malawi

Malawi (, or ; Chichewa: [maláβi] or [maláwi]), officially the Republic of Malawi, is a landlocked country in Southeast Africa that was formerly known as Nyasaland. It is bordered by Zambia to the west, Tanzania to the north and northeast, and Mozambique surrounding on the east, south and southwest. Malawi spans over 118,484 km2 (45,747 sq mi) and has an estimated population of 18,143,217 (as of July 2018). Lake Malawi takes up about a third of Malawi's area. Its capital is Lilongwe, which is also Malawi's largest city; the second largest is Blantyre, the third largest is Mzuzu and the fourth largest is its old capital Zomba. The name Malawi comes from the Maravi, an old name of the Nyanja people that inhabit the area. The country is nicknamed "The Warm Heart of Africa" because of the friendliness of the people.The part of Africa now known as Malawi was settled by migrating Bantu groups around the 10th century. Centuries later in 1891 the area was colonised by the British. In 1953 Malawi, then known as Nyasaland, a protectorate of the United Kingdom, became a protectorate within the semi-independent Federation of Rhodesia and Nyasaland. The Federation was dissolved in 1963. In 1964 the protectorate over Nyasaland was ended and Nyasaland became an independent country under Queen Elizabeth II with the new name Malawi. Two years later it became a republic. Upon gaining independence it became a totalitarian one-party state under the presidency of Hastings Banda, who remained president until 1994. Malawi now has a democratic, multi-party government headed by an elected president, currently Peter Mutharika. The country has a Malawian Defence Force that includes an army, a navy and an air wing. Malawi's foreign policy is pro-Western and includes positive diplomatic relations with most countries and participation in several international organisations, including the United Nations, the Commonwealth of Nations, the Southern African Development Community (SADC), the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA), and the African Union (AU).
Malawi is among the world's least-developed countries. The economy is heavily based in agriculture, with a largely rural population that is growing at a rapid rate. The Malawian government depends heavily on outside aid to meet development needs, although this need (and the aid offered) has decreased since 2000. The Malawian government faces challenges in building and expanding the economy, improving education, healthcare, environmental protection, and becoming financially independent amidst widespread unemployment. Since 2005, Malawi has developed several programs that focus on these issues, and the country's outlook appears to be improving, with a rise in the economy, education and healthcare seen in 2007 and 2008.
Malawi has a low life expectancy and high infant mortality. There is a high prevalence of HIV/AIDS, which is a drain on the labour force and government expenditures. There is a diverse population of native peoples, Asians and Europeans, with several languages spoken and an array of religious beliefs. Although there was periodic regional conflict fuelled in part by ethnic divisions in the past, by 2008 it had diminished considerably and the concept of a Malawian nationality had reemerged.

View More On Wikipedia.org
  1. ZaraBae

    Malawi Election 2025: Mutharika Wins Landslide Comeback Amid Economic Crisis

    Former Malawi President Peter Mutharika secured a sweeping comeback victory in Tuesday’s presidential election, winning about 66% of the vote to defeat incumbent Lazarus Chakwera in a contest shaped by a deep economic crisis and widespread public discontent. The Malawi Election 2025 result...
  2. Sky Eclat

    Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

    Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha. Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
  3. Mhaya

    Kwa nini vifurushi vya Visimbuzi kama DSTV na AZAM nchini Tanzania Bei iko juu kuliko Nchi nyingine?

    DSTV inamilikiwa na MultiChoice Group, kampuni ya Afrika Kusini yenye makao makuu Randburg, Johannesburg. MultiChoice ilianzisha DStv mwaka 1995, na tangu wakati huo imepanuka kutoa huduma za televisheni za kulipia katika sehemu nyingi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwa ni pamoja na...
  4. britanicca

    Chama tawala Malawi tunaogopa Njia hii wananchi wakiijua inaweza kuwafunua kupata mbinu ya kuzuia uchaguzi kirahisi

    Chama tawala malawi uwa wanaogopa Sana wananchi kuelimika wanaogopa mnoo! Viongozi walioko madarakani na waliostaafu nao pia waoga sana Chama chao kutoka madarakani Kwakuwa makaburi ni mengi Njia Tano muhimu za kuweza kuzuia uchaguzi 1. Maandamano siku ya Uchaguzi Hii isifanyike kama...
  5. SankaraBoukaka

    Kwanini Mawakala wa Vyama Malawi Wasipewe Nakala za Matokeo ya Kituo Husika Kama Uchaguzi Ni Huru na Tume ya Uchaguzi ni Huru Pia?

    Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia. Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa. Ila...
  6. U

    Malawi yaongoza kwa ulaji kitimoto barani Afrika, yashika namba 2 kwa idadi kubwa ya nguruwe takribani milioni 8

    Malawi 🇲🇼 has the highest per capita consumption of pork 🐖 in Africa estimated as 15.7 KGs/Person/Year That's an average of 300 Grammes of Pork every week The country also has the 2nd highest population of Pigs 🐖 in Africa estimated as 8 Million, just after Nigeria It ranks 21st in the world...
  7. Harvey Specter

    Marekani kutoza rai wa Malawi na Zambia takriban dola 5,000 hadi 15,000 kuingia Marekani

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba raia wa Zambia na Malawi watatakiwa kulipia dhamana ya dola za Kimarekani 5000 hadi 15,000 (USD5,000 - 15,000) ili kuruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa vibali (VISA) vya biashara au utalii. Utekelezaji wa Uamuzi huo utaanza rasmi Agosti 20...
  8. Yohimbe bark

    Majaji wa pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi hamna akili

    Nimeangalia pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi anaitwa somebody banda aisee hadi aibu, mfaume kapigwa round zote lakini ushindi kapewa mfaume IDIOTS. Majaji hamna akili mnaleta siasa mpaka kwenye boxing aibu tupu.
  9. W

    Mahakama Kuu Malawi Yafuta Kosa la Kashfa ya Jinai, Yatangaza Halina Msingi Kikatiba

    Tarehe 16 Julai 2025, Mahakama Kuu ya Malawi ilitoa uamuzi wa kutangaza kuwa Kifungu cha 200 cha Kanuni ya Adhabu, kinachohalalisha kashfa kuwa kosa la jinai, ni kinyume na Katiba. Mleta maombi, Joshua Chisa Mbele, alipinga kifungu hicho akisema kinakiuka haki yake ya uhuru wa kujieleza...
  10. Mshana Jr

    Video za Gasper Kagonda kuhusu siasa

    Ubunifu wa Gen Z yanayoendelea Tanganyika
  11. Carlos The Jackal

    Nchi inachezewa sana, Hivi kweli 'Kundi la Wachokonozi au Kijana wa Serikali ya Malawi, ni Tishio la Usalama wa Nchi mpaka Dola itumie nguvu?

    Naendelea kusimama na Gwajima, Kuna MTU 100% anatumia Dola kwa Faida yake ya Kisiasa . Hiii haiingii akilini, yaan Vijana wanaotumia tu Mitandao ya kijamii, kukosoa, kuelemisha , wanaonekana Et ni tishio la Nchi yaan Ni tishio la Nchi nzima?. Kwamba Dola ,Dola inatishika na Hawa Jamaa...
  12. GENTAMYCINE

    Huyo ataachiwa rasmi Novemba 2025 baada ya Zoezi muhimu Malawi ya Kaskazini kumalizika na hizo Danadana za tarehe zitaendelea mno tu

    Kuna vitu vingine wala havihitaji Akili kubwa au Mtu kusumbuka au kuhangaika navyo kuvielewa. Uhuru wake Novemba.
  13. Stuxnet

    Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Hatimaye Malawi yakubali kuwa ziwa ni la nchi zote 3

    Tafsiri isiyo rasmi Jamhuri ya Malawi Taarifa kwa Umma Wizara ya Mambo ya Nje inapenda kuujulisha umma kwa ujumla kwamba, baada ya mashauriano ya kidiplomasia ya kina na kwa kuzingatia mifumo ya kisheria ya kimataifa, imefikia makubaliano ya kihistoria na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  14. kidonto

    Mchungaji wa Malawi Dr. Ian Ndlovu alitaka Waumini wake wamuombee Mama Samia miaka 3 ilopita

    Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo. Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu. Mungu huwafunulia Watumishi wake juu ya mambo mbalimbali yatayotokea, na Mungu anapomfunulia Mtumishi wake, sio...
  15. BLACK MOVEMENT

    Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  16. S

    Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
  17. Miss Natafuta

    Naombeni kuuliza .mbona kama bus za kwenda south Africa au Malawi hakuna

    Kuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
  18. Mr Dudumizi

    Bakili Muluzi: Rais wa pili wa Malawi mwanamapinduzi na mwanamageuzi wa kweli

    Niaje waungwana. Leo katika historia ya nchi tunazopeana nazo mpaka, ningependa nikuletee hostoria ya nchi ya Malawi chini ya uongozi wa mwana mapinduzi wa kweli, mwana mageuzi ya uchumi na maendeleo ya nchi hiyo. Na si mungine, ni muheshimiwa Bakili Muluzi. Mhe. Bakili ambae jina lake halisi...
  19. Waufukweni

    Mvutano wa Tanzania na Malawi umemalizwa, makubaliano yasainiwa Dodoma

    Tanzania na Malawi zimeamua kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kibiashara baada ya kumaliza mvutano wa kibiashara uliodumu kwa siku kadhaa, kufuatia marufuku ya uingizaji wa bidhaa zilizowekwa na Malawi Machi 13, 2025. Hatua hiyo imefikiwa kupitia mkutano wa pamoja wa mawaziri uliofanyika...
  20. K

    Kishindo Cha 4R za Rais Samia, mgogoro baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa maridhiano.

    Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na...
Back
Top Bottom