malipo

  1. Kanali_

    JamiiForums Tanzania MALIPO VING'AMUZI VYA CANAL PLUS

    📺 Una King'amuzi cha CANAL+ na hujui wapi pa kulipia? Usiwe na wasiwasi! ONE TECH tupo kwa ajili yako 💪 Tunatoa huduma zote zinazohusiana na CANAL+ ikiwemo: ✅ Kuuza dekoda mpya ✅ Kulipia vifurushi kwa urahisi ✅ Ushauri na msaada wa kiufundi 🎉 Kwa Tsh 47,000 au 51,000 tu, unaweza kulipia...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Tuambieni ukweli, mmejiapisha pamoja na matatizo mengine ya vijana kuuawa ila Mungu wangu husema malipo ni hapahapa Duniani

    Wakuu kwema nilisema na tulisema, ila malipo ni hapahapa Duniani. Naomba toa ujumbe wa njozi yangu juzi kuamukia jana . Na naomba wenye kutafasiri ndoto wanisaidie tafasiri, ningeitoa mapema ila sasa Internet ilifungwa. Nikajikuta kwenye chumba kimoja , ila chumba kile kilikuwa na hekakeka ...
  3. miminimama

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Habari wanajukwaa. Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas. Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket ya ndege kupitia kampuni ya uwakala ya ndege. Baada ya kutengeneza hiyo kadi nikafanya malipo, hela...
  4. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC, TCB Wazindua kadi ya malipo ya tiketi usafiri wa SGR

    Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO DED wa Rorya tusaidie Watumishi wa Elimu Msingi tulipwe malipo yetu ya likizo

    Mimi ni mdau wa JamiiForums.com nina kero ambayo naomba ujumbe ufike kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya pamoja na ofisini yake kwa jumla. Sisi Watumishi katika ngazi Elimu Msingi hatujalipwa fedha yetu ya likizo tangu Desemba 2024, licha ya kuwa tulijaza fomu ya malipo...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Zuchu alalamikia kutolipwa Malipo yote tamasha la CHAN 2024

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameibuka hadharani kulalamikia waandaaji wa Tamasha la CHAN 2025 kwa kushindwa kumlipa malipo kamili ya onyesho alilofanya jijini Nairobi, Agosti 30, 2025. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu amesema licha ya kutoa burudani bora kwa mujibu wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo ya Paypal kwenye software ya Gavana

    Wakuu bila salamu ningependa kuuliza/kuomba msaada wa maelekezo najua kwatanzania paypal inazingua kutoa hela ila sina uhakika ikiwa kama inazingua kwenye kuweka. swali langu ni kwamba je nawezaje kulipia program ya gavana kwa kutumia paypal na je inawezekana kuweka voda visa bila shida kwenye...
  9. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Njia hizi za malipo tunalipaje

    Wakuu Hapa tunafanyaje ili kulipia hapo kwa njia hizi?
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa kuna mwaka Gwajima alimtusi Mkatoliki Kadinali Pengo

    Watanzania na Wakatoliki hawawezi kusahau kipindi Gwajima anamtolea maneno machafu Askofu Kadinali Polycarp Pengo. Kipindi hiko ilikuwa ni attack kubwa kwa Wakatoliki na kutaka kuonesha kuwa sio lolote sio chochote. Uzuri Pengo Hakumjibu na wakatoliki hawakumjibu. Leo hii Gwajima anaipigia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa kodi

    Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa wapi? Kodi za TRA Kukwepwa, usalama kuwaogopa na kukwepa kodi kutawasaidia bei ya vitu vyao kuwa chini na kuwafanya wapate pesa zaidi
  12. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa malipoa wa serikalini uboreshwe

    Habari wanajamvi! Utaratibu wa ulipaji serikalini wa fedha zote huanza na maombi ya fedha kwa jambo linalokusudiwa mfano manunuzi au posho na haya maombi ya fedha kwa namna nyingine huitwa dokezo. Maombi yote huenda sambamba na vielelezo (viambata) vinavyohalalisha uwepo wa maombi hayo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania jerry spare parts and services yaja na zawadi ya ukaguzi wa gari bila malipo kwa wateja waliowahi kupata huduma kwetu!

    Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote! Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
  14. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Jerry Spare Parts Wawazawadia Wateja Wao – Njoo Upate Engine Check na free car inspection Bila Malipo!

    Habari ndugu wanajamii, Katika kuhakikisha huduma bora na kuendeleza mahusiano na wateja wetu waaminifu, Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwajulisha kuhusu ofa maalum kwa wateja wote waliowahi kupata huduma kutoka kwetu! 📢 Ndiyo! Tunatoa Free Car Inspection na Engine Diagnosis bila...
  15. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Hitman na snipers(assassins) kule dark web malipo yao hutegemea nini haswa?

    Naomba wale ambao wanauzoefu au wana taarifa juu ya utendaji kazi wa hawa watu ambao hufanya mauaji kwa kulipwa kama wana taarifa watujuze hapa.
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watanzania hawapendelei Malipo kwa njia ya mtandao?

    GT Jambo moja ambalo huwa linanishangaza kwa watanzania ni kupenda kutumia cash katika manunuzi mbalimbali ya vitu. Faida za online transactions ni kama hizi hapa. 1. Kurahisa ukusanyaji waa kodi Kwa njia ya cash ni mtihani mzito maanake mpaka mfanya biashara awe mwamimifu kwa TRA.Lakkni pia...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded NIDA: Kitambulisho kikifutika kilete Mkandarasi atakichapisha upya bila malipo

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika "Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa kipindi hiki vinapoteza maandishi kwa muda mfupi tangu vitolewe...
  18. Griss

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwanini yanafanyika malipo yasiyoeleweka?

    Kwanini mwezi huu, mwaka huu pesa za serikali zinalipwa mabilion kwa mabilioni? Kuna Nini? BOT imetekwa na hazina watu wanalipa malipo mengi hewa TISS kitengo Cha fedha chafu mmelala? Nchi inaibiwa nchi inaporwa naona waporaji wanakausha Kama walivyofanya baada ya Magufuli kufariki...
  19. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo na serikali,je haya malipo ya shilingi 20,000/= ni sahihi ili kupata namba ya utambulisho wa makazi (NaPa) ?

    Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa. Binafsi nakubaliana na huu...
  20. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa TCRA kulazimisha (apple na google) waruhusu malipo nje ya app store (Marekani wameweza)

    Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania tuna njia zetu bora sana za malipo za mitandao ya simu, ni muda mwafaka sasa wa TCRA kufikiria hili...
Back
Top Bottom