Alpha bartazary
Member
- Jul 5, 2022
- 6
- 5
Ajira portal wanaendesha usaili ambao haujakidhi vigezo kuchuja wanaogombania nafasi.
Kuna usaili ambao umefanyika jumamosi ya tar. 31/06 ambapo moja ya mwajiri ni makumbusho ya Taifa.
Kwenya nafasi ya wahifadhi daraja la pili kulingana na tangazo mwombaji alitakiwa kuwa na shahada ya biolojia, anthropolojia na kozi nyingine zilitajwa hapo baadhi.
Naomba kuuliza ivi inakuwaje mtu wa baiolojia unampa mtihani wenye maswali ya historia tu ilihali mnajua. Chuoni amesoma baiolojia?
Masikitiko yangu ni makubwa sana kwani historia yenyewe ni history 1 ya advance ambayo mtahiniwa huyu wa baiolojia hajawahi kusoma hiyo kwani hakuna combination yenye history na biology. Je hamuoni ni kumkatili mtu huyu kwani anakuwa kaonelewa bure hajasailiwa kulingana na kazi yake kama mhifadhi wa viumbe bali kama mwanahistoria jambo ambalo si haki?
Utumishi, badilisheni namna ya utunzi wa maswali yenu, fanyeni kumsaili mtu kulingana na alichosoma na application yake kazini na si tofauti.