malipo

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi: Baadhi ya Halmashauri Mkoa wa Kigoma hawalipwi kulingana na Umbali

    Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi. Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao. Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) - Ilala hatujapewa malipo ya kupisha Uwanja wa Ndege mwaka wa tano sasa

    Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo. Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi kwenye malipo ya cash hospitali za serikali (imetokea Amana)

    Kuna tabia mbaya inayofanywa na watumishi wa hospitali za umma. Wakigundua mgonjwa (hasa wa kulazwa) anatumia cash na yupo kwenye hali mbaya, huwa wanawanunulisha ndugu madawa mengi ambayo mgonjwa hatoyatumia. Kwa sababu ni ngumu kwa watu kujua, huwa wanalipia dawa nyingi na kuzikabidhi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi wa Umma hayaendani na gharama halisi za nauli kwenye soko la sasa

    Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka. Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Je mwajiriwa anaweza kusimamisha ajira yake kwa muda kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mshahara anayodai?

    Habarini wanajukwaa? Naomba kuuliza eti kama mtu ameajiriwa na serikali(ajira mpya) na hajapewa malipo yake ya mshahara kwa zaidi ya mwezi mmoja, je mtu huyo anaweza kuandika barua ya kusimamisha ajira yake kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mishahara ya nyuma?
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa na Askari wa Uhamiaji tunateseka kwa uhamisho bila malipo

    Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho. Tunatambua kuwa sisi ni kada ya Askari lakini haiondoi ukweli kuwa sisi ni binadamu, tuna familia zinatutegemea na ni haki yetu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka husika ziweke wazi malipo ya Washiriki wa Mradi wa Digital Tanzania, huu ni mradi mkubwa wa Kitaifa

    Kuna huu mradi unaitwa TANZANIA DIGITAL PROJECT (DTP) ambao pia kwa ufupi unajulikana kwa jina la Mradi wa ‘Digital Tanzania’ unafadhiliwa na Benki ya Dunia unatekelezwa kwa usimamizi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...
  8. nelvine

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa hili kuhusu malipo ya automatic

    Habari wanajamvi, naomba kuuliza, Siku hizi nmeona Malipo ya kimtandao ya Automatic. Yaani inakuja tu Command ya Lipia Tsh kadhaa kupitia Selcom. Ina ku-command kuingiza tu Namba Ya siri Je, ii kitu ipoje na hili kuipata natakiwa nifanyaje?
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO TaESA wamechelewesha malipo ya waajiriwa kwa zaidi ya Miezi miwili

    Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika. Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa mishahara yetu ya mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu licha ya kusaini mkataba unaoonesha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania City council kuhusu malipo ya kuungiza container mjini

    Ndugu wasomaji Nikisikitika kupata habari kwamba saivi city council ya dar es salaam wanahitaji mwagizaji mzigo yaani mwenye container aende ofisi za city kujulisha kwamba container yao inatoka na akafanye malipo ya contena kuingia mjini kabla ya container kuingia na isipofanyiwa hivo kuna...
  11. wakunyonya

    JamiiForums Tanzania Kumbe, kupaki Bodaboda kijiweni lazima utoe malipo?

    Aise! Maisha siyo lelemama! Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na mijadala ya bei za kupaki bodaboda katika vijiwe mbalimbali, kwa Dar na mikoani. Kilichonishangaza, mfano kwa Dar, vijiwe vingi kuanzia Laki Tano na kuendelea. Ili upake boda yako kijiweni, mfano stendi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kuna mazingira ya ukiukwaji wa taratibu za udahili kwa Shule ya Nyanza English Medium (Mwanza)

    Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na Shule ya Nyanza English Medium kwa Mwaka wa masomo 2026, hususan kwa Madarasa ya awali na Darasa la Kwanza. Awali, uongozi wa shule hiyo ya Serikali ambayo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Walimu wa UDOM wanafelisha Wanafunzi makusudi!

    Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe. Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa. Tunaiomba Serikali iingilie kati ili suala jamani. Ikiwa litaendelea kufumbiwa macho ni uhakika kuna...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufanya Malipo BRELA

    Habari mjasiriamali, Nimepata casesara 3 watu wanalipia applications zao Brela halafu wakirudi kwenye system inaonekana application haijalipiwa. Leo nimekuandalia njia nne za kufanya malipo Brela kwa usahihi 1. Lipia kwa simu Mtandao wowote unaotumia chagua malipo ya serikali na uingize...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maisha ni maisha ndugu zangu, yani utachapika na maisha ukishakuwa mnyonge wa mtu, hakuna cha karma wala malipo, malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa

    Life is a bxxch and then you die.
  16. E

    JamiiForums Tanzania Wizara ya itoe muongozo kama huduma kwa wamama wajawazito ni bure au ni malipo

    Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu. Hivi huduma ya kujifungua ni bure au? kwani nimepeleka mke wangu kujifungua kwa bahati mbaya hakufanikiwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya uandikishaji yafanyike mgonjwa akiwa kitandani anaendelea kupata huduma.
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanahabari IKULU mtendeeni haki Rais Samia, hata kama hampendi, si anawalipa vizuri?

    Ninatambua elimu UNGA UNGA mlizo nazo wanahabari mliopo IKULU, Natambua wanahabari na elimu zenu UNGA ungamliopo kwenye mawizara mbalimbali ndio Maana Gereshoni aliisha wataka mseme yanayofanywa na mawaziri lakini hamsemi, hii ni inshara hamuwapendi mawaziri wenu ndio maana hamasemi...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Morogoro Plot for sale 45M (negotiable) Malipo kwa awamu

    nauza plot yangu morogoro mjini lukobe. ilikuwa site ya ufugaji ina buildings sita including mabanda. Ukubwa wa plot ni 60×25 M². Malipo ni kwa awamu! nahitaji watu serious tu tafadhali. DM me whatsapp or piga 0762098871
Back
Top Bottom