JamiiForums Tanzania Nakwenda Dodoma kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila tatizo lolote. Mama anaweza

    Nimekatisha safari yangu ya kwenda nyumbani Songea, Ruvuma. Nimegeuzia Masasi, Mtwara. Nimeamua kuingia mstari wa mbele bila kelele kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila vikwazo vyovyote. Nikiwa Masasi, nilipokea taarifa za kiintelijensia kuwa kuna baadhi ya makada wabobezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…