malipo

  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa duniani;Ogopa sana mtu ambae ukimdhulumu au kumtendea ubaya anakaa kimya na kupotezea.

    Tuishi maisha ya amani na furaha bila kuwakwaza wenzetu,kuwafitini,kuwasemea uogo... nk
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, ni Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada?

    Tafsiri halisi ya malipo haya ni ipi? Je, ni kwamba Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada, au shule zimebaini kuwa fedha zinazotolewa hazitoshelezi mahitaji ya uendeshaji na utoaji wa elimu bora, hivyo zimelazimika kutafuta njia mbadala za kuziba pengo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Ajira Mpya 2026 tunahitaji Haki sawa ya Malipo ya Fedha za Kujikimu

    Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI. Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpimbwe, Katavi kijiji cha Mwamapuli kuna geti linalokusanya ushuru wa mazao bila utatatibu

    Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu. Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa hizi, geti hilo halifanyi kazi mchana, bali huanza shughuli zake kuanzia jioni hadi usiku. Inadaiwa...
  5. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania CHWs wa Ruangwa Tunaomba Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Posho na Upatikanaji wa Vifaa vya Kazi

    Ndugu wanajukwaa, Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili katika utekelezaji wa majukumu yetu. CHWs tumekuwa tukifanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusu afya...
  6. gehaz makoga

    JamiiForums Tanzania Nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000

    Inakuaje nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000 Kwani bolt wanashida gani na siku zote naenda kwa nauli hyo hyo ikipanda sana kabda sehemu za foleninzile delay ndogondogo ikiongezeka ni buku au jero je hili swali inakuwaje hii leo naiona mara ya 3 kwangu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANAPA wananizungusha na malipo yangu kwa miaka miwili sasa

    Mimi ni muathirika wa hali ya sasa katika taasisi ya TANAPA. Nilifanya kazi moja, na ni miaka miwili sasa imepita bila kulipwa. Mbali na mimi, kuna mwenzangu analalamika kuwa mama yake alifanya kazi tangu mwaka jana akiwa bado hajastaafu, lakini mpaka sasa ni mwaka umepita tangu astaafu na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom M-Pesa na PayPal Washirikiana kurahisisha malipo ya Kimataifa kwa Watanzania

    Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM – Vodacom M-Pesa Tanzania imetangaza ushirikiano mpya na PayPal utakaowezesha wateja kufanya miamala kwa urahisi kati ya akaunti zao za PayPal na pochi za M-Pesa kupitia M-Pesa Super App, hatua inayolenga kupanua upatikanaji wa huduma za kifedha za kidijitali...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hai tunadai Malipo ya fedha za Kujikimu

    Habari, tunaomba msaada wa kutupazia sauti juu ya changamoto kubwa tunazokumbana nazo sisi watumishi katika Wilaya ya Hai. Mimi ni Afisa Mtendaji niliyeajiriwa mwaka 2024 katika Wilaya ya Hai. Hadi sasa, sijapatiwa fedha ya kujikimu kama inavyostahili kwa mujibu wa taratibu za ajira serikalini...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji Malipo ya Uhamisho kwa Walimu Nanyumbu ni usumbufu

    Kuna changamoto katika Nanyumbu District Council inayohusu ucheleweshaji wa malipo ya gharama za uhamisho kwa watumishi, hususan walimu wa sekondari. Hali hii imekuwa ikileta usumbufu mkubwa kwa wahusika kutokana na mazingira ya kazi na maisha wanayokutana nayo baada ya kuhamishwa. Uhamisho...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO NHIF: Malipo ya Ziada Kwa Wagonjwa wa Bima Kamanga?

    Hospital ya KAMANGA Nyegezi Mwanza kitengo cha Upasuaji kunafuka rushwa ya matibabu hasa kwa wagonjwa wa BIMA, Baada ya mke wangu kusumbuliwa na tatizo la tumbo la muda mrefu, hospitali ya KAMANGA walitujulisha anahitaji upasuaji. Daktari wa upasuaji Dr Hillary alitujulisha matibabu yake...
  12. cacutee

    JamiiForums Tanzania Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

    Jaman za jioni? Basi nimekumbuka hii story nimejicheka Sana. Katika pitapita zangu za utafutaji kipindi flani nikakutana na mkaka flani mfanyabiashara mkubwa tu..... Me bwana nikawa busy na utafutaji maana mapenzi nilishayachoka... Basi tukawa kila nikipita kwenye biashara yake tu napiga story...
  13. R_Breazy

    JamiiForums Tanzania Baada ya chuo ningepata kibarua, malipo!

    Habari za wakati huu Baada ya kuhitimu chuo 2025, niliweka matumaini mengi sana sababu Kuna watu hadi ndugu walinikazia nimalize ili wapate angalau namna ya kunisaidia, nilipambana nikamaliza yote ni Baada ya kuacha. Nilitakiwa nimalize 2023, ila mambo yakawa mengi chuo nkatema nkaingia kitaa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Wilaya - Iramba upande wa afya tunadai malipo ya extra duty tangu Agosti 2025

    Watumishi wa Afya Halmashauri ya Iramba Mkoani Singida, Hospitali ya Wilaya Kiomboi tunakaribia Mwaka sasa hatujalipwa stahiki zetu za Extra Duty na uongozi upo kimya kila tukiuliza tunajibiwa majibu ambayo sio rafiki, tunadai tangu Agosti 2025. Tupo katika Jimbo la Waziri Mkuu tunaomba tatizo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakulima wa Tumbaku - Mbogwe tunapata shida kutozwa Fedha Kupitishiwa/kusainiwa Malipo ya Wakulima na Ofisi ya Meneja MBCU LTD

    1. Viongozi wa AMCOS tunatozwa pesa kila tunapoenda kusainisha/kupitishiwa malipo ya wakulima katika chama kikuu MBCU, Kila malipo tunatozwa Meneja Ndg. Paulo Samweli kuanzia 4mil hadi 10mil kulingana na shedo ya malipo na fedha hii si ya vuongozi bali na yawakulima. 2. Tunahofia msimu huu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni inayofanyakazi katika Mradi wa MSD haiingizi malipo ya NSSF kwa Wafanyakazi wake

    Kuna ndugu yangu anafanya kazi Kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) mkoani Geita, Wilaya ya Chato pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato. Mradi tangu wameanza ni takribani miezi minne, unaenda mitano sasa lakini hakuna kuingiziwa fedha za...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza

    Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha za kujikimu😭😭. Kinachotuumiza zaidi viongozi wetu wanatoa majibu ya mkato, ukipiga simu hawapokei na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo yanacheleweshwa TACRI Kibosho

    Malipo yanacheleweshwa hii ni baada ya taasisi kurudishwa Serikalini project haziendi kama inavyotakiwa. Pesa zake zinachelewa, waajiriwa wapya mpaka wameondoka miezi 5 hawajalipwa. Alikuja mkurugenzi akaahidi kulifuatilia mwezi sasa umekata hakuna kilichoendelea.
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya: Namtumbo mkoani Ruvuma hatujalipwa Pesa ya kujikimu

    Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024. Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi ya Kahawa, TACRI Moshi malipo yanachelewa na wengine kutokulipwa kabisa

    Wafanyakazi hatulipwi kwa wakati na wapo walioingia kazini Nov. 2025 hawajalipwa mpaka imebidi waondoke na ni vijana waliotoka chuo, wanaishije? Alikuja Mkurugenzi wa land planning somebody Mdeke aliahidi kufanyia kazi ila hamna lolote lililofanyika. Kama hawatawaajiri kama waliavyowaahidi basi...
Back
Top Bottom