Nyasa Big Bullet CAF statistcs (Timu itakayocheza na Simba toka Malawi)

Jesus Mlokozi

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
2,679
21,096
Hii hapa chini ni rekodi ya timu itayayocheza na simba.
Naomba tujadiliane vizuri kwa taarifa za uhakika. Tuache michambo na matusi yasiyo na tija.
Screenshot_20220809-201849.png
 
Coach wa timu hiyo ni Mzimbabwe

Callisto Pasuwa is a Zimbabwean soccer coach who is currently the head coach of the Malawian football Team Big Bullets FC.

He is also former coach of Dynamos Football Club. Pasuwa led Dynamos to four consecutive league titles as coach from 2011 to 2014 writing his own piece of history.
 
Hii hapa chini ni rekodi ya timu itayayocheza na simba.
Naomba tujadiliane vizuri kwa taarifa za uhakika. Tuache michambo na matusi yasiyo na tija.View attachment 2319398
Ni timu sio maarufu Sana.....but sio kigezo cha kuidharau .....nadhani kwa michuano ya CAF lazima kupambana mwanzo mwisho bila kuangalia unakutana na Nani

All in all uzoefu wa mashindano utaisaidia Simba ku perform vizuri.....

By.....mwananchi
Mchambuzi wa mchongo
 
Mimi ninachofurahia ni kwamba simba imefika hatua ambayo hatuziwazi tena timu yoyote kwenye hatua hii ya mtoano. Hapo simba naiona hatua za makundi ukiachana na factor zingine Kama uzembe wao n.k

Yanga wanawaza mlima walionao kwa al hilal matajiri hawa lakini Mimi na amini wangepangiwa na simba simba tusingewaza
 
Simba waingie kwa nidhamu ya kumheshimu mpinzani, wasiamini sana katika record za mpinzani wao kufeli kwenye CAF champion

Wakidhani ubovu wao wa miaka ya nyuma utakuwa na muendelezo mpaka saizi.

Yanga wamepata mteremko mno ila nao wasipokaza watakuja kupeana lawama na kutafuta mchawi.
 
Hii hapa chini ni rekodi ya timu itayayocheza na simba.
Naomba tujadiliane vizuri kwa taarifa za uhakika. Tuache michambo na matusi yasiyo na tija.View attachment 2319398
Hii timu huwa inafika mara nyingi sana Tanzania kucheza mechi za kirafiki na kwa kiasi fulani wanauzoefu na mazingira ya Tanzania.

Nimeangalia rekodi zao kwa mechi za kirafiki walizocheza hapa Tanzania angalau walipata goli isipokuwa mechi yao na Simba ya kirafiki ya 2020.

Hivyo siyo wa kuchukulia poa lakini pia rekodi yao ya hivi karibuni huwa wanashinda goli nyingi nyingi tu.
 
Back
Top Bottom