GWANGJU (1980) mpaka MALAWI (2025)

GWANGJU (1980) mpaka MALAWI (2025)

Girl Poet

Senior Member
Joined
Sep 5, 2025
Posts
130
Reaction score
320
Jana nilikua naangalia filamu moja ya Kikorea inaitwa A TAXI DRIVER (2017).

Niliamua kuitizama bila kujua plot yake, nikawa najichekea zangu tu maana ilianza kama light comedy.
1782421025529.jpg

Mara... taratibu story ikaanza kubadilika along with my mood 😵😮‍💨
Screenshot_20260626-030306.jpg

Screenshot_20260626-030323.jpg

Elements za kile kilichotokea Malawi Oct iliyopita zikaanza kujitokeza, from state power to protest suppression. Yani uhalisia wa filamu ambayo inaonyesha kilichotokea Gwangju, Korea mwaka 1980 ilikuwa inareflect patterns za matukio ya Malawi vilevile, kiasi kwamba unaweza sema ni copy & paste, with very few exceptions.

Hakuna mwananchi aliyekua salama!
Screenshot_20260625-174044.jpg

From military blockades, wanajeshi waliovaa kiraia kufanya patrol na kupiga wananchi, carfew, kuua wananchi wasiokua na silaha yoyote, gun shots left and right, media censorship, mabomu ya machozi, sehemu mbali mbali za mji kuchomwa moto, the government working extra hard to control the narrative na kuita ukweli rumours, kuita wanafunzi walioanzisha maandamano RADICALS & GANGSTARS, kusema watu waliokufa ni wachache, miili mingi ya watu waliojeruhiwa ama kuuwawa mitaani na hospital... the list goes on and on 😵
Screenshot_20260625-173650.jpg
Screenshot_20260625-173634.jpg
Screenshot_20260625-173707.jpg
Screenshot_20260625-174058.jpg
Screenshot_20260625-174326.jpg
Screenshot_20260625-180643.jpg
Screenshot_20260625-180706.jpg
Screenshot_20260625-181106.jpg
Screenshot_20260625-181113.jpg

Screenshot_20260625-181256.jpg
Screenshot_20260625-181307.jpg

Yani... the whole thing felt familiar in a very disturbing way 🫩

Nikaanza kukumbuka yale mafuriko ya picha na videos zilizosambaa kila mahali baada ya internet kujerejea nchini Malawi.

Bado nna recording kadhaa za RADIO MALAWI walivyokua wanaendelea na issue zao kama kawaida as if nothing was going on 😬
Screenshot_20260625-181249.jpg
Screenshot_20260625-181336.jpg
Screenshot_20260625-181425.jpg
Screenshot_20260625-181623.jpg
Screenshot_20260625-184008.jpg
Screenshot_20260625-184031.jpg
Screenshot_20260625-184034.jpg

1782433592271.jpg

Hapa nimebaki tu najiuliza, kilichotokea Malawi kilikua influenced na hii filamu au ni coincidence tu?? 🤔🤔

🙇🏾🙇🏾
 
Hao walikuwa hawachomi sheli za watu na kuiba mali ??
Maandamano ya oct 29 yalisindilizwa na uharamia mwingi sana, sifungamani na upande wowote kati ya serikali na waandamanaji , ila huenda waliokufa baadhi walikuwa vibaka na waporaji na wengine walikuwa wanania nzuri na maandamano.
 
Elements za kile kilichotokea Malawi Oct iliyopita zikaanza kujitokeza, from state power to protest suppression. Yani uhalisia wa filamu ambayo inaonyesha kilichotokea Gwangju, Korea mwaka 1980 ilikuwa inareflect patterns za matukio ya Malawi vilevile, kiasi kwamba unaweza sema ni copy & paste, with very few exceptions.
  • Wale wa D mbili, Tunaitafuta hii movie.
  • Kwa sasa sio Cuba tena, Ni Malawi.
 
Hao walikuwa hawachomi sheli za watu na kuiba mali ??
Maandamano ya oct 29 yalisindilizwa na uharamia mwingi sana, sifungamani na upande wowote kati ya serikali na waandamanaji , ila huenda waliokufa baadhi walikuwa vibaka na waporaji na wengine walikuwa wanania nzuri na maandamano.
...sehemu mbali mbali za mji kuchomwa moto,
Screenshot_20260625-174058.jpg
Screenshot_20260625-174137.jpg

Tukiachana na hilo, let's assume madai yako ya kwamba pengine baadhi ya waliouwawa walikua vibaka... kwahiyo swala la vyombo ya ulinzi kuua vibaka badala ya kuwakamata na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria ni jambo ambalo tunapaswa kulichukulia kwa wepesi??🤔
 
Hizo ni picha za AI, Nguvu iliyotumika ilistahili, waliingia watu kutoka nchi jilani, Kuna vijana walilipwa pesa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom