mali

Mali ( (listen); French pronunciation: [mali]), officially the Republic of Mali (French: République du Mali; Bambara: Mali ka Fasojamana; N'Ko script: ߡߊߟߌ ߞߊ ߝߊߛߏߖߊߡߊߣߊ), is a landlocked country in West Africa. Mali is the eighth-largest country in Africa, with an area of just over 1,240,000 square kilometres (480,000 sq mi). The population of Mali is 19.1 million. 67% of its population was estimated to be under the age of 25 in 2017. Its capital is Bamako. The sovereign state of Mali consists of eight regions and its borders on the north reach deep into the middle of the Sahara Desert, while the country's southern part, where the majority of inhabitants live, features the Niger and Senegal rivers. The country's economy centers on agriculture and mining. Some of Mali's prominent natural resources include gold, being the third largest producer of gold in the African continent, and salt.Present-day Mali was once part of three West African empires that controlled trans-Saharan trade: the Ghana Empire (for which Ghana is named), the Mali Empire (for which Mali is named), and the Songhai Empire. During its golden age, there was a flourishing of mathematics, astronomy, literature, and art. At its peak in 1300, the Mali Empire covered an area about twice the size of modern-day France and stretched to the west coast of Africa. In the late 19th century, during the Scramble for Africa, France seized control of Mali, making it a part of French Sudan. French Sudan (then known as the Sudanese Republic) joined with Senegal in 1959, achieving independence in 1960 as the Mali Federation. Shortly thereafter, following Senegal's withdrawal from the federation, the Sudanese Republic declared itself the independent Republic of Mali. After a long period of one-party rule, a coup in 1991 led to the writing of a new constitution and the establishment of Mali as a democratic, multi-party state.
In January 2012, an armed conflict broke out in northern Mali, in which Tuareg rebels took control of a territory in the north, and in April declared the secession of a new state, Azawad. The conflict was complicated by a military coup that took place in March and later fighting between Tuareg and other rebel factions. In response to territorial gains, the French military launched Opération Serval in January 2013. A month later, Malian and French forces recaptured most of the north. Presidential elections were held on 28 July 2013, with a second-round run-off held on 11 August, and legislative elections were held on 24 November and 15 December 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Sasa ni rasmi: Elie Mpanzu Kibisawala ni mali ya Dar es Salaam Young Africans

    Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
  2. KULINDA MALI ZA FAMILIA ZIISHI MIAKA 200

    MALI HAZITAUZWA WALA KUKOPEWA BENKI BALI ZITAKODISHWA AMA KUPANGISHWA TU KWA MIAKA 200 WARITHI (WANUFAIKA ) WATALIPWA KODI TU KILA MWEZI/MWAKA KWA MIAKA 200 ⸻ 🏛️ FAMILY TRUST YA KIZAZI HADI KIZAZI (MIAKA 200) Jina la Trust: FAMILY INCOME TRUST Mwanzilishi: - Muda: Miaka 200 Lengo: Kulinda...
  3. Mali yafikia mkataba wa kibiashara na Urusi

    Mali na Urusi zimetia saini mikataba inayolenga kupanua ushirikiano wa biashara ya pande zote mbili na kuimarisha uhusiano wa kiuchumi. Makubaliano hayo ni pamoja na ahadi ya ushirikiano kuhusu nishati ya nyuklia, kulingana na maelezo yaliyotolewa na Kremlin. Tangazo la mikataba hiyo lilikuja...
  4. H

    Ni wakati sasa wanaharakati kufungua kesi dhidi ya serikali juu ya kukamata mali zake kwa utekelezaji wa hukumu

    Habarini, Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani. Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi. Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
  5. Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya FIFA.mpira ni mali ya FIFA sio serikali

    Kila alichofanya au anachofanya mwamba Karia kina baraka za Fifa, Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya wenye mpira wao. Mpira ni mali ya nani? Wa kumtoa Karia ni Fifa only guys wake up
  6. R

    Dkt. Wilbrod Slaa: Utekaji wote unaondelea nchini ni sheria ya idara ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2024

    Anaandika: Dr. Wilbrod Slaa Msingi wa vitendo vyote vya utekaji unaoendelea nchini ni Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) ya mwaka 2024. Bila kurekebisha sheria hii, Watanzania wataendelea kutekwa, kupotezwa na kudhulumiwa hadi tutoweke kabisa kama taifa huru. Sheria hiyo imeipa TIS...
  7. E

    Kanisa la Gwajima ladai Polisi wameshikilia mali zao bila makabidhiano

    Mkuu wa Utawala na Fedha wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church - Ufufuo na Uzima, Askofu Baraka Thomas Tege amedai kuwa, tangu kanisa hilo lilipofungwa Juni 2, 2025 na hatimaye majengo ya yao kulindwa na Jeshi la Polisi nchi nzima, hakujawa na makabidhiano yoyote ya mali zikiwamo fedha za...
  8. CHADEMA hata wakuchukua mali zote, haiwezi kufa. Watakufa wao

    Serikali ya ccm wanapanga kupiga mnada mali za chadema ili mnunuzi kikaragosi chauma azinunue kwa bei ya bure. Mbowe, salimu mwalimu, yule zonal director lake zone etc ndio drivers wa hili. Ni kwamba chadema haiwezi kufa kwa kunyanganywa ofisi au magari, chadema itakufa siku ikiacha kuamini...
  9. Zingatia suala la ulinzi wa mali zako unapojenga hivi ni baadhi ya siri za ulinzi kama unajenga

    Ujenzi wa sasa hauishii tu kwenye muundo wa nyumba bali unapaswa kuzingatia ulinzi na usalama wa mali zako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha nyumba yako iko salama: 🔹 Mambo Muhimu ya Ulinzi na Usalama ✅ Ufungaji wa Milango na Madirisha Imara Tumia milango ya chuma au yenye...
  10. W

    Ni hatua zipi za kuchukua kupunguza upotevu wa mali kwa mzazi mwenye mashamba na nyumba nyingi lakini hashirikishi mke wala watoto ?

    Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k. Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali, Mali mnazijua kupitia watu...
  11. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  12. Unatunza mali zako wapi ndani ya nyumba yako? Njoo tukufundishe sehem salama

    Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako Na pia kuna chumba unaweza kutuambia tukakudesizainia kinakuwa hakionekan pande zote weka mali zako usiklili kila...
  13. Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara . Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina. Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
  14. Mtandao X ni mali ya USA kama mali nyingine

    Kupangiwa mada kama kuwa wapingia wengine ni pesa tu ilivyo nchi za wa kuungwa mkono. Mbona mada kama hizi mfungi au kuna posho CCM. Kuna redio Kenya kuhusu hata udukuzi kuwa nywira una majina ya kisanii mfano Diamond na Zuchu au Samia mada mnafuta au kuwa utawala wa CCM. Kuna siku niliwahi...
  15. Njombe: Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake 19 wajivua uanachama. Wasema lazima wagawane mali na majengo ya chama!

    Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo. Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke Sisi team Mbowe tunasubiri...
  16. Q

    Ni kweli CHADEMA ilikuwa Sacos na mali ya Mbowe?

    Kuna siku Musukuma alitishia kuweka wazi miamala ya fedha toka CCM kwenda kwa Mbowe ili aendeshe chama tukadharau. Mchungaji Msigwa, aliwahi kusema 'Chadema sio taasisi ni mali ya Mbowe' ni biashara ya familia, tukadharau. Kuna baadhi ya wana CCM walikuwa wakisema Chadema ni Sacos...
  17. Tuwaheshimu sana watu wanaokesha nje kulinda usalama wetu na mali zetu.

    Niko njombe kwenye mishe zangu. Baridi ikiyoko hapa sio ya kitoto. Nimepita muda si mrefu hapo karibu na soko kuu nimewaona walinzi hapo sokoni wako lindo, wamewasha moto wanaota.police nao wako doria kama kawaida Nimetafakari sana ,kwa jinsi hii Baridi inavyopiga hapa halafu hawa watu wao wako...
  18. Try Again atuliza taharuki kuhusu Mpanzu, adai Mpanzu ni mali halali ya Simba na alisaini Miaka Miwili ofisini kwake

    Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene maarufu 'Try Again' ameeleza yanayoendelea kuhusu Elie Mpanzu kuwa yupo Klabuni humo kwa mkopo. "Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa Simba alisaini mkataba wa miaka miwili tena alisaini ofisini kwangu sasa yanayoendelea kwasasa ni...
  19. V

    Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja. -Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7 Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na...
  20. Kibu ni mali

    Ni basi wachambuzi hawajampa spotlight kwa sababu wanazozijua wao ila huyu mshikaji ni mali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…