malawi

Malawi (, or ; Chichewa: [maláβi] or [maláwi]), officially the Republic of Malawi, is a landlocked country in Southeast Africa that was formerly known as Nyasaland. It is bordered by Zambia to the west, Tanzania to the north and northeast, and Mozambique surrounding on the east, south and southwest. Malawi spans over 118,484 km2 (45,747 sq mi) and has an estimated population of 18,143,217 (as of July 2018). Lake Malawi takes up about a third of Malawi's area. Its capital is Lilongwe, which is also Malawi's largest city; the second largest is Blantyre, the third largest is Mzuzu and the fourth largest is its old capital Zomba. The name Malawi comes from the Maravi, an old name of the Nyanja people that inhabit the area. The country is nicknamed "The Warm Heart of Africa" because of the friendliness of the people.The part of Africa now known as Malawi was settled by migrating Bantu groups around the 10th century. Centuries later in 1891 the area was colonised by the British. In 1953 Malawi, then known as Nyasaland, a protectorate of the United Kingdom, became a protectorate within the semi-independent Federation of Rhodesia and Nyasaland. The Federation was dissolved in 1963. In 1964 the protectorate over Nyasaland was ended and Nyasaland became an independent country under Queen Elizabeth II with the new name Malawi. Two years later it became a republic. Upon gaining independence it became a totalitarian one-party state under the presidency of Hastings Banda, who remained president until 1994. Malawi now has a democratic, multi-party government headed by an elected president, currently Peter Mutharika. The country has a Malawian Defence Force that includes an army, a navy and an air wing. Malawi's foreign policy is pro-Western and includes positive diplomatic relations with most countries and participation in several international organisations, including the United Nations, the Commonwealth of Nations, the Southern African Development Community (SADC), the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA), and the African Union (AU).
Malawi is among the world's least-developed countries. The economy is heavily based in agriculture, with a largely rural population that is growing at a rapid rate. The Malawian government depends heavily on outside aid to meet development needs, although this need (and the aid offered) has decreased since 2000. The Malawian government faces challenges in building and expanding the economy, improving education, healthcare, environmental protection, and becoming financially independent amidst widespread unemployment. Since 2005, Malawi has developed several programs that focus on these issues, and the country's outlook appears to be improving, with a rise in the economy, education and healthcare seen in 2007 and 2008.
Malawi has a low life expectancy and high infant mortality. There is a high prevalence of HIV/AIDS, which is a drain on the labour force and government expenditures. There is a diverse population of native peoples, Asians and Europeans, with several languages spoken and an array of religious beliefs. Although there was periodic regional conflict fuelled in part by ethnic divisions in the past, by 2008 it had diminished considerably and the concept of a Malawian nationality had reemerged.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Malawi: Serikali yafungia vituo vitatu vya TV na 6 vya radio

    Serikali ya Malawi imevifungia vituo vitatu vya Televisheni na sita vya radio kutokana na kutolipa ada ya mwaka ya leseni, ambapo pia zoezi linatarajiwa kuendelea kwa kufungia leseni za vyombo vya habari 30 kufikia mwisho wa 2022. Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari kwa Kusini mwa Afrika...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 44 wafariki kwa Kipindupindu Malawi

    Wizara ya Afya nchini Malawi imesema hadi kufikia Agosti 16, 2022 Watu 44 walifariki dunia kutokana na Ugonjwa wa #Kipindupindu huku maambukizi yakifikia watu 1,073. Licha ya kampeni ya Chanjo ya nchi nzima iliyoanza mwezi Mei bado maambukizi yamezidi kuongezeka kufikia wilaya 10 kutoka nane...
  3. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Nyasa Big Bullet CAF statistcs (Timu itakayocheza na Simba toka Malawi)

    Hii hapa chini ni rekodi ya timu itayayocheza na simba. Naomba tujadiliane vizuri kwa taarifa za uhakika. Tuache michambo na matusi yasiyo na tija.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mahafali ya Wahitimu wa Usalama wa nchini 'Northern Malawi' huwa hayatangazwi wala hatuonyeshwi kama yale ya Chuoni Lindumo?

    Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa 'Northern Malawi' tunawakumbusha waliosahau kuwa zile 'Ndege' zingine Mbili zilizokuwa ziwasili mapema mwaka huu mbona hazijatua bado?

    Wengine kama akina GENTAMYCINE tuna Udhaifu Mmoja mkubwa wa Kukariri Jambo na Kutosahau Milele hivyo tunakumbusha tu ujio wa Ndege zetu zingine Mbili Kubwa za Air Northern Malawi. Halafu tunawaombeni kama ambavyo huwa mnapenda Kukurupuka kwa kutafuta Sifa Kwetu Wananchi wa Northern Malawi juu...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Malawi: Waandamana kupinga mfumo wa Mahakama, 76 wakamatwa

    Jeshi la Polisi Nchini Malawi limewakamata watu 76 waliokuwa sehemu ya maandamano ya Wananchi Jijini Lilongwe wanaopinga mfumo wa uendeshaji kesi wa Mahakama kuwa taratibu katika kutoa haki, rushwa na kupanda kwa gharama za maisha. Askari waliwarushia mabomu ya machozi waandamanaji ambao...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Malawi: Rais Chakwera amvua Mamlaka Makamu wake kwa kashfa ya ufisadi wa Tsh. bilioni 349

    Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua Makamu wake Saulos Chilima mamlaka yote aliyokabidhiwa baada ya Makamu huyo kutajwa katika kashfa ya ufisadi ya Dola za Marekani Milioni 150 sawa na Tsh. 349,499,992,650 iliyohusiana na kandarasi za serikali 16 zilizohusisha kampuni zake 5. Ripoti ya...
  8. ward41

    JamiiForums Tanzania Sikujua Malawi wana uawanja mzuri hivi!

    Unaitwa bingus national stadium. Misri alikufa mbili bila hapa na Ethiopia afcon wiki kama mbili zilizopita
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi aghairi safari za nje kubana matumizi

    Serikali ya Malawi itaokoa TZS milioni 608.13 kutokana na kufutwa kwa safari mbili za Rais Lazarus Chakwera kama sehemu ya hatua za serikali za kubana matumizi. Rais Lazarus hatahudhuria mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola mjini Kigali, Rwanda, na Kongamano la Maendeleo ya Mfuko...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Malawi vyajiwinda kumsubiri balozi Polepole aanze kusakata sebene, vimuandike, viuze magazeti

    Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Raia wa Malawi walalamika kufanyiwa unyama Tanzania

    20 May 2022 Dar es Salaam, Tanzania Kufuatia mfululizo wa vitendo vya kikatili dhidi yao, raia wa Malawi walalamika juu ya baadhi ya waTanzania kuwafanyia ukatili ukiwemo mfululizo wa mauaji. Wakielezea kwa uchungu kuwa sasa sifa ya waTanzania inaanza kuchafuliwa na vitendo hivyo vinavyofanywa...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

    Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi Kukua kimwili Kukua kiakili Kukua kimwili na kiakili Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Polepole analipwa mshahara kama Balozi, lakini mpaka leo yuko Dodoma. Watanzania Malawi wanateseka

    Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
  14. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Yalitokea kwa Joyce Banda, Rais wa kwanza mwanamke nchini Malawi kuna la kujifunza

    Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo. Akaingia madarakani, akawa...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Umoja Party unakawia kwa sababu Polepole kahamia Malawi?

    sponsor wa chama Yuko ughaibuni, alitumia posho za ubunge kukianzisha, hajamaliza, kahamishwa, ubalozi milioni 5 kwa mwezi
  16. ward41

    JamiiForums Tanzania Rutile in Malawi

    Malawi discovers largest rutile mineral reserves in the world @ 1.8 billion tonnes. At present price, the wealth is 3 trillion USD. Kwa viongozi wa kiafrica bado nchi itateseka na umasikini
  17. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kuanzia chuo cha Diplomasia apigwe msasa then akutane na Rais kabla ya kutimkia Malawi

    “Mheshimiwa Balozi (Polepole) najua baada ya hapa watakuweka darasani kwanza pale Chuo cha Diplomasia utakapotoka pale kabla hujaenda Malawi nitakutana na wewe, kwa hiyo tutazungumza kwa kirefu” amesema Rais Samia Suluhu Hassan kwa kifupi akimuelekeza Polepole baada ya kuapishwa kuwa Balozi wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

    Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja? Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotegemea kusafiri kuelekea Malawi, ni lazima uwe umechanjwa dhidi ya UVIKO-19 na uonyeshe kithibitisho

    Nawakumbusha tu kwa wadau wowote mnaotegemea kusafiri kuelekea nchini Malawi kwamba nchi hiyo ina masharti makali dhidi ya UVIKO-19. Hakuna raia anayeruhusiwa kuingia nchini humo pasipo kuonyesha uthibitisho wa kuchanjwa dhidi ya virusi ya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19. Nawatakia...
  20. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kindamba...
Back
Top Bottom