mali

Mali ( (listen); French pronunciation: [mali]), officially the Republic of Mali (French: République du Mali; Bambara: Mali ka Fasojamana; N'Ko script: ߡߊߟߌ ߞߊ ߝߊߛߏߖߊߡߊߣߊ), is a landlocked country in West Africa. Mali is the eighth-largest country in Africa, with an area of just over 1,240,000 square kilometres (480,000 sq mi). The population of Mali is 19.1 million. 67% of its population was estimated to be under the age of 25 in 2017. Its capital is Bamako. The sovereign state of Mali consists of eight regions and its borders on the north reach deep into the middle of the Sahara Desert, while the country's southern part, where the majority of inhabitants live, features the Niger and Senegal rivers. The country's economy centers on agriculture and mining. Some of Mali's prominent natural resources include gold, being the third largest producer of gold in the African continent, and salt.Present-day Mali was once part of three West African empires that controlled trans-Saharan trade: the Ghana Empire (for which Ghana is named), the Mali Empire (for which Mali is named), and the Songhai Empire. During its golden age, there was a flourishing of mathematics, astronomy, literature, and art. At its peak in 1300, the Mali Empire covered an area about twice the size of modern-day France and stretched to the west coast of Africa. In the late 19th century, during the Scramble for Africa, France seized control of Mali, making it a part of French Sudan. French Sudan (then known as the Sudanese Republic) joined with Senegal in 1959, achieving independence in 1960 as the Mali Federation. Shortly thereafter, following Senegal's withdrawal from the federation, the Sudanese Republic declared itself the independent Republic of Mali. After a long period of one-party rule, a coup in 1991 led to the writing of a new constitution and the establishment of Mali as a democratic, multi-party state.
In January 2012, an armed conflict broke out in northern Mali, in which Tuareg rebels took control of a territory in the north, and in April declared the secession of a new state, Azawad. The conflict was complicated by a military coup that took place in March and later fighting between Tuareg and other rebel factions. In response to territorial gains, the French military launched Opération Serval in January 2013. A month later, Malian and French forces recaptured most of the north. Presidential elections were held on 28 July 2013, with a second-round run-off held on 11 August, and legislative elections were held on 24 November and 15 December 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kujihisi kama umechoka kuishi

    Habari, Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where. Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
  2. JamiiForums Tanzania Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

    Kuuza lango la uchumi wa nchi au kutafuta wanahisa ni usariti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi: Bandari ni mali za watanzania wote hatuna wanahisa (shareholders) na hatuhitaji wanahisa. Waraka wa wazi kwa waheshimiwa wabunge Nakala kwa waheshimiwa viongozi wa dini Nakala kwa taasisi ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania "Ni bora ukose Mali lakini upate Akili”. Huu usemi kwa Tanzania ni kweli au Shida ni CCM?

    Akili ni kile kinachobakia baada ya kutoa vyote ambavyo umejifunza darasani, na hiki ndio huwa kinakuwa kipimo cha uwezo wa kufikiri. Haishangazi sana kukuta mtu wa darasa la saba na prof likatokea jambo wote wakawaza sawa na kutoa suluhu moja maana yake akili ziko sawa ingawa mmoja ni prof...
  4. JamiiForums Tanzania Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

    This is very serious! Juzi walitangaza kupiga Mnada shule ya Secondary Lwandai, hii ni shule yenye historia kubwa saaana, ni shule ambayo wakongwe wazee wetu walisoma miaka hio ya Ukoloni. Leo nimeona Tena Tangazo, Tarehe 16 June 2023 watapiga Mnada Chuo, hiki chuo kinahistoria, hii kabla ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Habari za weekend, Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae. Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa. Ilikuwa hivi. Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

    Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika? Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba, Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo? Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje...
  7. JamiiForums Tanzania Kuishi Geita na Mara ni hatari kwa usalama wako na mali zako

    Hiii mikoa ni kama imelaaniwa kila kukicha utasikia Mauaji Geita Mauaji Mara imekua kama wimbo sasa. Kuna muda nafikiria kwanini tusiifute hii mikoa tuifanye misitu watu waneuliwa, watu wamevamiwa biashara zao. Polisi wapo ila wapo busy kula rushwa na kuchora ramani na majambazi. Kuishi Mara na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukipata ajira kijijini furahi

    Ni ndoto yakila mtu kuwa na mahali ambapo patampatia ujira ambao utaweza kuyamudu maisha yake, mara nyingi tunapozungumzia neno ajira huwa tunazungumzia watu waliopata elimu juu ya jambo fulani inaweza kuwa ni udaktari, Ualimu, Uanajeshi na taaluma nyinginezo ijapo ajira huwa zinalenga watu wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je watanzania tunahitaji nini? tunafikiria na kuwaza nini? nini hatma ya nchi yetu kama mali tunazo, ardhi tunayo, je ni lini tutaondoka na kero.

    Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Israel Adesanya: Girlfriend adai nusu ya mali kwa kukaa muda mrefu kwenye mahusiano

    Aliyekuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte Powdrell amemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano. Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika...
  11. JamiiForums Tanzania TBS CERTIFICATE: Yakazi gani dukani wakati duka sio kiwanda au mali ya kiwanda.

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wanakwepa kusajili stoo zao? Taarifa zinasema wamejaza mali za magendo baada ya kuziingiza nchini isivyo halali

    Wafanyabiashara wengi wanaingiza mizigo kwa njia ya magendo, wanazitunza stoo. Wanaweza kupitishia bandarini, njia zisizo rasmi za mipakani, au kwa majahazi. Hawalipi Kodi. Sasa serikali imeamua kusajili stoo wanazotunzia ili waweze kujua zilipo, wakague na waonyeshwe risiti za jinsi mzigo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

    Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani. Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na...
  14. JamiiForums Tanzania Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani?

    Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani? Kwanini huwa vinafuatiliwa?
  15. JamiiForums Tanzania Mnyeti: Tanga Cement irudi kuwa Mali ya Serikali

    ALEXANDER MNYETI ATAKA TANGA CEMENT IRUDI KUWA MALI YA SERIKALINI Mbunge wa Jimbo la Misungwi Mhe. Alexander Pastory Mnyeti tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishw akwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Mali asili na Utalii, Bodi ya Utalii na Mabalozi wetu pokeeni ujumbe toka tour guide Saimon Sirikwa

    Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu Kwanza, serikali haijawatumia kabisa hili kundi la hawa watu wanaokutana na watalii moja kwa moja na...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

    Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge. Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  19. JamiiForums Tanzania SWALI: "Ni akina nani" watakuwa na ujasiri wa kununua mali za Musiba hali wakijua mali hizo zilikopatikana na namna zilivyo patikana?

    Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
  20. JamiiForums Tanzania Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi

    Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi kwa kuwapora mali zao. Jeshi la polisi tunaomba mkafanye kazi yenu Vingunguti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…