malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Vien

    Malezi magumu ya utotoni ndiyo yaliyonijenga kuwa mtu wa kanuni na utaratibu mpaka leo

    Mimi ni Mchaga kwa asili, japo nilizaliwa Same na kukulia kijiji cha Same. Nimekulia kwenye familia ya kawaida sana ya wakulima na wafugaji. Utoto wangu haukuwa wa anasa wala uhuru mkubwa kama watoto wengi wa sasa. Maisha yetu yalijengwa kwenye kanuni, utaratibu na nidhamu kali sana. Mtu...
  2. Brayan_Jk

    Kuacha Mkaa na kutumia Taa za Joto kwenye malezi ya Vifaranga : Uamuzi uliobadilisha ufugaji wangu

    Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha. Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
  3. ERTUGRUL BEY

    Mzazi wewe ndio unayekuza kijana shapu au goi goi

    My people, Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani. Mtoto anapomaliza kula na kisha mzazi ukamuondolea sahani yake,hii inamjenga mtoto akilini kwake kwamba kuna mtu...
  4. Fascinating

    Maswali Tisa Yanayopaswa Kujibiwa Kabla ya Kuamua Kuitwa Baba au Mama

    Habari za wakati huu wakuu, Mara nyingi tunasherehekea "ujauzito" na "kujifungua," lakini tunasahau kuwa kuitwa mzazi ni mkataba wa maisha yote ambao hauna likizo. Uzazi bora hauanzi wodini; unaanza kichwani na moyoni mwa mzazi kabla hata mtoto hajatungwa. Kama unafikiria kuingia kwenye hatua...
  5. Jamiitrailer

    Mwambieni Robert Hariel Mtibeli kusema kwamba malezi mabovu ndiyo chanzo cha matatizo yetu na siyo CCM ni tusi kwa Watanzania

    Kiufupi,mwenye ID Robert Hariel Mtibeli kasema ni propaganda kusema kwamba matatizo tuliyonayo Tanzania hayatokani na CCM bali yanatokana na malezi na ukoloni mambo leo. Kusema kwake huko ni jaribio la wazi la kuitengenezea CCM kivuli cha kujificha kwa kukosa kuwajibika kwa wananchi...
  6. Moto wa volcano

    Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

    Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
  7. stakehigh

    Ni kwel ndoa ina changamoto lakini usikubali mtoto wako apewe malezi na baba mwingine! Unless hazipo

    KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda mtoto wako kwel na unataka apitie katika mema ya maisha basi hakikisha uyo mtoto unamlea wewe na mama...
  8. stakehigh

    Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  9. Oscar Wissa

    Wahenga Wafikiri Upya Kuhusu Malezi

    Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa na butwaa.
  10. Damaso

    Big Yes ama Big No

    Huyu single mama amezidi sasa ni muda atafute bwana. Hii ni form ya child abuse na sexually abuse tu. Hii sio kazi wala jukumu la kijana wako. Loh bora hizo zingine hii ya fan big NO.
  11. fact only

    Marekani sio sehemu sahihi zaidi Kwa malezi

    Habari wakuu. Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a Terrible/Awful/Terrifying/Horrible Behavior. Further more hata baadhi ya watoto wao wa huko nao ni vile vile mfano watoto wa Will...
  12. Bacteriophage

    Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  13. H

    Ujumbe wa kuhamasisha maadili mema na malezi bora katika jamii

    Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kimaadili, ni wajibu wa kila mzazi, mlezi na taasisi kuhakikisha watoto na vijana wetu wanalelewa katika msingi wa maadili mema, heshima, utu, na uwajibikaji. ✅ Maadili mema ni nguzo ya maendeleo ya jamii yoyote. Jamii isiyo na maadili hudhoofika...
  14. Ojuolegbha

    Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto

    Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto
  15. c_alphonce

    Malezi ya watoto

    Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha juu cha ubongo Cortex hujifunga katika mazingira ambayo mtoto anawasiwasi na hasira. Kwa hiyo katika hali hiyo hawezi kuelewa Chochote; mtoto hujifunza vema katika nyakati walimu na wazazi wamejenga mazingira rafiki na salama...
  16. Tanganian

    Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  17. Donatila

    Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu... Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama... Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao...
  18. Kazanazo

    Hivi jamii ya sasa ya Tanzania kuna watu wana maadili, malezi bora, Imani na lugha za staha?

    Maadili ni neno pana ila linaloeleweka kiasi kwamba ukizungumza kuhusu maadili kikawaida mtu atafikiria moja kwa moja matendo mema Katika jamii ya sasa ya kitanzania sijui kama kuna watu wema wenye matendo mema, lugha za staha, malezi bora na mavazi ya heshima kama wapo ni asilimia chache sana...
  19. Fbn

    Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  20. Binti wa zamani

    Wanaume na wazazi wenye watoto wa kiume, hii imeshawahi kuwatokea?

    Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje? Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na...
Back
Top Bottom