mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Watu kulala hovyo kwenye madaldala ni dalili ya njaa kali!

    Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi na mara kadhaa udenda pia. Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya Dar...
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais Samia Suluhu Hassan

    Heri ya mwaka mpya wana JF Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na utendaji wake. Sababu zangu: Kwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali...
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mama Samia kuifumua NIDA juu chini, anatafuta bosi ambaye ni chini ya miaka 35

    Kituo kinachofuata ni NIDA. Mama kashindwa kuelewa inakuaje kuaje Kama Magari kawapa, hela katoa, mashine za kisasa zipo, mishahara inaingia kila mwezi lakini miaka 5 mtu hapati kitambulisho. Wakati huohuo mamlaka Kama hizo nchini Kenya na Rwanda zenye bajeti ndogo kuliko NIDA zinatoa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sifa kuu za mama Samia

    1. Hapendi unafiki 2. Ananyoosha maelezo 3. Hapendi uongo uongo 4. Ni mpenda demokrasia 5. Hatumii nguvu kutuongoza 6. Hana jaziba kuliendea jambo 7. Ni msikivu 8. Ni mwanamaendeleo Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
  5. Jay One

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakuomba utupie jicho kali Utumishi

    Rais wetu, Mama Samia, kwanza tukupe hongera sana kwa kazi kubwa na inayoonekana kwa Taifa letu, hakika kazi unaimudu na unaiweza kisawa sawa. Rais tunakuomba pamoja na juhudi zako kubwa za kujenga nchi na kuwa hudumia wananchi wote ikiwemo wafanya kazi wa umma, nikupe siri, tupia jicho kali...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza akastahimili lakini chawa wake anaweza asistahimili

    Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania. Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo uzuri wa Rais Samia, ukweli ndiyo hulka yake

    Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa. Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amlilia Pele, ampa pole Rais wa Brazil

  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  10. Dra Maxie

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanafurahia Rais Samia akiharibu

    Kipindi cha Magufuli wapinzani waliweweseka sana kwasababu asillimia kubwa ya wananchi walikuwa wanamkubali, ukiachilia mbali hawa wananchi waliopo mitandaoni, walijua kabisa pale mziki ulkuwa mgumu. Lakini kwa sasa wanajua kabisa Mama ni kama vile ana salala fulani hivi katupiwa, asilimia...
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania 2025 tumuunge mkono mama Samia. Kama kuna dukuduku la mapungufu tumweleze ashughulikie. Hakuna haja ya kuwa na makundi

    Ni vyema tukubali kuwa kazi inaendelea. Miradi mikakati inakwenda vizuri. Mfano daraja la Wami limekamilika. Sgr kipande cha Dar Moro kipo tayari na na kitaleta mabadiliko ya maisha kwa wananchi. Tumuunge mkono mama ili kazi iendelee. Hakuna haja ya kuwa na makundi na na kuleta kauzibe kwa mama...
  12. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa kiongozi kama Rais Samia unaweza kuwatambua machawa na wanafiki wako?

    Najiuliza tu maana kama sisi watu wa nje tunaona RAIS WETU anachezewa. Wanamrai rai ilo wanufaike kupitia yeye, sio kwamba ni kweli wanampenda na kwamba yale wanayomsifia ni kweli yupo nayo. Ina maana hajui hawa si kweli wanayosema juu yangu. Ni wananipaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa sababu...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used” Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Wanabodi, Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama. Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani Rais Samia kwa kuendelea kuweka sawa, hapakuwa na sababu za chuki zile

    Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakuwa na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikuwa na hatia yoyote..... Hao vifaranga bora hata mngewapa sumu, lakini kutia viberiti vifaranga 6,400 wakiwa hai lazima utakuwa...
  16. Tango73

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya elimu Tanzania

    Namshika mkono wa heri na shukurani nyingi Rais Samia Hassan kwa mabadiliko mazuri ya elimu anayoyaleta nchini. Namshukuru sana Rais Samia kwa kutatua kero moja iliyotutesa sana miaka nenda rudi ya Watanzania kuwa wanachama wa jumuia ya madola lakini kiingereza hakizungumzwi na walio wengi...
  17. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa kituo cha Afya Ikungi - Singida, Mashaka matupu mwaka unaisha ujenzi haueleweki

    IKUNGI-SINGIDA Na Gregory Jumbe Mahanju, Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini. Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea kwa Kishindo. Bil 165 kujenga uwanja wa kisasa Dodoma. Mama Samia anaupiga mwingi

  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

    Sasa hivi nchi nzima tuna ukame ambao haujakuwpo kwa miaka kama kumi hivi. Ukame huu unaleta athari mbili kuu, ukosefu wa maji ya matumizi ya binadamu na hvile vile kukosekana kwa maji ya kutosha kusukuma mitambo ya kutengeneza umeme. Sasa, ukame unatukosesha maji mijini na umeme kwa pamoja...
Back
Top Bottom