Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,074
- 34,844
Huo ni wa mhugo mkuu 😂 😂Ugali wao tepetepe stiff porridge mboga mlenda Pori unateleza tu
Ndio hivyo Ugali wa waCongo ni km wanaijeria Ugali uji hawalagi Ugali mgumu km watzHuo ni wa mhugo mkuu 😂 😂
Tena sio kumeza anabugia
Bora umenisaidia nimekaa nao hao pia ugali wanakula hivyo hivyo mara yangu ya kwanza nilishangazwa sana.Kiukweli ndivyo wakongo wengi walavyo ugali...nimeishi nao